Tuheshimiane: Ni marufuku kuilinganisha Simba Sc na Yanga

Tuheshimiane: Ni marufuku kuilinganisha Simba Sc na Yanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20210110_190522185998.jpg

Ifike wakati tuheshimiane.

Hivi wewe mchambuzi uchawara unatoa wapi ujasiri wa kuilinganisha Yanga Utopolo na Simba Sc. Simba Sc ipo mbali sana Next Level.

Unawezaje kuilinganisha timu bingwa mara 3 mfululizo katika ligi kuu na Yanga.

Unawezaje kuilinganisha timu iliyochukua makombe matatu kwa msimu VPL, FA na Ngao na timu kama Yanga

Simba Sc ipo nafasi ya 13 Africa na Yanga ambayo hata sijui hata ipo nafasi ya ngapi

Fikiria katika ligi ya mabingwa zimebaki timu 16 tu kati ya timu zoooote bara hili Simba ikiwepo.

Usifosi tufanane. Ukitaka tufanane taja timu yako ipo nafasi ya ngapi ranking za Africa
 
Yanga ni Bingwa wa kombe la Mapinduzi na Simba ni mshindi wa pili wa kombe hilo kwa mwaka huu 2021. Hivyo ni sawa na mkubwa na mdogo wake.

Hizo record za CAF zimekuja baada ya viongozi wa Simba na CEO wao mpya kwenda kutembelea ofisi za CAF ndio matunda yake ni hayo.
 
Uto wenyew wanajua hawalingani na Simba ila hawakiri hadharani.
 
Yanga ni Bingwa wa kombe la Mapinduzi na Simba ni mshindi wa pili wa kombe hilo kwa mwaka huu 2021. Hivyo ni sawa na mkubwa na mdogo wake.

Hizo record za CAF zimekuja baada ya viongozi wa Simba na CEO wao mpya kwenda kutembelea ofisi za CAF ndio matunda yake ni hayo.
Nyau mpira upo mdomoni tu
 
Huyo paka si ndiyo yule alibakwa bila mafuta na kina masau bwire
 
Kama watu hawawezi kufika level hizo kwanini wasishangilie kombe la Mapinduzi (lile linalofanana na kifaa cha Shisha) hadi makoo yapasuke?

Kwao lile Shisha Cup ndo kila kitu. Once in a life time.Kwani Paul Godfrey 'Boxer,yule mchezaji mshamba mshamba ametwaa kombe lipi ndani ya miaka 3?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Yanga ni Bingwa wa kombe la Mapinduzi na Simba ni mshindi wa pili wa kombe hilo kwa mwaka huu 2021. Hivyo ni sawa na mkubwa na mdogo wake.

Hizo record za CAF zimekuja baada ya viongozi wa Simba na CEO wao mpya kwenda kutembelea ofisi za CAF ndio matunda yake ni hayo.
Kwanini nye msitembelee hizo ofisi za CAF ,shamelesa
 
Hao wachambuzi wanazidi kuonyesha upotolo wao au hawajui kiingereza kama caf wanatambua sisi ni nani hadi tubishe
 
Kwanini nye msitembelee hizo ofisi za CAF ,shamelesa
Tutaenda mwakani kuwajulisha kuwa Yanga ni bingwa wa kihistoria na ni bingwa wa kombe la Mapinduzi, tunastahiki kuwa nafasi kumi za juu.
 
Hizi nafasi zimeisaidia nini Simba zaidi ya kuwa tegemezi kwa mtu?
Matokeo ya Kidato cha Nne yamemsaidia aliefaulu au top 10 kuwa na uhakika wa kusonga mbele!
Simba ambayo ni 13 bora iko na uhakika wa kusonga mbele!
Wenzangu na mie Utopolo hata hamjulikani muko namba ngapi? Yaani kwa ufupi hamtambuliki kwa chochote barani afrika
 
Yanga ni Bingwa wa kombe la Mapinduzi na Simba ni mshindi wa pili wa kombe hilo kwa mwaka huu 2021. Hivyo ni sawa na mkubwa na mdogo wake.

Hizo record za CAF zimekuja baada ya viongozi wa Simba na CEO wao mpya kwenda kutembelea ofisi za CAF ndio matunda yake ni hayo.
Katembelee wewe ili uwe kwenye list na ushiriki Mashindano ya CAF
 
Back
Top Bottom