Tuheshimiane: Ni marufuku kuilinganisha Simba Sc na Yanga

View attachment 1678866

Ifike wakati tuheshimiane.

Hivi wewe mchambuzi uchawara unatoa wapi ujasiri wa kuilinganisha Yanga Utopolo na Simba Sc. Simba Sc ipo mbali sana Next Level.

Unawezaje kuilinganisha timu bingwa mara 3 mfululizo katika ligi kuu na Yanga.

Unawezaje kuilinganisha timu iliyochukua makombe matatu kwa msimu VPL, FA na Ngao na timu kama Yanga

Simba Sc ipo nafasi ya 13 Africa na Yanga ambayo hata sijui hata ipo nafasi ya ngapi

Fikiria katika ligi ya mabingwa zimebaki timu 16 tu kati ya timu zoooote bara hili Simba ikiwepo.

Usifosi tufanane. Ukitaka tufanane taja timu yako ipo nafasi ya ngapi ranking za Africa
Niaje bro? Mishe zinasonga???
 
Wakati ni mwalimu mzuri...
Sahivi Yanga ndo kashinda makombe yote uliyoandika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
View attachment 1678866

Ifike wakati tuheshimiane.

Hivi wewe mchambuzi uchawara unatoa wapi ujasiri wa kuilinganisha Yanga Utopolo na Simba Sc. Simba Sc ipo mbali sana Next Level.

Unawezaje kuilinganisha timu bingwa mara 3 mfululizo katika ligi kuu na Yanga.

Unawezaje kuilinganisha timu iliyochukua makombe matatu kwa msimu VPL, FA na Ngao na timu kama Yanga

Simba Sc ipo nafasi ya 13 Africa na Yanga ambayo hata sijui hata ipo nafasi ya ngapi

Fikiria katika ligi ya mabingwa zimebaki timu 16 tu kati ya timu zoooote bara hili Simba ikiwepo.

Usifosi tufanane. Ukitaka tufanane taja timu yako ipo nafasi ya ngapi ranking za Africa
Mtu kala mkono siyo muda mrefu ana jaziba kama mama kwenye uchungu wa kujifungua umwambie Cheka

hehehe
 
Back
Top Bottom