The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hivi unapompa mtu namba yako ya simu what do you expect? Kwamba atai-save kwenye simu yake kama pambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseeWewe tumefahamiana katika mazingira ya kistaarabu, tumezoeana kama binadamu wengine bila kuvuka mipaka, najua umeoa ila mimi hujui status yangu kama nimeolewa au niko single, kutokana na kwamba haikuhusu, sasa kinachokufanya unipigie simu saa 5 kasoro 7 usiku ni nini? wakati hata huo mchana huna la maana la kuniambia? Najuta kukupa namba yangu, kama matumizi yako ya simu ndo haya. Wanaume wengine mnakera sana
Gee sasa huyu bidada sijui anaona aibu au anaogopa kumwambia jamaa....Mimi binafsi mtu akinipigia simu kwa mara ya kwanza baina ya saa tatu na nne usiku nitamuelewesha kistaarabu kuwa mimi sipokei simu zaidi ya saa tatu usiku kwa hiyo siku nyengine asinipigie wakati huo
Akinipigia kwa mara ya kwanza zaidi ya saa nne usiku nitamuuliza kama kuna dharura (neno la kwanza nitakalosema kwenye simu) kama hakuna dharura nitamwambia (sio kistaarabu sana) kuwa asifanye tena hivyo kwa kuwa sitapokea
Akipiga zaidi ya tano usiku nikipokea na kumuuliza kama akijibu si dharura, namrarua sawa sawa
Gee sasa huyu bidada sijui anaona aibu au anaogopa kumwambia jamaa....
Inawezekana kabisa sababu ukimpa mtu namba yako ya simu you'll have to expect chochote sasa asipomwambia huyo mtu msimamo wake ndio hapo tuna-conclude hapo kwenye blueKule kwetu tunasema "anayapenda na kuyaendekeza" :]
sijui ulikutana wapi na jamaa ingawa huwa kuna mazingira unalazimika kutoa namba bila kupenda ila kama ni mambo ya kimtandaoni usirudie.
Ndio mkome kutoa namba kwa vinega
kwa mtaji huu ur msg haijawa derivered kwake, ila msikilizie uwezi jua yawezekana yuko serious na izo calls zake na ikawa ndo ulopangiwa na mola awe jamaa yako wa karibu aswa apo roho yako itakapo mdondokea pia
huwe serious na kutoa namba ya simu, hasa kwa jamaa wenye wake, waweza kuta mwenzio amezamilia kukufanya nyumba ndogo, ooooooooh
dadaa mshikaji atakuwa yuko serious na wewe, natmai ndo chaguo lako lakini ndo haujashtukia tu ilo dili, ni bahati iyo usiiachie
watu wanaosumbuliwa na simu huwa wanapenda. Unakuta mtu anapigiwa anapokea. Kitendo cha kupokea ina maana umeikubali ile call. Bado kwenye maongezi anaongea vizuri tu ila baadae ndio kujifanya hupendi. Kama hupendi kupigiwa ukipigiwa usipokee, ukipokea usiongee. Siku mbili tu unabaki huru.
aisee
mlipeana namba kwenye thread?
Gee sasa huyu bidada sijui anaona aibu au anaogopa kumwambia jamaa....
kwa mtaji huu ur msg haijawa derivered kwake, ila msikilizie uwezi jua yawezekana yuko serious na izo calls zake na ikawa ndo ulopangiwa na mola awe jamaa yako wa karibu aswa apo roho yako itakapo mdondokea pia
apo sasa!!hivi unapompa mtu namba yako ya simu what do you expect? Kwamba atai-save kwenye simu yake kama pambo?
Inawezekana kabisa sababu ukimpa mtu namba yako ya simu you'll have to expect chochote sasa asipomwambia huyo mtu msimamo wake ndio hapo tuna-conclude hapo kwenye blue
huyu mtu akipiga simu siku zote sipokei, hivi hawezi kuelewa kwamba sitaki kuongea nae?