Tuheshimiane

Tuheshimiane

Sijaelewa lengo la kuanzisha huu uzi ilhali muhusika sio memba humu jf, ataupataje huo ujumbe wako (Tuheshimiane) afu mwanaume alieoa akupigie simu sa 7 usiku? Is it? Huyo mkewe anakuwa wapi?
Anakua likizo ya ndoa...
 
Mwl,hapo para ya mwisho; sio unamrarua bali unamfanya yeye kuwa dharura. Kiufupi unamdharurisha! Mtu hawezi kukusumbua na simu yako unless unamsumbua or else ni customer wako!
Mimi binafsi mtu akinipigia simu kwa mara ya kwanza baina ya saa tatu na nne usiku nitamuelewesha kistaarabu kuwa mimi sipokei simu zaidi ya saa tatu usiku kwa hiyo siku nyengine asinipigie wakati huo

Akinipigia kwa mara ya kwanza zaidi ya saa nne usiku nitamuuliza kama kuna dharura (neno la kwanza nitakalosema kwenye simu) kama hakuna dharura nitamwambia (sio kistaarabu sana) kuwa asifanye tena hivyo kwa kuwa sitapokea

Akipiga zaidi ya tano usiku nikipokea na kumuuliza kama akijibu si dharura, namrarua sawa sawa
 
mwambie mwenyewe kuwa hupendi ako katabia ili akome usipomwambia yeye hapa jf hatapata ujumbe kitty
 
Asee nimekumiss mpaka mahasira, mzima weye?

niko vizuri kabisa
naona mtu anataabishwa na simu hapa, mwambie KG akukodishe ukampe kibano huyo msumbufu!! (malipo ya hiyo kazi ni mi napokea)
 
Ha ... namba utoe mwenyewe...uje kumtangaza mwenzio jf! U should have declined offering ur number to him in the first place. Ulimpa ili iweje...pengine?
 
Back
Top Bottom