Tuheshimu Ikulu, Tuwaheshimu viongozi wote Wateule, ni Watanzania wenzetu, Tuwaheshima kama ambavyo Baba na Mama yako anastahili heshima

Heshima itoke wapi kwa viongozi wanapata madaraka kwa njia zisizo za heshima? Tunapotaka uchaguzi uheshimiwe ni pamoja na hao viongozi kuingia madarakani kwa njia za heshima. Unaingia madarakani kwa njia za kishenzi, kisha unataka heshima. Pumbavu kabisa.
 

Mtu wa kwanza anayetakiwa kuwa na heshima ni yule aliyepewa ofisi. Kama ofisi yako ina wajibu wa kulinda rasilimali, basi ufanye hivyo kwa nguvu zako zote, kwa uzalendo, weledi na uadilifu wa hali ya juu. Ukifanya tofauti unakuwa umeitukana ofisi na mamlaka uliyopewa kwa maana utakuwa umetengeneza mazingira ya kuidhalilisha ofisi.

Watawala waziheshimu ofisi zao kwa matendo, na wala wasitende vinginevyo hata wakazitukanisha ofisi zao.
 
Unaanza kuheshimu wenzio kwanza halafu ndio unaheshimiwa, Heshima ya kiongozi Kwa wananchi ni pamoja nakuwatumikia Kwa uaminifu mkubwa na kufuata miiko yote ya kiongozi.
 
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
ri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Although kutukana si kitu kizuri ila nitasema kitu kimoja. Kwanza baadhi ya viongozi wana madharau kwa raia, wana misconduct kibao and yet hawachukuliwi hatua. Tena wanaombewa misamaha na wenzao, hawawajibishwi, kuna mamlaka zinawalinda kabisa wale wenye makosa (sio wote)

So iko hivi kizaz cha nyuma, kingekubali yaishe, ila kizazi hiki chenye wasomi wengi ni ngumu, wanajua na wanaona kinachofanyika, sio wajonga tena
So kama ni suala la kutii mamlaka, mamlaka zenyewe zinawatii raia?

Respect is earned, not taken
 
Unaanza kuheshimu wenzio kwanza halafu ndio unaheshimiwa, Heshima ya kiongozi Kwa wananchi ni pamoja nakuwatumikia Kwa uaminifu mkubwa na kufuata miiko yote ya kiongozi.
Watanzania wengi wasiokubali kupotoshwa na Wanaharakati wanaelewa na kuona jitihada za viongozi na Serikali mwa ujumla namna inavyoboresha huduma za Jamii, Serikali hii inawatumikia Watanzania bila kujali kabila, rangi au dini .
 
Hakuna kiongozi anayetukana Wananchi, hivi kuna kiongozi unaona anahangaikia kutukana Watanzania huko X au kwenye mikutano, Viongozi wanatimiza wajibu wao kwa kuwaletea Watanzania Maendeleo kwa namna walivyojaliwa Ages11
Viongozi huenda kua hawawatukani, ila matendo yao na maamuzi. Yanaonekana wameshajua wananchi ni wajinga, yaani wanaweza fanya madudu wakapatikana lakini wasifanywe lolote.
So zile hasira zinawa jaa watu vifuani, why inaonekana kuna tabaka haliguswi?

Au wao ni special kuliko raia? Kumbuka kizazi cha raia wa sasa si cha 60 na 70s
 
Tz sio nchi maskin ila tu wajinga wa kanga na elfu kumi ,kofia ndo mishabiki wa maccm , mtu mwenye akili ya kujiuliza hawezi ipenda chama ichi , binafsi sijawahi kuwa ccm ila nimewahi mpigia kura mbunge mwana ccm na diwani wa ccm mwaka dr slaa anaminyana na kikwete kwa sababu kazi ya dr slaa ilikua iliyotukuka na angalau ,Dr slaa alifanya kile wananchi walikua wanataka
Rais nilimpa dr slaa lakili udiwani na ubunge niliwapa ccm, why sababu walikua wanajitambua

Na ikumbukwe mda ule nilikua naenda kutana na uvccm kwenye makambi nikiwachora tu kwa ruhusa ya nani usiulize, wenda nilipata bahati kama ya muuza madafu, na hii ni tabia ya ccm peleka vijana kwenye makambi uchaguzi unapokua karibu ,anaebisha anyone mkono kama anajikunan. Hasa nyie ccm uvccm

Na natoa pendekezo 2025 kama uchaguzi ukifanyika vyama vyote vya siasa tz kuandaa vijana kwenye makambi kama ambavyo wamekua wakifanya ccm miaka nenda ,hapa nazungumzia kile kipindi cha dr slaa vs Jkikwete binafsi niliona mwenyewe na ni utamaduni ndani chama ichi.

Mwisho naanza mfungo very soon , na utahusu yafuatayo

1. Kuiombea nchi hasa Tanganyika

2.nitafunga kwa wale wenye nia mbaya juu ya Mwana wa Mungu Lissu ila kila apangae jambo baya akutane na msumeno mkali kabla ya hatua mbili mbele yake.


3 nitawaombea wana jf wote popote walipo maana ni huwakilisha kamili wa tz , ila Mkurugenzi wa jf nitamkumbuka kwa mda Mungu atapenda katika mfungo tarajiwa

Thanks
 
Heshima peleka kwa baba yako na Mama yako. Suala la nchi hatuhitaji mambo ya heshima.

Those people are paid with lot of privelege. Tunataka kuona deliverables na sio heshima. Kuna kiongozi wa kuheshimiwa TZ?

Wote wala rushwa. Wapigwe spana . Na uache huu ujinga wa heshima wakat nchi inaangamia
 
Kwa nini huwa mnawafanya wananchi kama hamnazo ninyi ndio mnazo. Acha kutufundisha sijui heshima
Hao unaowatetea wanatuheshimu sisi walipa kodi?

Utaheshimiwa ukiheshimu na ukijiheshimu period!
 
Hii huwa inatokea tu automatic kama viongozi wenyewe wanaishi kiheshima. Viongozi ni lazima wafate maadili ya kiuongozi. Kusiwe na chembechembe za kubezwa kwa tabia na makandokando mengine.
 
Mimi ccm ila kwenye ufisadi hapana pambaneni wenyewe na familia zenu
 
Kama mtu anachangia harusi ya chawa zaidi ya 10m huku nchi ina shida lukuki halafu unaahubiri heshima go to hell
 
Mods msinipige ban wala msifute hii comment ILA.......


"Huyu jamaa ni matak#"
 
Viongozi MAJAMBAZI na WALANGUZI wa mali za umma, hawaheshimiki popote
 
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Wewe ni CHAWA?

Chawa hawezi kujua maana ya "Kuheshimu" ni nini; maanake yeye kazi kubwa ni kunyonya uchafu tu toka kwa huyo anayemtunza.

Ukijuwa maana ya "Kuheshimu na Kuheshimiwa" hapo utaanza kuwahimiza hao unaowaita viongozi waanze kujiheshimu wao, na wawaheshimu waTanzania kwa kuwatumikia kwa uadilifu.

Hata sielewi wewe umesoma hadi ngazi gani, lakini hata hiyo elimu ndogo naona haikusaidii kitu chochote kuweza kuyatambua maswala ya namna hii.

Watu wa aina yako mnaudhi sana..
 
Pumbafu kabisa. Nani kakumbia kuwa uzalendo ni kushabikia uuzwaji wa nchi? Watu wenyewe wamejiweka kwenye madaraka kwa nguvu halafu ni mafisadi wa kutupwa. Yaani unajaribu kusema Abdul aachiwe afanye ufisadi anavyotaka?
Katika jamii yoyote huwezi kukosa aina hii ya watu. Hili ni fumbo la ajabu sana alilopanga Muumba kama kweli yupo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…