Tuheshimu Ikulu, Tuwaheshimu viongozi wote Wateule, ni Watanzania wenzetu, Tuwaheshima kama ambavyo Baba na Mama yako anastahili heshima

Umewaza Kwa kutumia nn??.


Inamaana Hujui ukishakua Kiongozi ,wewe ni Jalala?

Kwahiyo unataka Kiongozi mwizi asiambiwe Kwa ukali??.

Nchi sio Familia
 
heshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Hiyo katiba ya huko Tanzania kwenu inawahimiza viongozi wenu wawe majizi.
"Mamlaka zilizopo kisheria" huko kwenu mmezipa mamlaka ya kuvunja sheria na katiba zilizowaweka kwenye mamlaka?

Nyinyi watu mnatumia tu maneno bila kujuwa hayo maneno yana maana gani?

Mkuu 'Gulenga', inanibidi nikariri jina lako hili; kwa sababu tokea niingie kwenye kumbi hizi za JF, pamoja na kukutana na vihiyo wa ajabu ajabu, lakini nadhani wewe utakuwa kati ya 'cream' ya aina hiyo ya watu.

Nisisahau jina tena: 'Robert S Gulenga'. Nitajitahidi kusoma na maandishi yako mengine nijue tokea umejiunga humu ; Jan. 03 2013 umechangia mawazo ya aina gani.

Nikisikia wewe ni kati ya wanufaika wa pesa haramu sitashangaa hata kidogo.
 
Siyo bure, huyu yupo kazini, lakini katumwa kazi asiyokuwa na uwezo nayo. Afaidi tu hayo mahela wanayotaanya kwa watu wasiokuwa na uwezo kama huyu.
 
Kwahiyo joe78 kama ni UMMA una haki ya kutukana watu? Una haki ya kuwasingizia watu uongo? Kufitinisha etc
Kwa kweli wewe ni boya hasa!
Kiongozi mwadilifu utamfitinisha vipi; kwanza utaanzia wapi? Wewe unadhani waTanzania ni wajinga wasiojuwa kitu?

Kiongozi mwadilifu hahitaji kutetewa kijinga kama mnavyofanya nyinyi. Ni wananchi wenyewe ndio watakaokuwa watetezi wake wakuu; siyo takataka kama nyinyi.

Nimemalizana na wewe, sina muda tena wa kupoteza kwenye mada ya kipuuzi kama hii.
 
Mambo ya aibu aibu tuu,mtu unawezaje kutukana viongozi wako na ukajihisi upo sawa tuu.
 
Ingekuwa kama unavyotaka Mwl. Nyerere asingeikemea ikulu wakati wa rais Mwinyi, waliokuwa ndani ya ikulu walishindwa kuiheshimu kwa kufanya ujangili ndani ya ikulu!
 
Unaweza kuwaheshimu majambazi, wezi na mafisadi? Mtoa mada unaimwa wewe!

Hao ni wakutukana tu
 

MWAL. J.K NYERERE IKULU NI PAHALI PATAKATIFU​


View: https://www.youtube.com/watch?v=wPSzAWkKj7I&ab_channel=BLUESKYTV
 
Huo ni mtazamo wako, naheshimu maoni yako, hujavunja sheria na wala hujatukana, japo sijui kama unaza thibitisha hicho unachokisema kuhusu kura Gulwa
Ni kama vile usivyoweza kuthibitisha kuwa baba yako mzazi ndiye baba kwani hukuwepo wakati ankuzaa ila unajua kuwa ndiye
 
Kama hutaki kukosolewa au kuoneshwa namna ya kuenenda au kusahihishwa isipelekwe pua yako ofisi za umma wewe oa wake wengi uwezavyo zaa watoto iwezavyo funga na fensi halafu anzisha sheria zako za kuheshimiwa humo ndani nakuhakikishia hutamsikia Lissu wala Mbowe akikutaja lakini ukiingia ofisi za umma haiwezekani watu 60m+ wakunyamazie, shetani anapingwa mbaya zaidi HATA MUUMBA ANAPINGWA iweje hawa wanaoingia BAFUNI wasipingwe?
 
Taja matusi wanayotukanwa viongozi,kumbuka tusi ni kosa la jinai
 
Unamatatizo sio bure. Eti watanzania tunadanganywa na wanaharakati, kwani hatuna macho, hatuoni?
Hujawahi sikia kauli ya ' mtu mzima ovyo?
Usitegemee ukubwa ukupe heshima.
Heshimu uheshimiwe.
Hakuna heshima ya lazima.
Mwizi unamheshimu vp?
Muongo unamheshimu vp?
Asiyejali unamheshimu vp?
Tukiacha unafiki tutafika mbali sana!
Mleta mada wewe ni mnafiki.
 
Na ili hili taifa liokoke na lipige hatua keyboard warriors wanatakiwa wawe road warriors.
Huko ukosevu mkubwa wa ajira chanzo ni sera mbovu ya hao viongozi wapumbavu.
Kwanini muwatetee!?
 
Maviongozi yenyewe poyoyo tu hamna kitu kuchwani, tuyaheshimu kwa lipi hasa sasa?!.
 
Inayokopa ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkuu huoni miradi ya Afya na miundo mbinu yake huko mtaani? Miradi ya Elimu, barabara, Etc
Pesa zinazokopwa haziendani na hiyo miradi.
Pesa ni nyingi mara kumi ya hivyo vimradi.
Ndani ya miaka 3-4 kakopa usawia wa watangulizi wake wote,pesa zote hizo kapeleka wapi!?
Embu jua hata mahesabu madogo basi.
Juzi katoka S.Korea kukopa Trillion 6 sasa hivi anaomba pesa China Exim bank.
Nambie hizo T6 peke yake anazimalizia katika nini?
Jumlisha na mikopo ya nyuma.
 
Basi tuwaheshimu na wezi pia maana kama mtu anauza nchi,unawezaje kumuheshimu?
 
Ujinga ni mzigo mod hoja za kipumbavu futilia mbali , nami mnifutilia nyingi ila sijalalamika ,machawaa wanaliangamiza taifa
 
Ukisikia busara za hovyo ndio hizi,
Kwanza hawa viongozi sio wazazi wetu,baba wala mama, hawa ni watumishi wetu, tumewaajili, tunahaki ya kuwaonyesha hasira zetu pale wanapoboronga! Mkuu hebu fikiria, Mkuu wa mkoa analawiti kijana kwenye gari,mamlaka zilizopo juu, zinajaribu kuficha hii skendo, inashindikana, wanamtumbua tu! Imagine aliyelawitiwa angekuwa mtoto wako wa kiume! Ametatuliwa malinda! Ungekuja na hizi porojo zako za kutaka tuwaheshimu?
Wao tu hawaheshimu pesa zetu, umeishona wakiwa kwenye foreni wanavyotufanyia fujo?harafu unakuja hapa unabana put, eti tuwaheshimu!wapo tuliowatukuza, Sokoine,Kawawa(baba, sio, watoto wake, hawa ni, majizi tu),
Wao, inabidi watuheshimu kwanza sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…