Tuheshimu Ikulu, Tuwaheshimu viongozi wote Wateule, ni Watanzania wenzetu, Tuwaheshima kama ambavyo Baba na Mama yako anastahili heshima

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
2,255
Reaction score
1,565
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.

Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.

Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.

Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.

Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni

Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,

Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.

Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
 
Nchi sio familia, ukitaka kuongoza nchi ya Tanzania jiandae kusikia mawazo ya watu milioni 60, ulishajiuliza ni kwanini hao viongozi wanaitwa viongozi wa umma??? Hao ni wafanyakazi wetu wanatakiwa kusikiliza tunasema nini, nikihisi umekosea mahali nina haki ya kukueleza, kama mtu ni mjinga aelezwe pia sio kutafuta lugha tamu tamu na kutaka kulamba miguu ya watu tunaowalipa ili watutumikie.

Ukiona faragha yako ama heshima yako inashushwa kwa sababu ya utumishi wako wa umma unaruhusiwa kujizulu, kwa nini uendelee kung'ang'ania kutukanwa??

BTW Sijasoma uzi wako hadi mwisho, paragraph ya kwanza tu ni kama inaleta kichefu chefu
 
Nchi sio familia, ukitaka kuongoza nchi ya Tanzania jiandae kusikia mawazo ya watu milioni 60, ulishajiuliza ni kwanini hao viongozi wanaitwa viongozi wa umma??? hao ni wafanyakazi wetu wanatakiwa kusikiliza tunasema nini, nikihisi umekosea mahali nina haki ya kukueleza, kama mtu ni mjinga aelezwe pia sio kutafuta lugha tamu tamu na kutaka kulamba miguu ya watu tunaowalipa ili watutumikie.

Ukiona faragha yako ama heshima yako inashushwa kwa sababu ya utumishi wako wa umma unaruhusiwa kujizulu, kwa nini uendelee kung'ang'ania kutukanwa??

BTW Sijasoma uzi wako hadi mwisho, paragraph ya kwanza tu ni kama inaleta kichefu chefu
Ni kweli Duniani kote mawazo tofauti kutoka kwa watu ni Muhimu, wala haijawahi tokea Tanzania ipate uluru kuna mtu amekataza kutoa mawazo, ninacho kisema ni uzuzu kutukana Viongozi, kusingizia, kuwadhalilisha, kutweza heshima yao kwa kisingizio cha Uhuru wa kutoa maoni MastaKiraka
 
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
a sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Ukitaka kueshimiwa jiheshim kwanza, yani upore, mabaya yote uwafanyie binadam wenzako alafu unasema upewe heshima ,bora watu bado wanawastahi ,ipo siju watu watukuja kuchapwa viboko adhalani , watu wanafanya uhuni mpaka wanapitiliza ila at wanataka heshima
 
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.

atusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Hatuwezi kuheshimu viongozi waliopatikana kwa wizi wa kura. Ni kama majambazi wengine tu
 
Ni kweli ulichoandika!

Lakini sababu kuu ni kukosa ajira na msongo wa mawazo ndio vinawasumbua wengi has vijana!!

Swira aliekatwa mkia hugonga chochote kilicho mbele yake!!

Tufanye mapema kuokoa janga Hilo kabla keyboard warriors hawajawa road warriors na kuleta vurugu na tafrani Kwa taifa!!

Nafikiri
 
Unaposema tuheshimu hawa ni kama vile kuna mwingine unasema haitaji heshima, Kila mtu anahitaji heshima...., Kama unaona Ikulu haipati heshima basi waliopo pale ndio wanaidhalilisha (maneno ya Nyerere Ikulu ni mahali patakatifu)

Baina ya mwananchi na kiongozi (hawa wa kuchaguliwa na wala hawakulazimishwa) mwenye Ubwana (Boss wa mwenzake) na mwanchi na hawa viongozi ni watumishi (They better remember that if they have forgotten), Hawafanyi Hisani na wakiona vipi wanaweza kuacha wakati wowote sababu nyuma yao kuna wengi wanaoona hio kazi wanaiweza
 
Nchi sio familia, ukitaka kuongoza nchi ya Tanzania jiandae kusikia mawazo ya watu milioni 60, ulishajiuliza ni kwanini hao viongozi wanaitwa viongozi wa umma??? Hao ni wafanyakazi wetu wanatakiwa kusikiliza tunasema nini, nikihisi umekosea mahali nina haki ya kukueleza, kama mtu ni mjinga aelezwe pia sio kutafuta lugha tamu tamu na kutaka kulamba miguu ya watu tunaowalipa ili watutumikie.

Ukiona faragha yako ama heshima yako inashushwa kwa sababu ya utumishi wako wa umma unaruhusiwa kujizulu, kwa nini uendelee kung'ang'ania kutukanwa??

BTW Sijasoma uzi wako hadi mwisho, paragraph ya kwanza tu ni kama inaleta kichefu chefu
Hakuna anaewashambulia hao uliowataja kwa sababu ya nafasi zao au wao binafsi. Kinachoshamuliwa na kamwe hakitaacha kushambuliwa ni " maovu yao wanayoyatenda kwa nguvu ya Mamlaka waliyonayo.

Huwezi kugawa sehemu ya ardhi au rasilimali za nchi kwa marafiki/ndugu/jamaa zako kwa kutumia mamlaka ulionayo halafu eti watu wake kimya kwa sababu tu wewe ni kiongozi no. Utapigwa spana za kutosha.

Hivi Kiongozi angetokea kabila la Wafugaji kisha akatumia nguvu yake ya kiutawala kwa kuwaondoa Wakulima wa mpunga kwenye eneo lao la kilimo ili kuwapisha Wafugaji wa kabila lake. Kisha Wakulima wale wakagaiwa eneo lingine lisilokuwa rafiki kwa shughuli zao za kilimo kwa zao la mpunga. Kiongozi yule asingepigwa spana za kutosha ambazo kwa tafsiri yako ni matusi???
 
Ni kweli Duniani kote mawazo tofauti kutoka kwa watu ni Muhimu, wala haijawahi tokea Tanzania ipate uluru kuna mtu amekataza kutoa mawazo, ninacho kisema ni uzuzu kutukana Viongozi, kusingizia, kuwadhalilisha, kutweza heshima yao kwa kisingizio cha Uhuru wa kutoa maoni MastaKiraka
Kama hutaki kusingiziwa, kutukanwa, kudhalilishwa wala kutozwa heshima yako na 'UMMA' kuna njia rahisi sana ambayo ni kuacha kuwa 'mtumishi' wa umma. Ila pia kama kuna mahali unaona unasingiziwa unaweza kuleta ushahidi ili kuzima tuhuma hizo. Full stop.

Hivi hadi leo hii unafahamu aliye/walio fadhili kiongozi mkuu wa nchi kutengeneza filamu kwenye mbuga za wanyama ni nani?? akiibuka mtu akasema Rais alidhaminiwa na babu tale utambishia?? wakati huo huo Rais hataki kusema waliomdhamini hapo akiitwa mpiga dili ikulu atakuwa anasingiziwa, anatukanwa, anadhalilishwa au utu wake una twezwa?
 
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.

Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.

Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.

Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.

Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni

Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,

Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.

Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Pumbafu kabisa. Nani kakumbia kuwa uzalendo ni kushabikia uuzwaji wa nchi? Watu wenyewe wamejiweka kwenye madaraka kwa nguvu halafu ni mafisadi wa kutupwa. Yaani unajaribu kusema Abdul aachiwe afanye ufisadi anavyotaka?
 
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.

Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.

Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.

Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.

Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni

Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,

Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.

Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Kwanza kabisa, hatukanwi mtu bali wanakosolewa mienendo na matendo yao kwa kutumia lugha ambayo miaka mingi ilikuwa inaonekana kama ni "taboo" kutumika. Matendo yao ya hovyo ndiyo yanayowatukanisha wenyewe..!

Ni ajabu kuwa, matendo na mienendo yao ya hovyo kwa kivuli cha "si ni wenye mamlaka" ikiwa - challenged kwa lugha msizozipenda, mnaanza kujiona kuwa mnatukanwa...!!

ALL IN ALL ni kuwa;

Ili wewe mwenye mamlaka uheshimiwe, ni vyema sana ukaanza kujiheshimu wewe mwenyewe kwa mwenendo, kauli na matendo yako ikiwa ni ishara ya kuheshimu mamlaka yako uliyopewa kwa muda..!

Ili wewe mamlaka yako yaheshimiwe, ni bora ukaanza kwanza wewe mwenyewe ukaitendea haki nafasi hiyo ya kimamlaka uliyopewa. Acha kutumia vibaya mamlaka yako...

If you want respect, then, stop abusing your powers and authority. If you don't; then, the power and authority you have will automatically abuse and punish you!!

Wenye mamlaka (vyeo vya mamlaka ambavyo ni dhamana ya muda tu) wanapaswa kujifunza kwa Yesu Kristo ambaye alikuwa na nguvu na mamlaka ya ki - Mungu alipokuwa ktk mwili wa kibinadamu. Lakini kamwe hakuu - abuse mamlaka yake kwa sababu anaheshimiwa, kutukuzwa na kuabudiwa tangu nyakati hizo, sasa na hata milele...!

Nje ya hapo ndugu Robert S Gulenga, mwenye mamlaka yeyote akikosea kanuni ya mamlaka yake hiyo, ajue kabisa kuwa, mamlaka hiyo hiyo itaanza kumrudi mwenyewe na kamwe hawezi kupata heshima yoyote sasa toka kwa watu hapa duniani na mbinguni milele huko mbinguni..!

It's very simple. Heshima hailazimishwi. Heshima haiji tu yenyewe kwa kufanya lolote, chochote na kwa yeyote...

RESPECT IS EARNED by respecting people who granted you that authority and most importantly by respecting the position of that authority..!

Ndio maana viongozi huingia na kutoka. They're not permanent.

Kama kiongozi ajionaye ana mamlaka, halafu akaitumia hiyo mamlaka yake vibaya kwa kuiba na kutapanya mali za waliomwamini na kumpa mamlaka hiyo zilizopaswa kutumika kwa manufaa ya wote na akaitumia mamlaka hiyo kunyanyasa na kuumiza watu waliomweka hapo, basi, atambue tu kuwa ipo siku na muda atapotoka kwa aibu na fedheha bila heshima yoyote ktk mamlaka hiyo..!

Mwenye nguvu na mamlaka ya kudumu isiyo na mwisho na isiyoghoshiwa ni mmoja tu, MUNGU MUUMBA wa mbingu na nchi pekee yake..!
 
Hapa nilipoa najiandaa kutukana viongozi kwa ujinga wanaoufanya kwa sasa. Na niko hatua za mwisho kutengeneza vilipuzi kwa kutumia "potassium nitrate na maganda ya mayai" . Uchaguzi ujao patachimbika uchaguzi ukichezewa.
 
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.

Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.

Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.

Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.

Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni

Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,

Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.

Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Oyaa wanatuibia!! Acha hizo
 
Back
Top Bottom