antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
#Utadaije tume huru badala ya kubadili mfumo wa ELIMU uliopo?
Point yangu ipo hapa:
Utakuta mtu ametoka job huko hata kunawa hajanawa anaingia kwenye mgahawa ambamo watu wanapata chakula huku akitoka jasho na matope mwili Mzima ,hatukatai unafanya kazi umeshindwa hata kunawa kwenye bomba ndo uingie kupata chakula?
Sasa kisa kuna Uhuru wa kuingia na kutoka ndo uje na matope na jasho bichi kweli huku uko peku miguu Ina tope tupu? Tujitahidi wakuu heshimuni biashara za watu na wateja wengine