antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Mkuu, nadhani anaelalamika ni mteja!Wawekee sehemu ya kunawia hapo nje kabla ya kuingia mgahawani; kwa sababu ukiwakaripia hutouza, na wewe unataka hela.
wew na mgahawa wako usitusamange,
unaijua njaa wewe?
Mimi ni mteja tu Sina mgahawa Wala hotelwew na mgahawa wako usitusamange,
unaijua njaa wewe?