Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Hiyo barua ni ya kuzuga tu, serikali ndiyo inayokamata wanaokula mchana na ndio imewapiga faini kampuni ya utalii.Kama inatumia sharia, iweje serekali ya Zanzibar Leo itoke kuonyesha unyanyasaji sio sahihi?
Ukiisoma vizuri hiyo barua haikemei chochote.