Tuheshimu wanyama na tuache kabisa ukatili dhidi yao. Wao pia wameumbwa na Mungu huyu huyu

Tuheshimu wanyama na tuache kabisa ukatili dhidi yao. Wao pia wameumbwa na Mungu huyu huyu

CELLULAIRE

Member
Joined
Mar 16, 2016
Posts
76
Reaction score
97
Mkazi mmoja huko nchini Malaysia aitwa K Ganesh amehukumiwa kwenda jela kwa miezi 34 kwa kosa la kumuua paka ambaye alikuwa na mimba kwa kumuweka ndani ya mashine ya kufulia nguo.

Kwa sheria za haki za wanyama nchini humo ni kosa kwa mtu kufanya kitendo hicho cha ukatili kwa wanyama kwani hata Mwenyezi Mungu aliumba wanadamu na wanyama pamoja kwa makusudi yake.

Chanzo: Daily Nation
 
huwa nina wakati mgumu sana hata kuua panya nyumbani kwangu.juzi niliwatoa nje wakaliwa na kunguru[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom