Tuhuma: AS VITA wadai wamefanyiwa nikija na Simba

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Kwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu.

Lakini kwanini malalamiko iwe baada ya mechi kuisha?

Hivi CUF haina wachunguzi wa kuhakiki vyumba kabla wachezaji wa kigeni hawajaingia?

Hawa majamaa hizo mask zao walijiandaa mda gani na kwanini wasigome Kwenye hatua za mwanzo.

Hawajaingia kwenye chumba cha kubadili nguo wakakaa Kwenye corido, hizo mbinu nani aliwapa?
Screenshot_20190317-111938_Facebook.jpeg
FB_IMG_1552810800196.jpeg
FB_IMG_1552810794235.jpeg
FB_IMG_1552810787787.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu.

Lakini kwanini malalamiko iwe baada ya mechi kuisha?

Hivi CUF haina wachunguzi wa kuhakiki vyumba kabla wachezaji wa kigeni hawajaingia?

Hawa majamaa hizo mask zao walijiandaa mda gani na kwanini wasigome Kwenye hatua za mwanzo.

Hawajaingia kwenye chumba cha kubadili nguo wakakaa Kwenye corido, hizo mbinu nani aliwapa?View attachment 1047463View attachment 1047464View attachment 1047465View attachment 1047466

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni porojo tu. Wanathibitisha vipi hili? Yaani timu kubwa kama vita imefikia hatua inaamini ujinga huu? Kumbe walistahili kutolewa.
Wakubali kuwa hawana hati miliki ya kushinda kola mechi.
 
Kwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu.

Lakini kwanini malalamiko iwe baada ya mechi kuisha?

Hivi CUF haina wachunguzi wa kuhakiki vyumba kabla wachezaji wa kigeni hawajaingia?

Hawa majamaa hizo mask zao walijiandaa mda gani na kwanini wasigome Kwenye hatua za mwanzo.

Hawajaingia kwenye chumba cha kubadili nguo wakakaa Kwenye corido, hizo mbinu nani aliwapa?View attachment 1047463View attachment 1047464View attachment 1047465View attachment 1047466

Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga mwinyi zahera ndio kawalisha huu ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi allegations ni kubwa sana, mkemia mkuu aende kupima residues na watu wa CAF kama hakuna kitu washitakiwe kwa slander, pia wanaweza wakajipulizia wenyewe alafu wakajipima as evidence kumbe waongo all in all hii inatisha
 
mpira huwa unachezwa nje na ndani, hiivi wangeshinda wangetoa malalamiko hayo? nadhani wangetoa malalamiko yao mapema na inavyoonekana kuna watanzania wamewambia kuwa mtapuliziwa dawa au wamekuja na fikra zao toka kwao maana wamewahi kufanya vitu ka hivyo ndo maana unaona walishajipanga kukabiliana na hali ka hiyo, ufanyike uchunguzi ka ikisibitika sivyo upate adhabu kulingana na propaganda walizosambaza
 
Kwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu.

Lakini kwanini malalamiko iwe baada ya mechi kuisha?

Hivi CUF haina wachunguzi wa kuhakiki vyumba kabla wachezaji wa kigeni hawajaingia?

Hawa majamaa hizo mask zao walijiandaa mda gani na kwanini wasigome Kwenye hatua za mwanzo.

Hawajaingia kwenye chumba cha kubadili nguo wakakaa Kwenye corido, hizo mbinu nani aliwapa?View attachment 1047463View attachment 1047464View attachment 1047465View attachment 1047466

Sent using Jamii Forums mobile app
AS Vita ni timu kubwa taratibu za kupinga hujuma wanazijua hao ni Yanga na kocha wao Zahera ndio wanaeneza uvumi AScVita alipaswa walipaswa wapeleke malalamiko yao kwa Kamisaa na viongozi wa CAF kuwa wana ushahidi vyumba vimepuliziwa dawa ili uchunguzi ufanywe.Sasa kama hawakuingia basi dawa hawakuivuta walikuwa wazima.Au Refa aliipendelea Simba? Au Simba ilimchwzesha Ronald ambaye sio mchezaji wa simba? wakubali matokeo kwani wao nani hata wasifungike?

mkuu tatizo alikuja na matokeo yao
 
Soka la Africa bhana! CAF ina kazi kubwa Sana. Yaani hiyo spray ndio iliwaponza?
 
Hapo ni kwenye corridor maana hawakuingia kwenye chumba chao. Sasa kama nicorridor, si hata wachezaji wa Simba walipita hapo hapo? Ni porojo tu Zahera aliwaambia ili waone kwamba hata Yanga walipuliziwa wakafungwa na Simba na Lipuli
 
Kilichowauma hao ni kipigo cha ni kusalimiwa kamwene
 
Kwa hiyo walivyogundua wamewekewa sumu, wakaamua kuendelea kukaa humohumo ndani. Kwa nn hawakutia taarifa mapema? Wamejilaza tu chini, wengeenda hospital kama kweli walipuliziwa dawa. Hawana madaktari wa kuwashauri wakacheck afya kabla ya game kutokana na sumu. Maswali ni mengi sana juu ya hoja yao.
 
Back
Top Bottom