Mbona kwenye press conference kocha wao hakuongea mswala ya sumu? Aliwapongeza simba kwa ushindi na kuisifia timu ya simba. Kwani yeye hakujua mambo ya sumu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu.
Lakini kwanini malalamiko iwe baada ya mechi kuisha?
Hivi CUF haina wachunguzi wa kuhakiki vyumba kabla wachezaji wa kigeni hawajaingia?
Hawa majamaa hizo mask zao walijiandaa mda gani na kwanini wasigome Kwenye hatua za mwanzo.
Hawajaingia kwenye chumba cha kubadili nguo wakakaa Kwenye corido, hizo mbinu nani aliwapa?View attachment 1047463View attachment 1047464View attachment 1047465View attachment 1047466
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app