Tuhuma: AS VITA wadai wamefanyiwa nikija na Simba

Tuhuma: AS VITA wadai wamefanyiwa nikija na Simba

Mbona kwenye press conference kocha wao hakuongea mswala ya sumu? Aliwapongeza simba kwa ushindi na kuisifia timu ya simba. Kwani yeye hakujua mambo ya sumu?
Kwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu.

Lakini kwanini malalamiko iwe baada ya mechi kuisha?

Hivi CUF haina wachunguzi wa kuhakiki vyumba kabla wachezaji wa kigeni hawajaingia?

Hawa majamaa hizo mask zao walijiandaa mda gani na kwanini wasigome Kwenye hatua za mwanzo.

Hawajaingia kwenye chumba cha kubadili nguo wakakaa Kwenye corido, hizo mbinu nani aliwapa?View attachment 1047463View attachment 1047464View attachment 1047465View attachment 1047466

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuliziwe substance halafu ufungwe moja? Wewe ni nani? Unatokea ukoo wa superman au?

Waache ufala.

Ndiyo maana sishabikii mpira wa Afrika.
 
hawakuingia vyumbani,walikojoa kwenye nchupa hapohapo kwenye corridor kwenye chupa video zipo,trust me,zahera ni nyoka sana kawadanganya,hadi leo kuna watu hawataki kukubali kwamba simba wanajua mpira,labda ndo michezo yao kinshasa hawa vita
Hapo ni kwenye corridor maana hawakuingia kwenye chumba chao. Sasa kama nicorridor, si hata wachezaji wa Simba walipita hapo hapo? Ni porojo tu Zahera aliwaambia ili waone kwamba hata Yanga walipuliziwa wakafungwa na Simba na Lipuli
 
Wamedanganywa na Zahera na nilipoona wanajihami hami tu nikajua washafungwa sasa Unakataa kuingia vyumbani unakaa koridoni wakati kwenye korido ndo watu wamewangia Hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio mchezo wao ndio maana walituokota 5 kwao,hivyo wanaisema tabia yao.Kama mtakumbuka miaka yote Simba na yanga zinacheza na zinfungana lakini hapajatokea madai kama haya ila alipokuja huyu kocha wao Zuhura ndio yakaanza madai haya kwa kuwa ndio mambo ya kwao wanayofanya na ndie yeye aliewashauri mafala wenzake wavae hizo mask ili huenda watapata huruma ya CAF.
Yaani inajitekenya yenyewe halafu inacheka yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom