Ni porojo tu. Wanathibitisha vipi hili? Yaani timu kubwa kama vita imefikia hatua inaamini ujinga huu? Kumbe walistahili kutolewa.Kwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu.
Lakini kwanini malalamiko iwe baada ya mechi kuisha?
Hivi CUF haina wachunguzi wa kuhakiki vyumba kabla wachezaji wa kigeni hawajaingia?
Hawa majamaa hizo mask zao walijiandaa mda gani na kwanini wasigome Kwenye hatua za mwanzo.
Hawajaingia kwenye chumba cha kubadili nguo wakakaa Kwenye corido, hizo mbinu nani aliwapa?View attachment 1047463View attachment 1047464View attachment 1047465View attachment 1047466
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga mwinyi zahera ndio kawalisha huu ujingaKwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu.
Lakini kwanini malalamiko iwe baada ya mechi kuisha?
Hivi CUF haina wachunguzi wa kuhakiki vyumba kabla wachezaji wa kigeni hawajaingia?
Hawa majamaa hizo mask zao walijiandaa mda gani na kwanini wasigome Kwenye hatua za mwanzo.
Hawajaingia kwenye chumba cha kubadili nguo wakakaa Kwenye corido, hizo mbinu nani aliwapa?View attachment 1047463View attachment 1047464View attachment 1047465View attachment 1047466
Sent using Jamii Forums mobile app
AS Vita ni timu kubwa taratibu za kupinga hujuma wanazijua hao ni Yanga na kocha wao Zahera ndio wanaeneza uvumi AScVita alipaswa walipaswa wapeleke malalamiko yao kwa Kamisaa na viongozi wa CAF kuwa wana ushahidi vyumba vimepuliziwa dawa ili uchunguzi ufanywe.Sasa kama hawakuingia basi dawa hawakuivuta walikuwa wazima.Au Refa aliipendelea Simba? Au Simba ilimchwzesha Ronald ambaye sio mchezaji wa simba? wakubali matokeo kwani wao nani hata wasifungike?Kwenye social media mbalimbali hawa Vita wanaeneza tuhuma na wanadai wametuma malalamiko CAF,kwamba Kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Simba wame spray sumu.
Lakini kwanini malalamiko iwe baada ya mechi kuisha?
Hivi CUF haina wachunguzi wa kuhakiki vyumba kabla wachezaji wa kigeni hawajaingia?
Hawa majamaa hizo mask zao walijiandaa mda gani na kwanini wasigome Kwenye hatua za mwanzo.
Hawajaingia kwenye chumba cha kubadili nguo wakakaa Kwenye corido, hizo mbinu nani aliwapa?View attachment 1047463View attachment 1047464View attachment 1047465View attachment 1047466
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tatizo alikuja na matokeo yaoAS Vita ni timu kubwa taratibu za kupinga hujuma wanazijua hao ni Yanga na kocha wao Zahera ndio wanaeneza uvumi AScVita alipaswa walipaswa wapeleke malalamiko yao kwa Kamisaa na viongozi wa CAF kuwa wana ushahidi vyumba vimepuliziwa dawa ili uchunguzi ufanywe.Sasa kama hawakuingia basi dawa hawakuivuta walikuwa wazima.Au Refa aliipendelea Simba? Au Simba ilimchwzesha Ronald ambaye sio mchezaji wa simba? wakubali matokeo kwani wao nani hata wasifungike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamedanganywa na mjinga mwenzao zaheraNi porojo tu. Wanathibitisha vipi hili? Yaani timu kubwa kama vita imefikia hatua inaamini ujinga huu? Kumbe walistahili kutolewa.
Wakubali kuwa hawana hati miliki ya kushinda kola mechi.