Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Nafikiri tungeanza kwanza na kangi lugolaTunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Kama michango ipo kikatiba kwa nini wanalalamika kwa spika? Kwa nini hiyo fixed account pesa hazijulikani zimepigwa vipi?Naombaujue yafuatayo:
1: Hizo pea/michango ipo kikatiba. Katiba ya chadama inaonesha wazi kuwa kila mbuge atachangia sehemu fulani ya pesa toka kwenye posho za ubunge. Sasa huyo anaye sema kuwa analazimishwa inamaana hakuisoma hiyo katiba?
2: Kwa tanzania, ni wapinzani tu ndo hawako juu ya seria, lakini kwa ccm na serikali yake, wao wako juu ya sheria.
Ishu ya akina Kangi ipo kwa Dpp.Yeye ndio anajua nani anahusika. Na hii nayo tunataka ifike huko.
Kama michango ipo kikatiba kwa nini wanalalamika kwa spika? Kwa nini hiyo fixed account pesa hazijulikani zimepigwa vipi?
Ok ipo kikatiba,fine. Ziko wapi hizo bil 8?Ingekuwa vizuri uwaulize wanaolalamika kama hiyo michango iko kikatiba au. then ndo uulize hay maswali mengine
Kangi alisaini Tu lakini alikuwa hajakamilisha muamala...
Nyie watu!! Yaani bilioni 8 kwa muda gani na kila hela zikichangwa hazitumiki??Ok ipo kikatiba,fine. Ziko wapi hizo bil 8?
Kikundi cha wapiga Dili hiki hapaNI KICHAAA TU.
Ndo anayeweza kuielewa Chadomo kama chama cha siasa. Kwa mtu makini huwezi kuiunga mkono chadomo kwani unajua kabisa ni kikundi cha wapiga dili tu.
Shida ni kwamba haijulikani bil 8 zilipo.Mna bwabwaja tu maneno, katiba ya CHADEMA hilo ka kuchangishwa fedha ni miongoni mwa kifungu chao sasa nini shida kama katiba yao ipo hivyo ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka ushahidi wa hayo matumizi. Kama utaratibu unavyotaka.Nyie watu!! Yaani bilioni 8 kwa muda gani na kila hela zikichangwa hazitumiki??