Tuhuma dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA zisipuuzwe, TAKUKURU chukueni hatua

Naombaujue yafuatayo:

1: Hizo pea/michango ipo kikatiba. Katiba ya chadama inaonesha wazi kuwa kila mbuge atachangia sehemu fulani ya pesa toka kwenye posho za ubunge. Sasa huyo anaye sema kuwa analazimishwa inamaana hakuisoma hiyo katiba?

2: Kwa tanzania, ni wapinzani tu ndo hawako juu ya seria, lakini kwa ccm na serikali yake, wao wako juu ya sheria.
Sawa ila hazionekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huwa uangalii Tv?
Nimeanza kuangalia TV tangu 1994 mpaka sasa bado sijaiona taarifa ya PCCB kumpeleka mbowe mahakamani ndio maana nikasema kwakuwa nyie ndio mnamiliki bunge,serikali na mahakama mkishakamilisha kazi ya kukusanya ushahidi na kumpeleka mbowe mahakamni utaniTAG.
 
Takukuru lazima wangaalie mambo ya RUSHWA ZA NGONO pale CDM.

Maana wabunge wa viti maalum ni waanga wa matukio ya ki ngono na unyanyasaji dhidi yao.
 
Nimeanza kuangalia TV tangu 1994 mpaka sasa bado sijaiona taarifa ya PCCB kumpeleka mbowe mahakamani ndio maana nikasema kwakuwa nyie ndio mnamiliki bunge,serikali na mahakama mkishakamilisha kazi ya kukusanya ushahidi na kumpeleka mbowe mahakamni utaniTAG.
Safari ya kwenda mahakani inanukia.
 
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .

Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.

Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.

Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.

Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Utopolo akili zenu hazina tofauti na maiti,ccm wamepata hati chafu ingekua anachukia ufisadi ungekuta mwenyekiti wenu na bashiru wote wamejipeleka takukuru.
Siku ingine ukija humu uje na akili zako mwenyewe sio hizi za kuropoka kutumia mzutii wako
 
Hivi kile chama kilichopata hati chafu kilishawahi kuchunguzwa na takukuru kweli kuona kwa nini kimepata hati chafu na vingine vimepata hati safi
 
Cag ameshafanya yake hafu tena pccb yanarudia tena.wakitofautiana tutakuwa na mashaka na vyombo hivyo
 
Utopolo akili zenu hazina tofauti na maiti,ccm wamepata hati chafu ingekua anachukia ufisadi ungekuta mwenyekiti wenu na bashiru wote wamejipeleka takukuru.
Siku ingine ukija humu uje na akili zako mwenyewe sio hizi za kuropoka kutumia mzutii wako
Hati chafu?
 
Kwani mahakama hawazijui zilipo si wakafungue mashtaka
Kila anayeondoka oh Mbowe oh Mbowe mbona mlikuwa hamsemi mlipokuwa pande hiyo?
Punguzeni kelele bwuaaaana
Mbowe anawatoa kafyondo au
Maombi yako yamesikilizwa, takukuru wameanza uchunguzi wakimaliza watafungua mashtaka ili hiyo Ooh Mbowe ooh Mbowe isiwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .

Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.

Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.

Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.

Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Mbowe hatuko juu ya sheria. Achunguzwe kwa yote.

Utakubali kwamba Magufuli naye hatuko juu ya sheria, achunguzwe kwa yote?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kwahiyo ukiwa na matumizi mabaya ya fedha pccb ikuchunguze?
 
Back
Top Bottom