Tuhuma dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA zisipuuzwe, TAKUKURU chukueni hatua

Hapa lazima haki itendeke hizi fedha zijulikane amezipeleka wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna pesa za EPA, ESCROW, LUGUMI, TRILION 1.5 Kwa mjibu wa CAG Musa Assad, Trillion 1.2 ya KANGI LUGOLA na hivi ya Mbowe 8b.Hizi pesa tuzidai kwa nguvu zote.Lkn pia kuna Trillion 425 walizotuibia BARRICK GOLD tunazihitaji.
Pia kuna Pesa alizotumia Ndugai kule India bila kufuata taratibu billion 12.
Hizi pesa Watanzania tuzidai kwa nguvu zooote.
Hapa lazima haki itendeke.
 
Kwa hiyo nyie munapofungua thread zenu mkimzungumzia Jiwe huwa mnakuwa magay au vigoli?
Ninyi ndio munaoihubiri demokrasia Tanzania lakini mukibanwa kwenye hoja munaanza kutukana badala ya kuijibu hiyo hoja husika .

Jikite kwenye hoja
 
Ripoti ya mkaguzi mkuu inasemaje kuhusu mahesabu ya chadema, imeonyesha upotevu wowote? Hao majua kali wanaweza semanlolote sio watu wa kuwaamini, hao ni malaya tu wakisiasa.
Hii fixed account huenda walimficha CAG. Maana CAG anakagua zaidi ruzuku na pesa zinazojulikana.
 
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .

Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.

Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.

Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.

Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Tundu Lissu: Wanaomsingizia Mbowe kwa ufujaji wa pesa za chama wapuuzwe kabisa - Ripoti za CAG miaka yote ni uthibitisho tosha - JamiiForums
 
Nyungu! What has it to do with your understanding? Na wewe unasubili kushauliwa au kulazimishwa na rais kujikinga? Btw., wapiga kura wanamfurahia rais kwa kukataa lockdown! Kwa nini Mbowe aendelee kuamini ni mtaji wa kisiasa?
kushauliwa - kushauriwa
 
Mbowe anatajwatajwa jina Sana kama jina la Yesu Christ. Hongera Sana Mbowe kwa ujenzi wa taifa. Wewe ni mpigania haki usiechoka.

Big up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .

Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.

Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.

Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.

Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Vyama vyote vya siasa vinakaguliwa na CAG na ripoti kupewa Rais ambaye huiwasilisha bungeni , hata ukichukua ruzuku ya Chadema kwa miaka 4 haifikii kiasi hicho
 
Hata km wanachama wa Chadema wanakuogopa sana kutafuna bilion8 ni aibu kubwa kwa Kiongozi unayesimama kuikosoa serkali, Wananchi wa marangu ni masikini sana! Ila Wewe umechukua Bilion nane umetia kibindoni! Hii haikubaliki

Tunaomba rudisha bilion nane alizotafuna

Nakupa tahathari usipuuze ,kwa kuwa mimi nipo well informed na chama chako
Muda wowote wanachama wataandamana mikoa mbali mbali kukutaka urudishe pesa

Rudisha pesa kabla wanachama hawajaandamana

Rudisha bilion nane
Wanachama wa chadema wakiruhusiwa kuandamana nitakunya mavi kidogo kidogo kutoka Kibaha mail moja mpaka posta mpya. Na wakiandamana tu itakuwa ni wana ccm na watalindwa na raia wakakamavu (police).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .

Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.

Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.

Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.

Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Nadhani akili yako ni ndogo, wanakatwa kwa mabavu kivipi na wakati kila mtu mshahara wake anawekewa kwenye A/C yake? pia kwenye katiba yao imeandikwa unataka wafanyaje? unataka kuniambia CCM hawachangii chama chao? hili jina utakuwa wewe ni ngosha umekulia kwenye nyumba za tembe roho yako imejaa visasi kama mzee wako
 
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .

Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.

Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.

Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.

Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.

We ni chizi tu huna lolote!
Hivi unajua maana ya Michango? Kama watu ndani ya chama husika whether ni CHADEMA or CCM au any party wamekubaliana kuchangia kama mkakati wa kuimarisha chama Chao, kuna dhambi gani hapo?

Kama huyu dumejike Lijualikali alikuwa anachangishwa bila ridhaa yake, KWANINI HAKUPELEKA HILO SWALA PCCB? Je, Takukuru wana Sheria inayozuia watu kuchangia kwenye Taasisi yoyote?

Juzi tumesikia Serikali ikihamasisha Wananchi na Taasisi kuchangia Fedha kwa ajili ya Covid-19 na Kuna Bilions zimechangwa ziko wapi? Mbona hujaenda kuwaambia PCCB wazifuatilie?

Kuna michango kwenye vilabu vya MPIRA Wanachama na mashabiki wanachangia vulabu vyao k.m.Yanga na Simba....mbona hamjawaambia PCCB kuchunguza hizo pesa?
 
Hugo supwoka siakaripoti takukuru kama amegundua ubadhirifu/wizi. Unakuwa kiongozi was bunge alafu unatumia nafasi yako kushambulia wabunge na vyama vyao tens ndani ya bunge kwenye kiti hiyo no kutumis madaraka vibaya kunyanyasa watu!!
Kiustaarabu haifai supwika kushambulia wapinzani bungeni angeenda kwenye mikutano ya nje!!
#siouongozi
 
We ni chizi tu huna lolote!
Hivi unajua maana ya Michango? Kama watu ndani ya chama husika whether ni CHADEMA or CCM au any party wamekubaliana kuchangia kama mkakati wa kuimarisha chama Chao, kuna dhambi gani hapo?

Kama huyu dumejike Lijualikali alikuwa anachangishwa bila ridhaa yake, KWANINI HAKUPELEKA HILO SWALA PCCB? Je, Takukuru wana Sheria inayozuia watu kuchangia kwenye Taasisi yoyote?

Juzi tumesikia Serikali ikihamasisha Wananchi na Taasisi kuchangia Fedha kwa ajili ya Covid-19 na Kuna Bilions zimechangwa ziko wapi? Mbona hujaenda kuwaambia PCCB wazifuatilie?

Kuna michango kwenye vilabu vya MPIRA Wanachama na mashabiki wanachangia vulabu vyao k.m.Yanga na Simba....mbona hamjawaambia PCCB kuchunguza hizo pesa?
Wanachama wanachangia lakini pesa zitumike inavyotakiwa na kwa uwazi. Hii fixed account ilikuwa ni ajiri ya uchaguzi mbona zimeyeyuka? Na nani amezichota?
 
Back
Top Bottom