Tuhuma dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA zisipuuzwe, TAKUKURU chukueni hatua

Unatumia njia ndeeeefu sana kudai hizo hela,njia rahisi nenda polisi ukiwa na ushahidi polisi watapeleka kesi mahakamani.Sasa unamdai Mbowe hela huku mtandaoni utazipata kweli?
Hata km wanachama wa Chadema wanakuogopa sana kutafuna bilion8 ni aibu kubwa kwa Kiongozi unayesimama kuikosoa serkali, Wananchi wa marangu ni masikini sana! Ila Wewe umechukua Bilion nane umetia kibindoni! Hii haikubaliki

Tunaomba rudisha bilion nane alizotafuna

Nakupa tahathari usipuuze ,kwa kuwa mimi nipo well informed na chama chako
Muda wowote wanachama wataandamana mikoa mbali mbali kukutaka urudishe pesa

Rudisha pesa kabla wanachama hawajaandamana

Rudisha bilion nane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo humu ujumbe amepata
Yupo kimya sasa utafanyaje?Mbona kesi zingine hata zisizoeleweka mnawapeleka haraka sana mahakamani,na wakati mwingine mkijisikia tu mnaweza kubadili kesi ya awali na kuweka mnayo jisikia,kuna uzito gani katika hili? Au ndo mwendelezo wa shughuli ya kumuharibia Biashara zake? Muda Fulani mjitahidi kuwa na dhamiri Hai, yaani kujitofautisha na wanyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unawezaje kumtetea mtu aliyetafuna bilion 8?
Yupo kimya sasa utafanyaje?Mbona kesi zingine hata zisizoeleweka mnawapeleka haraka sana mahakamani,na wakati mwingine mkijisikia tu mnaweza kubadili kesi ya awali na kuweka mnayo jisikia,kuna uzito gani katika hili? Au ndo mwendelezo wa shughuli ya kumuharibia Biashara zake? Muda Fulani mjitahidi kuwa na dhamiri Hai, yaani kujitofautisha na wanyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .

Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.

Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.

Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.

Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Katiba ya chadema inasema wazi Mbunge atachangia pesa za ubunge kwa ajili ya kukijenga chama,kama alikubali kuchukua fomu ni wazi alikubaliana na hivyo vipengele sasa kitendo cha kusema walikuwa wanakatwa fedha na kuliwa na mbowe as if fedha zilikuwa zinaingia kwenye account ya mbowe.
 
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa? Hoja sio michango bali pesa kwenye account fixed zimeyeyuka bila kujua zimetumika vipi. Pccb wachunguze hili suala.
 
TLP kinajiendeshaje wakati hakina hata mwenyekiti wa nyumba 10? Fedha za kuendesha mkutano mkuu ,kumlipa mwenyekiti,katibu wa chama,viongozi wake mbali mbali ngazi ya kitongoji,kata,tarafa,jimbo,mkoa wanapata wapi? Hapo inamaanisha kuna watu wanachangia hicho chama! Sio kosa kwa wanachama kuchangia chama chao kikue!!

Kama Mbowe amekula bil 8 report ya CAG ingeonyesha kuna utapakanyaji wa fedha na wangepewa hati chafu na kama ni kweli Mbowe kaiba bil 8 lazima Ndugai/Jiwe/Bashite wangekuwa washampeleka kwa PILATO na kumpa kesi ya uhujumu uchumi.
 
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa? Hoja sio michango bali pesa kwenye account fixed zimeyeyuka bila kujua zimetumika vipi. Pccb wachunguze hili suala.
Zimeyeyuka kwenye Report ya CAG ameweka huo uyeyukaji au Bil 8 ni zimeibiwa 2019-2020? Kwahiyo wabunge hao 60 ndani ya mwaka fixed wameweka 8b au siyo na propaganda zenu? Tatizo mnapenda Propaganda halafu hisabati hamjui.
 
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .

Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.

Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.

Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.

Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.

Kweli hizi ni tuhuma nzito, Pccb na hata Msajili wa vyama wanapaswa kuchunguza na kuchukua hatua ZA kisheria haraka.
 
Zimeyeyuka kwenye Report ya CAG ameweka huo uyeyukaji au Bil 8 ni zimeibiwa 2019-2020? Kwahiyo wabunge hao 60 ndani ya mwaka fixed wameweka 8b au siyo na propaganda zenu? Tatizo mnapenda Propaganda halafu hisabati hamjui.
Hayo maswali kamuulize Peter aliyeibua huo ufisadi. Kwani sisi tulikuwa tunajua kuna fixed account in bil 8? Peter ndio katufumbua macho.
 
Sasa unashabikia vitu ambavyo hauvijui kweli? Lijualikali hizo bil 8 kaziona baada ya kupigwa chini? Kama Mbowe kaiba mfungulieni kesi si mna kila kitu kuanzia Bunge,Serikali hadi Mahakama.
 
Subiri Pccb walifanyie kazi.
 
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .

Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.

Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.

Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.

Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Wanaolalamika waende mahakamani. Huko ndiko haki hutendeka. La sivyo hiyo ni siasa tu! Kwa nini tushupalie 0.008T na siyo 1.5T?
 
Acha utoto,PAC waliweka wazi ishu ya tril 1.5 reconciliation ilifanyika wala hakuna pesa iliyopotea.
 
Sisi tunasimama na report ya CAG ambayo imeipa hati swaafi CDM, sasa kama mnaweza nendeni wa CAG mmwambie akabadilishe makaratasi yake.

Tume huru mtaitoa tu, mtake mstake...
 
Back
Top Bottom