Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

Wishful thinking zitawatesa sana lakini mwisho wa siku CDM ipo itakuwepo na itadumu,ngome ya adui iko kitambo kidogo tu kwa hiyo kelele lazima ziwe nyingi Magamba tulieni kama anyolewaye mkijitingisha tu wembe utakula sikio!
 
Wishful thinking zitawatesa sana lakini mwisho wa siku CDM ipo itakuwepo na itadumu,ngome ya adui iko kitambo kidogo tu kwa hiyo kelele lazima ziwe nyingi Magamba tulieni kama anyolewaye mkijitingisha tu wembe utakula sikio!

Umenena
 
Kama katiba iliwasiliswa kwa msajili wa vyama, na akaikubali, na kama CHADEMA waliikiuka na msajili akawaacha (nina maana moja ya kazi za msajili ni monitor/moderate vyama vinavyoendeshwa), basi msajili ahukumiwe kwanza, dhen ndio CHADEMA ihukumiwe.
 
Hii habari ilikuwemo humu ikatolewa

[wanabidii] UFISADI WA ZITTO ZUBERI KABWE

Wednesday, October 30, 2013​
kauli yake inadhihirsha tabia zake za kisaliti.​
anataka kuficha maovu yake ya kupokea Million 250 CRDB na zile Dolla laki 2 na ushee kupitia German.​
Huyu bwana ni msaliti na kwa wajuzi wa mambo mtaona ni kwanini hakuandamana na dr slaa wakati wa kampeni za urais​
CCM wana mtumia na walishamtumia siku nyingi na innafaa atemwe cheo chake kabla ya 2015 atakiangamiza chama.​
Zito your finished man, nlikuamini lakini baada ya kusoma post inayokuhusu wewe sina imani nawe kanisa​
Umethamini hela kuliko maisha ya sisi walalahoi tunaotegemea ukombozi wa kweli......​

​
Riporti ya siri inaeleza ukweli 23/6/2008 saa 07:52 ulikutana na kina Wassira na mtu wa usalama wa Taifa sea cliff​
30/6/2008 Ulipokea mshiko wako CRDB Bank kiasi 250Tsh Million.​
Kisha Jumatano ya tarehe 16/12/2009 majira ya saa 13:12 za mchana​
kwa Ujerumani akaunti namba .............................,​
ziliingizwa dola za kimarekani 266,000 pesa hizi katika​
uchunguzi zimebainika kuwa zilitoka Tanzania katika Benki ya​
NMB Dar katika akaunti namba​
.............................. ... yenye jina la TSA,​

​
Fedha hizo alizichukua ili kutoa taarifa za siri za chadema na aliezipokea kwa niaba yake huko germani ni mwana mama alisoma nae nae akapewa Dola 25,000 kama ahsante...kweli tanzania hatuna wazalendo​

​
wakatoa na evidence hii Mfano tarehe 7/9/2010 siku ya jumanne saa 11:21 asubuhi,​
...............kupitia namba yake ya simu ya kiganjani​
......................, alimpigia Zitto kupitia simu ya kiganjani namba​
.............................. waliongea mambo mengi japo kwa muda mfupi, na​
jambo kubwa lilikuwa ni "vipi kuna kipya ndani ya Chadema?"​
Zitto alijibu "yapo mengi lakini hayana impact kwa ccm"​

​
LISEMWALO LIPO NA KAMA HALIPO LAJA.

​
NIWAULIZE MOOD KWANINI WALITOA HABARI NZIMA ISIACHWE IKASOMWA NA JF TUKAMPIMA ZITO????


​
nlibahatika kukariri chache.
​

kwa sasa ipo WANABIDII BLOG: [wanabidii] UFISADI WA ZITTO ZUBERI KABWE
 
Mtei alipomkabidhi uenyekiti Bob Makani, katiba ikabadilishwa na kikaingizwa kipengele cha ukomo wa vipindi viwili. Alipokabidhiwa Mbowe uenyekiti, kipengele hicho kikafutwa bila kushirikisha wanachama katika maamuzi hayo!!!​
 
Mtei alipomkabidhi uenyekiti Bob Makani, katiba ikabadilishwa na kikaingizwa kipengele cha ukomo wa vipindi viwili. Alipokabidhiwa Mbowe uenyekiti, kipengele hicho kikafutwa bila kushirikisha wanachama katika maamuzi hayo!!!​

Je, kulingana na wanabidii ZZK ni kirusi ndani ya CDM au la? Kama jibu ni ndiyo ni kwa nini pamoja na kisomo chake amekubali kununuliwa huku alishasema hana bei?
 

Mkuu Pasco, kuna mdau kabandika hiki kiji-ukurasa kwenye uzi mwingine huu hapa, itabidi kujiridhisha na authenticity yake, au iwekwe katiba nzima hapa ndio watu waamini.
 
Mkuu Zitto jnr, kwanza asante for much respect.
Utungaji katiba is a process, kila kilichokuwepo kwenye katiba ya mwanzo, kilikuwepo kwa sababu, unapotunga katiba mpya, kila kitakacho ondolewa lazima kijadiliwe with minutes written down.

Katika huo utunzi wa katiba mpya hakuna minutes zozote kuhusu kipengele hicho, as if it's an oversight, kwa taarifa kipengele hicho ni moja ya misingi mikuu kwa Chadema kuitwa Chama cha Demokrasia, how can katiba ya Chadema iwe silent?.

Karibu fuatilia kilichofanyika.

P
 

Wabheja sana mkuu

Mboni yako ni lulu
 

Huwa sasa hivi nikiona mada zako nacheka kweli, kwa hiyo wapinzani hasa cdm wana matatizo, hivyo waende ccm wakafundishwe siasa! Naomba Mungu anaipe maisha marefu niendelee kushuhudia hizo post zako na burudani zake.
 
Huwa sasa hivi nikiona mada zako nacheka kweli, kwa hiyo wapinzani hasa cdm wana matatizo, hivyo waende ccm wakafundishwe siasa! Naomba Mungu anaipe maisha marefu niendelee kushuhudia hizo post zako na burudani zake.

P
 
Dr slaa baada ya kumaliza ubalozi atakua mganga wa kienyeji au mchawi..
 
Mkuu Yericko, nimekusoma mahali, kuwa Chadema haijawahi kukanyaga kifungu chochote cha katiba yake.

Utaratibu wa kufukuza uanachama Chadema unatawaliwa na kifungu No. 5.4.6
Tangu fukuza fukuza ya wanachama wa Chadema, jee kuna hata mara moja mmewahi kukifuata?

Na kwa faida ya wasiofahamu utaratibu wa kufukuza wanachama kwa mujibu wa katiba ya Chadema ni huu

QUOTE="Pascal Mayalla, post: 5404773, member: 17813"]
  • Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?.
  • Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?.
  • Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia, jee hili lilifanyika?, nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, jee huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?.
  • Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, jee hili lilifanyika?.
[/QUOTE]
Jee uliwahi kuisikia tuhuma hii?
P
 
Vyama viko kibau mbona hamuandiki habari zao? Tabia ya kuandika habari za chama kimoja tu cha upinzani inafanya waandishi waonekane vibaraka wa ccm.

Habari za chama kimoja tu siku zote hadi inakuwa "Routine and Monotonous". Acheni ukanjanja andikeni habari ya vyama vingine pia ili pia tuvifahamu. Sasa nchi utafikiri chama ni kimoja tu. This is very silly and rather bore some. Please we're fed up.
 
Mkuu Nyanjomigire, pole, huu ni mti wenye matunda!.
P.
 

Naunga mkono hoja
P
 
Yaani wewe Paschal unaijua vizuri katiba ta CDM kuliko Mnyika? wakati mwingime Paschal huwa unalazimisha kutukanwa humu kwenye group
Soma hapo na useme nani anaijua vizuri zaidi katiba ya Chadema, kuliko nani.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…