Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Yamkini Ni Mwanaume na Una mtizamo wowote Juu ya Wanawake Wenye Watoto/Single Mothers Hili Linakuhusu,
Tusilitizame tu kwa angle ya Sisi ni Wanaume,Tulitizame Hili pia kwenye angle na mtizamo kama Baba wa Mabinti na wanawake wa miaka ijayo,
Kama hatutabadili Mtizamo kinzani na kuaandaa Utaratibu bora wa Namna ya kuishi,Mabinti zetu wa miaka ijayo nao watakutana na majina Haya haya tunaowaita watoto wa wengine,
ITAKUA VYEMA UKIZINGATIA HAYA
1.Kama Huna Mpango Wowote na Mwanamke Ulienae Usimbebeshe Mimba,Tumia Kondumu,
2.Kama Ulikua na Mipango na Mwanamke ulienae ila Mambo hayakwenda Sawia Na Mlibahatika kupata mtoto/Watoto Wajibika kwa Watoto wako.