Tuhuma nzito kama hii ilipotolewa Bungeni, Bunge lilichukua hatua gani kulingana na sheria, taratibu na kanuni za Bunge?

Tuhuma nzito kama hii ilipotolewa Bungeni, Bunge lilichukua hatua gani kulingana na sheria, taratibu na kanuni za Bunge?

Paul Makonda msukuma wa Kolomije anawatikisa taifa Kubwa Marekani na kupoteza muda wao kumjadili.

Shame on USA
Screenshot_20200201-193120.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimya ni sababu Mwenyekiti wao wa CCM hakutoa tamko..Magu ndiyo dira yao
Akisifu hata kama ni la kijinga Watasifu,

Akikosoa Watakosoa,

Akinyamaza nao Wananyamaza .
....huku CCM kwetu huyu mkuu hata akijamba tunajamba naye mkuu!
 
Sio wote tulioa jaaliwa uwezo wa kusoma
Picha.
P
Imenibidi nirudi nisahihishe niliyoandika juu ya hili.

Nielewavyo, mitaala mingi mashuleni, ile ya mwanzo kabisa katika safari ya kuwaelimisha wahusika huanza na vitabu vya picha, au katuni hivi.

Wewe utakuwa unacho kipaji cha pekee kabisa; mmoja kati ya wachache ambao mafunzo yale ya mwanzo hayakuwa na maana yoyote..

Hata picha za abcd..., "hukujaaliwa kuwa na uwezo wa kuzisoma"?
 
Back
Top Bottom