KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Eeeenh!
Hata kusoma picha huwezi!No, sijaiona. What is it ina nini?.
P
Sio wote tulioa jaaliwa uwezo wa kusomaHata kusoma picha huwezi!
....huku CCM kwetu huyu mkuu hata akijamba tunajamba naye mkuu!Ukimya ni sababu Mwenyekiti wao wa CCM hakutoa tamko..Magu ndiyo dira yao
Akisifu hata kama ni la kijinga Watasifu,
Akikosoa Watakosoa,
Akinyamaza nao Wananyamaza .
Ni jibu sahihi kabisa.Sio wote tulioa jaaliwa uwezo wa kusoma
Picha.
P
(Ndugai, Magufuli, Makonda) wote hao lao moja nadhani umenielewa (Unholy alliance)
Sent using Jamii Forums mobile app
Imenibidi nirudi nisahihishe niliyoandika juu ya hili.Sio wote tulioa jaaliwa uwezo wa kusoma
Picha.
P