Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa

Jinga kweli, mahakama zipi? Hizi za akina tiganga? Majaji na mahakimu wanaotoa maamuzi au hukumu kwa kufuata maelekezo toka juu? This is a shithole country.
Jinga niwewe unae shangilia mahakama hiyohiyo inapotoa hukumu kwa watu tofauti tofauti.
Kwa sabaya hakiimetendeka, kwa mwenyekiti, maelekezo toka juu.
 
🤣🤣🤣 Pumbavu sana wewe,hahahaaa

Mnapiga vigelegele kushangilia hukumu ya sabbaya, mnadhani hukumu ilitolewa na mahakama ya nchigani.
Alafu hukumu ikiwaface nyie mnaona mnaonewa na kuanza kubeza sio.
Upumbavu ni kumlinganisha jambazi Sabaya na Mtu muunguwana! Mambo ya Rau Madukani na uporaji wa kutumia silaha, ni mbali mbali! Anyway, kwa upande wa inzi wa kijani, mnafikiri mna-equalize kwa Mbowe, kwa kilicho mpata mjane mwenzenu Sabaya, kumbe mnazidi kujipaka mavi tu!
 
"Nilisema kabisa kuwa Lowassa alitoa pesa kwa viongozi wa CDM chini ya Mbowe, wakafanya maamuzi ya kipuuzi kabisa kumpa nafasi ya kugombea kupitia CDM"

"Ukimtoa Nyerere, ni kiongozi gani aliwahi kuwa muadilifu, kiasi kwamba ushangae Lowassa kupewa nchi?"

Soma izo paragraph zako mbili hapo alafu uniambie kama mlifanya maridhiano kwenye chamachenu baada ya huo udicteta wa kumuingiza huyo lowasa kwa nguvu.

In short, kulingana na kazi alizozifanya magu kwa kipindi kifupi sana,kumchafua inabidi ujitoeakili kwanza kama mnavyo fanya humu.
Na kimsingi mmesha kwama sababu kazizake zinajieleza zenyewe na nyinyi ni madebe matupu.

Sasa mnajifanya mnatiahuruma kuomba muombwe msamaha.
Shame on you guys.
Hakuna mtu atakaesikiliza huo upuuzi wenu.
Kama mmetumwa waambieni tu jamaazenu warudi home tu,hakuna platform itakayo wabeba kuwarudisha hapa.
Warudi tu, kama walivyoondoka.
 
Maneno meeengi hamna hoja nzito hata moja. Mwingira mhuni tu. Mali za Billioni 10 atoe wapi? Ana tofauti gani na Gwajima aliedai kununua treni? Wote wahuni tu
 
Maneno meeengi hamna hoja nzito hata moja. Mwingira mhuni tu. Mali za Billioni 10 atoe wapi? Ana tofauti gani na Gwajima aliedai kununua treni? Wote wahuni tu
Uliujua mtaji wa benki ya Efatha?Mashamba?Vifaa?Fedha taslimu zulizoporwa?Tikisa mbichw huo uupate ukweli.Acha fikra za kilofa.
 

We ndio mnara kabisa.
Uungwana wake ni kitugani,mwenzako anasema alipiga mpunga akamruhusu mamvi kugombea urais, ndio uungwanahuo unaousema ama kuna kingine.

Mimi naongelea jinsi mahakama inavyo toa haki, kama mtuhumiwa alivunja duka ama alipora N.K kinachoangaliwa ni kama sheria inafuatwa na hukumu zinatoka kwa haki, hayo mambo ya kulinganisha watu nijuuyako.
 
Maneno meeengi hamna hoja nzito hata moja. Mwingira mhuni tu. Mali za Billioni 10 atoe wapi? Ana tofauti gani na Gwajima aliedai kununua treni? Wote wahuni tu
Kama huelewi jambo unanyamaza tu kuliko kuandika na kumbe una - display ujinga wako...

Ama kama huna uhakika na unachokiandika, ungekuja na swali ili ujibiwe na majibu hayo yakupe ufahamu...

Lakini wewe unauliza swali la: 10bn atoe wapi? Ebo! Kumbe wenye milioni moja, elfu 50 kama wewe au wenye 100bn huwa wanatoa wapi...?

By the way what is TZS 10bn kwa Mungu na kwa mtoto wake...?

Hata hapa hujanielewa. Pole sana. Ukiuliza kwa nia ya kutaka kuelewa, nitakusaidia kuelewa bila shaka...
 
Jinga niwewe unae shangilia mahakama hiyohiyo inapotoa hukumu kwa watu tofauti tofauti.
Kwa sabaya hakiimetendeka, kwa mwenyekiti, maelekezo toka juu.
Kuonesha kuwa wewe ni jinga ni wapi nimewahi kushangilia kisa mahakama imemwachilia mtu aliyehukumiwa kimakosa kutumikia adhabu?
 

Maridhiano ya Lowassa kupewa nafasi, kwani kuna mauaji yalitokea, unaongea utoto gani dogo? Sioni hata kama una mtiririko sahihi wa kujadili na mimi, naona unaokoteza kila kitu kilicho kichwani mwako unaleta hapa. Hao jaMaa zetu wamekuambia wanataka kurudi?
 
Kwani kupokea hela ya Lowasa na kumpa nafasi ya kugombea kupitia CHADEMA ni kosa, Sawa na kupora kwa kutumia silaha?! Wanafunzi wa shule ya uongozi ya Polepole, mmemwachia akili awawekee!
 

Mtiririko wa kujadili nini, sazingine nyie watu inabidi kuwajibu sawasawa na akilizenu ndio tutaenda sawa.

Kufanya maridhiano siolazima kuwe namauaji, udicteta wa mtummoja kuamua nani agombee pia ni ishu inayo hitaji maridhiano sababu naona bado unamajeraha moyoni ya kulazimishwa kukubali maelekezo ya chair man kwamba lazima mamvi agombee.
 
Kwani kupokea hela ya Lowasa na kumpa nafasi ya kugombea kupitia CHADEMA ni kosa, Sawa na kupora kwa kutumia silaha?! Wanafunzi wa shule ya uongozi ya Polepole, mmemwachia akili awawekee!

Sasandio muitishe kikao mkaridhiane huko maana kunawenzako hawajaridhika wanaona nikitendo cha kipuuzi.
 
Sasandio muitishe kikao mkaridhiane huko maana kunawenzako hawajaridhika wanaona nikitendo cha kipuuzi.
Mbowe ni tishio kwa ccm Ndo maana amezushiwa mambo yote hayo ya Rau Madukani! Sasa hayo ya Lowasa, Sijui kula pesa ya chama, ni mbwembwe tu, angekua mhalifu, japo kidogo tu, msingekua na haja ya kutunga hii riwaya yenu ya ugaidi wa laki 6!
 
Baada ya tume ifuate katiba mpya
 
Dogo una roho baya kama godfather
 
Iundwe tume guru ya nini kupoteza hela wakati mama alikuwa kwenye serikali ile ile wanajua yaliyokuwa yanaendelea hata kama hakuwa na uwezo kukemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…