Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Word [emoji419]Money can’t buy a class, you are born with it.
Kwisa anadai Soudy ana roho mbaya na alikuwa akimbani michongo.Siku hizi sudi na kwisa hawapo tena na kupindi cha pamoja? Shilawadu?
Kakulia maisha ya kiuswazi,thuglife,Kabisa ana malezi ya hovyo sana.
Kwisa anadai Soudy ana roho mbaya na alikuwa akimbani michongo.
Angalia kuanzia dk ya 10.
Poleni na Majukum watanzania Leo nimeona nije na ili swala la Uyu Mama Diamond kujiona Mungu mtu kwa watoto wa watu
Ivi serikal yetu ikowap imtetee uyu mtoto Rais Mama Samia Naomba kama utapendezwa mtendee haki uyu mtoto alie taka kufanyiwa kitu kibaya na wanaume wa nne alie fanya kazi za Ndan miaka kibao Bure
Serikal huyu mama anatakiwa ku onywa
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Sijajua ila naona kama yupo na Maimatha naziona promo zao Maisha Bongo,kuna uwezekano kisha achana na Soudy.Doh kwahiyo shilawadu haipo tena? Sahivi kila mtu ana kipindi chake?
WCB 4REVAAbongo bila kuwataja watu wa dabryusibii haiwezekani???
Kama waliweza kumpokonya mtoto mzee Abdul na kumpa nyange bila mshipa wa aibu itashindikanaje kwa kuchukua mkongo toka apo mpakani kigomaSidhani Kama ni kweli aiseee.... familia na Jina kubwa hivyo ijiingize ki rahisi kwenye maswala ambayo yanaweza kuletea kashfa kirahisi tuu??... anawalipa mabaunsa na watu kibao wako kwenye payroll yao leo wakatafute housegirl cheap ili iweje, huu ni uongo per se!
We unaona kuna mtu mwenye akili kuleSidhani Kama ni kweli aiseee.... familia na Jina kubwa hivyo ijiingize ki rahisi kwenye maswala ambayo yanaweza kuletea kashfa kirahisi tuu??... anawalipa mabaunsa na watu kibao wako kwenye payroll yao leo wakatafute housegirl cheap ili iweje, huu ni uongo per se!
Sijui kama ni kweli au uongo, ila huyu mama kuna muda uwa ana roho nzuri . Kuna dogo anafanya pale wasafi media yeye na dadake walikuwa wanauza matunda, wakaja enda pale madale dogo akajieleza kwa mama dangote na alikuwa kasoma tu sema ajira ndo issue. Mama akamsaidia leo yuko usafini dada yake kamfungulia saluni ya kike. Kwa hilo nilimuona huyu mama ni mtu mwenye roho yake kwa hilo ninalojua maana dogo mwenyewe namfahamu.Sidhani Kama ni kweli aiseee.... familia na Jina kubwa hivyo ijiingize ki rahisi kwenye maswala ambayo yanaweza kuletea kashfa kirahisi tuu??... anawalipa mabaunsa na watu kibao wako kwenye payroll yao leo wakatafute housegirl cheap ili iweje, huu ni uongo per se!
Yes, kwa Lizer nakubali alimtoa Burundi kwenye Studio flani jamaa mwenye hiyo Sudio naye ni msanii na Lizer na huyo jamaa ni mtu na binamu yake. Sema huenda ana vibali vya kuishi nchini au ni raia wa Kigoma ukimgusa watu wa Kigoma hawatokubali kama asemavyo zittoBinafsi sijawasikiliza wala simshutumu yeyote ila Diamond na mama yake wana hiyo tabia sana.
Hata Lizer producer, Diamond alimtoa Burundi kwahiyo hakuna hakika kama ni mbongo.
Qboy pia Diamond alimtoa Burundi.
Kuna siku kitambo Diamond alikuwa anahojiwa Jahazi ( enzi za kina Kibonde ) wakati huo Qboy wameshamfukuza, akawa anawaponda. Diamond akawa anasema kama Qboy akiendelea kuongea, eti anaweza kumpoteza kwa kupiga simu moja tu Uhamiaji.
Binafsi nikajiuliza, hivi jamaa hajui kuwa hata kuajiri mhamiaji haramu na wewe unakuwa na makosa pia ?
Na mara nyingi huyo mama yake amekuwa na safari nyingi za Kigoma kwahiyo kuna uwezekano mkubwa ni kweli alimchukua huyo mtoto.
Ila ndio hivyo nchi hii, hakuna atakayejali mpaka siku akija kukosana na watawala ndio makosa yote yatafufuka.
Tanzania kuna watu kibao wanaishi bila vibali. Mimi kwetu Musoma, nina experience na hili.Yes, kwa Lizer nakubali alimtoa Burundi kwenye Studio flani jamaa mwenye hiyo Sudio naye ni msanii na Lizer na huyo jamaa ni mtu na binamu yake. Sema huenda ana vibali vya kuishi nchini au ni raia wa Kigoma ukimgusa watu wa Kigoma hawatokubali kama asemavyo zitto