Natambua kwamba kupambana sana siyo kufanikiwa sana ingekuwa ndivyo Bakhressa angekuwa chini yangu kidogo
Mafanikio siyo kipimo cha akili na kupambana sana
Ukiniuliza kuhusu mond ntakwambia alituimbia mziki mzuri na ana mafanikio
Lakini siku hizi hana mziki mzuri anasapotiwa na umaarufu
Mshamba na limbukeni wa mafanikio anajikweza hizo ni sifa zake lakini pia mimi ni shabiki wake
Kuna mashabiki na mashabiki misukule
wewe ni mmoja wa misukule ambaye unataka mshamba mwenzenu aliyetusua asifiwe tu hata kama analeta ushamba watu wasiseme eti tunamuonea wivu ili iweje acheni ushamba.
Malaya wa kibongo na chawa wameshamjua mr misifa akisifiwa anamwaga hela wenye akili hawanaga swaga hizo
Sent from my TECNO KC8 using
JamiiForums mobile app