Tetesi: Tuhuma za Bi Sandra (Mama Diamond) kumnyanyasa binti wa Miaka 14 kutoka Congo

Leta summary, kuangalia video hyo for 30 min muda haupo
 
Kama waliweza kumpokonya mtoto mzee Abdul na kumpa nyange bila mshipa wa aibu itashindikanaje kwa kuchukua mkongo toka apo mpakani kigoma
 
We unaona kuna mtu mwenye akili kule
Huyo mond mwenyewe umaarufu umemsaidia tu angalau kuwa mjanja kidogo lakini bado akili hamna mule

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sijui kama ni kweli au uongo, ila huyu mama kuna muda uwa ana roho nzuri . Kuna dogo anafanya pale wasafi media yeye na dadake walikuwa wanauza matunda, wakaja enda pale madale dogo akajieleza kwa mama dangote na alikuwa kasoma tu sema ajira ndo issue. Mama akamsaidia leo yuko usafini dada yake kamfungulia saluni ya kike. Kwa hilo nilimuona huyu mama ni mtu mwenye roho yake kwa hilo ninalojua maana dogo mwenyewe namfahamu.
Mengine sijui, maana unaweza tenda wema kwa huy ukatenda ubaya kwa yule.
 
Yes, kwa Lizer nakubali alimtoa Burundi kwenye Studio flani jamaa mwenye hiyo Sudio naye ni msanii na Lizer na huyo jamaa ni mtu na binamu yake. Sema huenda ana vibali vya kuishi nchini au ni raia wa Kigoma ukimgusa watu wa Kigoma hawatokubali kama asemavyo zitto
 
Tanzania kuna watu kibao wanaishi bila vibali. Mimi kwetu Musoma, nina experience na hili.

Tena hata passport wengine hawana, mara nyingi mipakani wanavuka na bodaboda ( border to border ).
 
Nchi za West Africa ukiwa na pesa kama familia ya Diamond, huwezi kuajiri mfanya kazi wa ndani. Unachukua mtoto wa ndugu, awe mtoto wa mjomba au shangazi hata watoto wa kijijini kwenu.

Wanakaa na wewe na kusaidia kazi za ndani. Unarudisha fadhila kwa kuwanunulia nguo na kuwapa elimu. Baada ya muda wanaondoka kwako kuanza maisha yao unaleta wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…