Tetesi: Tuhuma za Bi Sandra (Mama Diamond) kumnyanyasa binti wa Miaka 14 kutoka Congo

Simkubali Ma Dangote lakini Kwa hili sioni kosa lake. Mtoto alikiri kuchukua simu na katapeliwa kama Mzazi mama D angetumia busara yaishe. Mitandao inakuza Mambo.
 
Simkubali Ma Dangote lakini Kwa hili sioni kosa lake. Mtoto alikiri kuchukua simu na katapeliwa kama Mzazi mama D angetumia busara yaishe. Mitandao inakuza Mambo.
 
Pesa bhana,ndo madhara ya pesa,pesa huleta kiburi
 
Mbona mwarabu fighter walimnyanyasa, kumbuka kutoa ni moyo si utajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…