Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Diamond na team yake sio wajinga,kuna jambo kubwa nyuma ya Pazia usiwe mwepesi wa kuhukumu,time will tell then utakuja kukana kauli yako kuhusu Chibu D Chibude kuwa mtovu wa nidhamu kuna mchezo mkuba sana unachezwa na Shonza kaingia kichwa kichwa.
Hebu weka wazi huo mchezo unaochezwa na Shonza
 
Soma vizuri! Zile zilikuwa njama! Hata hili sakata kunauwezekano wa Njama za Kimasilahi. La Jackson siyo la Wengine. Duniani kila mmoja na riziki zake-Muumba hutoa nafasi kwa Kila mmoja kwa wakati na zama zake.
Njama gani? hebu niambie kwanza nyimbo za Diamond hazina makosa?
 
LeMtumboz nguvu unazitoa wapi kumkebei waziri hivi. Ungemfanyia hivyo Mwakyembe angekinukisha
 
Wala tusipindishe maneno. Video za Diamond hazina maadili mazuri..zifungiwe tu!!! Huo mchango wake sijui wa kutufikisha world wide utabaki pale pale wakati video zimefungiwa ili ajifunze.. wangapi wameenda international bila kukaa uchi? Mziki wa Khona wa mafikizolo nani asieujua ..je video yake ilikua kama African beauty?

Diamond amevimba sana kichwa na huo So-called mchango wake kwa sanaa.. Kuwa msanii mkubwa hakumfanyi avunje sheria au ajibizane na watu wenye dhamana kwa kejeli... angesema kistaarabu wala asingepasuka sana sana ingemwongezea Heshima.

Pamoja na ushabiki wangu kwake lakini hakunizuii kuungana na Mh Shonza kufungia miziki yake ya ovyo hovyo
 
Le mutuz simpendi ila kaongea sawa kabisaa,na hili lilionekana wazi wazi

Kama waziri mhusika alitakiwa kulikwepa hili
Ruge na clouds wanapenda michezo hii sanaa, na kudhihirisha hili walifanya kipindi siku ya uzinduz wa albamu ya wcb hata kama ni sehemu ya kipindi chao,chuki haijifichi.

Naibu wazir bila kusoma mchezo wa clouds naye akatiririka tu and ndo mana matamshi yake clouds waliyabeba kama ajenda na kuweka ktk platform za mitandao yao yote ya social media kwa ua msanii anayepiga sana nje ni diamond, pia wamemuuliza maswali mengi sana yenye kumlenga zaid diamond na si wasaniiii

Jamii si kipofu iangushe jiwe hili kuelekea clouds, Na walivyo wanafiki clouds wanajidai kukaa mbali huku wanachombeza vimaneno vya kuchochea ktk media. Kina bdozen na wenzie.

Ni kawaida yao clouds kwa mtu wanayemchukia kumtafutia mtu ili kumuangushia bifu huku wao wakitazama tu (roho mbaya za kishetani)

Rejea bifu la sugu,jay dee,kina ruby.Wote hawa wakarushiwa bifu kwa upande mwingine. Mfano jide vs mwana fa, ruby vs nandi, sugu vs prof j, wengi sanaaa.

So huu ni ukweli ambao umepelekea hata diamond apate hasira za kusababishiwa na kuongea sheets
 
Soma vizuri! Zile zilikuwa njama! Hata hili sakata kunauwezekano wa Njama za Kimasilahi. La Jackson siyo la Wengine. Duniani kila mmoja na riziki zake-Muumba hutoa nafasi kwa Kila mmoja kwa wakati na zama zake.
MZee baba ule nillikutolea kama mfano tu "" kutka kukuonyesha kuwa usipnde kubishana na system ..kwani uliwahi tegemea kuwa jacko atakutana na mtihani kama ule ...unaweza kuwa mpngo ndio ..lakini ukawa nimpngo kama ule wakumburuza kanji baada yakuonyesha dharau kwa watu waliopo kwenye system kwahiyo vigezo na mashart vinapaswa kuzingatiwa ...na katik maisha tunapaswa kujifnza kupitia binaadamu wenzetu iwe nikatika jambo LA kheri ama shari ...ukisema kila mtu anawakati wake hai make sence .....so wataka kuniaminisha kuw kwakuwa kila mtu anawakati wake basiii hupaswi kujifnza mazuri ambayo yameshawahi kfnywa na mtu aliyekutangulia ...!?? huwezi kujifnza mambo mazuri na mistake ambazo ameshawahi kuzipitia mzazi wako ktik maisha yake ??!
 
shikamooo mkuu "
 
We una maadili ama?mnacheza sindimba kivaa na magome tena mbele ya viongoz.Yale si maadili.Watu kama nyinyi mnafanya evils za kutosha sana ila mnawaangalia wrngine tu
 
Mchango wake wa kuipaisha bongo kimataifa kwa kuonyesha Manyonyo na makalio ya wanawake mkuu.
 
eti anasema ....halafu anayokea mwanamke mmoja hajui umetafuta vipi Pesa kisha anakuja kufngia nyimbo "" na blaaaaah blaaah kibao ...kumbe hoja yake nikwakuwa zilifngiwa na mwanamke ...ila zingefungiwa na mwanaume angekausha....yule Jamaa bhana hana washauri aiseeee
 
Mi mwenyewe nimepitia alivyo andika nmegundua kua kuna watu wanafanya uchochezi mkubwa na hawafanywi kitu hii cyo sawa ila wacha wafanye wajuavyo nnaamin Mda utasema haya nimapito2. Yaan mtu anaamka anaanza kutunga uongo aaah Watatufikisha kituoni2 maana Tushapanda Gari yao
 
Mchango wake wa kuipaisha bongo kimataifa kwa kuonyesha Manyonyo na makalio ya wanawake mkuu.
Kwakweli ndio maana napiga vita. huo sio mchango ni upuuzi.... anataka yeye asifanywekitu kisa nini? Diamond kavimba sana...!!!!!
 
Wewe na vitimu mbuzi vyako vya kkoo kutwa kuhangaika na diamond/Wcb

Mmeshindwa kwenye muziki mmehamia kwa MAADILI SIYO
 
We una maadili ama?mnacheza sindimba kivaa na magome tena mbele ya viongoz.Yale si maadili.Watu kama nyinyi mnafanya evils za kutosha sana ila mnawaangalia wrngine tu
mimi nna maadili safi tu.
Sinaga mavazi ya hovyo hovyo ndio maana nakemea mambo ya hovyo kwa7bu watoto wetu wanatazama hayo mavideo wanajifunza nini?
 
Washauri awatoe wapi wakati anajiona Mfalme...mfalme ana shauriwa[emoji16]

Aliemtuma atafute pesa akafanye video za mil50 nani? Si kwa manufaa yake binafsi na wanae na familia yao au kuna mtu huwa anakula kupitia kutazama video yake.... Tatizo anajikuta mtoa misaada wakati sio
 
Le mutuz sometimes anakuwa kama mtoto

STOP crying brah! iprove your argument
 
Wacha waendelee kuvurugana tu mpaka afe mmoja
 

Kama ni hivyo hata Yesu angeepuka kusulubiwa- kwa sababu anauwezo wa kufanya hivyo. Kwa hiyo unakubaliana na dhana ya masilahi. Asante funga mjadala-ruhusu masilahi ya wenye system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…