Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Diamond ataangushwa na wanao mzunguka kuanzia mameneja,Bashite na Le mutuz kila mtu alisikia clouds siku ile Dozen alimtaja Diamond karibu mara 5 kwa kumtetea tu leo kubwa jinga anadanganya Watu na wanachekelea
 
Nakupata vizuri sana Chief...
Ila kwenye uzi huu wa leo kuna mengi ya kuzungumzia zaidi ya mapungufu ya Diamond..!
Double standard sio kitu kizuri..!

Iko wazi Diamond anamakosa yake katika hili,ila ukiliangalia hili jambo kwa undani zaidi hata Dada Shonza kuna sehemu ameteleza pia,kama MTU usiye na upande wowote inabidi ulione na kulizungumzia hili..!
Ila nachoona mimi wengiwenu mnamshambulia Diamond tu,kitu ambacho sio sahihi..!
 
Diamond na team yake sio wajinga,kuna jambo kubwa nyuma ya Pazia usiwe mwepesi wa kuhukumu,time will tell then utakuja kukana kauli yako kuhusu Chibu D Chibude kuwa mtovu wa nidhamu kuna mchezo mkuba sana unachezwa na Shonza kaingia kichwa kichwa.
Unamaanisha Promo au??
 
Yuko mtu mmoja tu anayeweza kuamua na jambo likatekelezeka...na ninajua wakati ukifika ataamua na kutoa maelekezo na Tanzania haitaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu....Muda huo utafika soon or little later ila ni lazima utafika tu.
Hiki nini umeandika kiongozi? Funguka kuwa wazi
 
Cloudsmedia wamefungia baadhi ya wasanii kwenye vituo vyao ikiwemo Diamond. Awapigi kabisa nyimbo zao kwa sababu za maelewano ya kibiashara japo wao wanaita 'jeuri ' ya msanii.

Waziri amefungia nyimbo za baadhi wasanii kwa madai zimekosa maadili, japo hajaweka wazi maadili kwa tafsiri ipi.

Cloudsmedia wanakuja na shutuma nzito kwamba Waziri anaua muziki sababu anafungia nyimbo za wasanii. Wakati wanalalamika haya wao bado wamefungia wasanii wengi tu.

Waziri anaenda kutoa ufafanuzi wa kufungia nyimbo zikiwemo za Diamond kwenye radio iliyofungia nyimbo za Diamond lakini inamlaumu waziri Kwa kufanya walilofanya.

Waziri anaongeza ukali wa adhabu kwa Diamond akiwa kwenye radio yenye ugomvi na Diamond.

Mashabiki wa Diamond wanamshambulia waziri kuwa anahusika kwenye mpango wa kummaliza kisanii na kibiashara Diamond.

Wengine kufikia kusema anatafuta kiki kupitia kwa Diamond.

Nani aliyeelewa hii sarakasi vizuri?
 
Nasikiwa Wasafi Tv inakuja hivyo lazima waidhoofishe Clouds kwanza kwa kushirikiana na E
 
Mbona wewe ndio unaielewa vizuri!
 
Waziri kujibizana hivyo ni kuiaibisha Serikali, waziri anapaswa singer pale ambapo majibu yamekosekana Sasa yy anaongea tuu
 
Diamond na team yake sio wajinga,kuna jambo kubwa nyuma ya Pazia usiwe mwepesi wa kuhukumu,time will tell then utakuja kukana kauli yako kuhusu Chibu D Chibude kuwa mtovu wa nidhamu kuna mchezo mkuba sana unachezwa na Shonza kaingia kichwa kichwa.

Waziri kasema haudhurii vikao wannavyoitisha.. hivi ni kwanini anafanya hivyo naye ni msanii wa nchini?
 
Kwani ni nyimbo gani za daimondi zimefungiwa na claudisi ili tuunganishe na hizi zilizofungiwa na huyu naibu waziri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…