Tuhuma za P-Diddy: Diamond Platnumz alifanywa nini na P-Diddy ambacho anaona aibu kusema mbele ya kamera?

Tuhuma za P-Diddy: Diamond Platnumz alifanywa nini na P-Diddy ambacho anaona aibu kusema mbele ya kamera?

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves..

Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa pdiddy na walifanya vitu vingi sana na Vingi hawezi kuvisema..

Vipi bado tumuamini Kuwa yuko safe au tupate mashaka kama ya Producer wake (Pdidy)? na wengine..

Ikumbuke Kuwa 50 cents aliwahi kusema kuwa Alitaka Kushoot Diddy baada ya kutaka kumfanyia Shopping.

Na hata Katt williams anasema ukialikwa kwenye Party ya Diddy usiende kama we ni mwanaume maana hata yeye anaprotect Kwa mujibu wa maneno yake "Utu wake wa Nyuma"

Ambao aliwahi kupewa pesa nyingi na akazikataa.

Pasaka Njema kwa Wakristo wote na Ramadhani kareem kwa waislamu..

Haleluya kafufukaaaaa
 
Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves..

Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa pdiddy na walifanya vitu vingi sana na Vingi hawezi kuvisema..

Vipi bado tumuamini Kuwa yuko safe au tupate mashaka kama ya Producer wake (Pdidy)? na wengine..

View attachment 2949658

Pasaka Njema kwa Wakrito wote na Ramadhani kareem kwa waislamu..

Haleluya kafufukaaaaa
Aagh tayari huyu😂
 
Ni mambo ya mziki hakuna mtu anayeweza kuongelea mambo ya kufanyana katika media
Mzee 50.aliwahi kusema kuwa pdiddy alimwomba kwenda kufanya shopping tu..

Fifty akataka kumshoot Diddy kisa kuambiwa tu kwenda kufanya shopping..

Msikie cwnts anavyosema hapo chini..

Then msikie katt williams anavyosema

That means huwezi kupita mikononi mwa diddy Kimya kimya bila kufyatuliwa
 
Huyo angekuwa ameshafanya hiko kitendo,angekuwa amepata Grammy kama wenzake wa West.

Ambaye inasemekana amebanduliwa na Didy ni the giant,bwana burna boy.

Ukikataa akufanye hiko kitendo basi jua kamwe huwezi kupata hiyo tuzo ya Grammy.
Tayari washamuharibu huyo angalia ushahidi wa fifty na wenzake
 
Kwahiyo mwanetu Yuda ulimsaliti mkombozi kisa buku 30? Kwanini uliruhusu njaa ikutawale hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
MIMI NI YUDA MTOTO WA YAKOBO SIO ISKALIOTI

YUDA NI UKOO WA YESU KRISTO NI JINA ZURI TU

YUDA MAANA YAKE SIFA/KUSIFU

FIMBO YA ENZI HAITAONDOKA KATIKA YUDA MAANA NDIKO ALIKO TOKA MTAWALA
 
Kumbe ndio maana nyimbo zake nyingi Mondi anaimba matusi na kuhamasisha ngono kinyume na maumbile!!!!
inawezekana ...alifundishwa ushetani..naye akaanza kwa kasi kubwa kuusambaza kwa kizazi chetu.

Pongezi kwa Jeshi la Polisi Florida USD kwa kuvamia nyumba ya PDD na kufanya upekuzi na kuwakamata watoto wa pdd bila kuja kuwa ni staa mkubwa.

Polisi wetu wanalo la kujifunza hapo, ikitokea hapa nchi kwetu staa mkubwa kiasi gani anatuhumiwa kwa uhalifu ama udhalilishaji wa kingoni msiogope wala msijali fanyeni kazi zenu kwa kujiamini.
 
Back
Top Bottom