Tuhuma za P-Diddy: Diamond Platnumz alifanywa nini na P-Diddy ambacho anaona aibu kusema mbele ya kamera?

Nasikia kuna MTU kutoka Tanzania anaitwa Lukamba alienda kwa P. Diddy kwenye Freak Off Party, kwenye lile jumba lililokutwa na chupa za vilainishi na mafuta ya watoto zaidi ya Lita elfu moja.

Nataka nipate taarifa zake.

FB_IMG_17274164379366656.jpg

Willy Smith alimpeleka huko mtoto wake, dogo akasukumiwa moto kiasi kwamba hakuweza kutembea kwa wiki nzima.
 
Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves..

Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa pdiddy na walifanya vitu vingi sana na Vingi hawezi kuvisema..

Vipi bado tumuamini Kuwa yuko safe au tupate mashaka kama ya Producer wake (Pdidy)? na wengine..

View attachment 2949658

Ikumbuke Kuwa 50 cents aliwahi kusema kuwa Alitaka Kushoot Diddy baada ya kutaka kumfanyia Shopping.

View attachment 2949669

Na hata Katt williams anasema ukialikwa kwenye Party ya Diddy usiende kama we ni mwanaume maana hata yeye anaprotect Kwa mujibu wa maneno yake "Utu wake wa Nyuma"

Ambao aliwahi kupewa pesa nyingi na akazikataa.

View attachment 2949670

Pasaka Njema kwa Wakristo wote na Ramadhani kareem kwa waislamu..

Haleluya kafufukaaaaa
Hata kama alifanywa, kitu, tungeanza na hapa hapa nyumbani, mbona vijana kibao wanafsnywa "kitu" Ili kupata ajira, marks nzuri vyyoni, nk,
Wengi wanaofatilia hili swala LA Mond,mioyoni mwao wanaomba iwe kweli, kwamba "Mond, alibanduliwa, akapewa, pesa, na huu u tajiri wake ni kwa sababu anapendelewa na ma kampuni ya Freemason, kwa sababu alibanduliwa, na, ndio maana anapata tuzo, nyingi"! Ili wajipe moyo na umaskini wao kwamba, kumbe sio kipaji na juhudi zilizompa pesa, ni u Freemason!
Kama mnahuruma fatilieni yule binti aliyebakwa na ma "afande".Ngono, mpira vinatawala Sana vichwa vya wabongo wengi!
 
Sasa aseme ili iweje? Awalinde wengine wasije wakabanduliwa na Didy! Au mtamfungulia Didy mashitaka kwa kumbandua kijana wenu? Je utachangia pesa ya mawakili wa Mond(hata kwenda wasafi festival, huwezi)!
Kama wabongo mna huruma Sana, yule binti aliyebakwa mlichangia kiasi gani kwa mawakili wake. ?
 
Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves..

Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa pdiddy na walifanya vitu vingi sana na Vingi hawezi kuvisema..

Vipi bado tumuamini Kuwa yuko safe au tupate mashaka kama ya Producer wake (Pdidy)? na wengine..

View attachment 2949658

Ikumbuke Kuwa 50 cents aliwahi kusema kuwa Alitaka Kushoot Diddy baada ya kutaka kumfanyia Shopping.

View attachment 2949669

Na hata Katt williams anasema ukialikwa kwenye Party ya Diddy usiende kama we ni mwanaume maana hata yeye anaprotect Kwa mujibu wa maneno yake "Utu wake wa Nyuma"

Ambao aliwahi kupewa pesa nyingi na akazikataa.

View attachment 2949670

Pasaka Njema kwa Wakristo wote na Ramadhani kareem kwa waislamu..

Haleluya kafufukaaaaa

Soma hiyo, uone mashitaka dhidi ya Pdidy,, sio uzushi mnaoutaka, kwa sababu ya kuwaza kwa mpalange
 
Hata kama alifanywa, kitu, tungeanza na hapa hapa nyumbani, mbona vijana kibao wanafsnywa "kitu" Ili kupata ajira, marks nzuri vyyoni, nk,
Wengi wanaofatilia hili swala LA Mond,mioyoni mwao wanaomba iwe kweli, kwamba "Mond, alibanduliwa, akapewa, pesa, na huu u tajiri wake ni kwa sababu anapendelewa na ma kampuni ya Freemason, kwa sababu alibanduliwa, na, ndio maana anapata tuzo, nyingi"! Ili wajipe moyo na umaskini wao kwamba, kumbe sio kipaji na juhudi zilizompa pesa, ni u Freemason!
Kama mnahuruma fatilieni yule binti aliyebakwa na ma "afande".Ngono, mpira vinatawala Sana vichwa vya wabongo wengi!
Angalia hiyo Habari Nimeipost lini ni miezi 7 ilopita binti wa yombo alikuwa hata hajabakwa licha ya video kuvuja mwezi wa nane..
Hilo tukio nimelipost mwezi march..
Ulitaka nijadili kitu kabla hakijatokea???
 
Huyo angekuwa ameshafanya hiko kitendo,angekuwa amepata Grammy kama wenzake wa West.

Ambaye inasemekana amebanduliwa na Didy ni the giant,bwana burna boy.

Ukikataa akufanye hiko kitendo basi jua kamwe huwezi kupata hiyo tuzo ya Grammy.
Kwani ukifanya ndiyo inakuwa unapewa hapohapo kama unavyonunua sukari kwa mangi? Hizo mambo huwa ni process na unaweza kujikuta zamu yako ikawa miaka mitano baadaye.
 
Huyo angekuwa ameshafanya hiko kitendo,angekuwa amepata Grammy kama wenzake wa West.

Ambaye inasemekana amebanduliwa na Didy ni the giant,bwana burna boy.

Ukikataa akufanye hiko kitendo basi jua kamwe huwezi kupata hiyo tuzo ya Grammy.
 
Soma hiyo, uone mashitaka dhidi ya Pdidy,, sio uzushi mnaoutaka, kwa sababu ya kuwaza kwa mpalange
Hivi unajia hata hayo mashitaka yana maanisha nini? Au umeamua tu kubisha?
Ukiachana na hilo, watu wanazusha kipi hapo ikiwa ni kweli walihudhuria party za Diddy na kupitia hizo party ndiyo uchafu hufanyika, kingine hata maelezo ya wahusika yanaonyesha kila kitu kwamba kuna yalifanyika
 
Back
Top Bottom