Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves..
Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa pdiddy na walifanya vitu vingi sana na Vingi hawezi kuvisema..
Vipi bado tumuamini Kuwa yuko safe au tupate mashaka kama ya Producer wake (Pdidy)? na wengine..
Your browser is not able to display this video.
Ikumbuke Kuwa 50 cents aliwahi kusema kuwa Alitaka Kushoot Diddy baada ya kutaka kumfanyia Shopping.
Your browser is not able to display this video.
Na hata Katt williams anasema ukialikwa kwenye Party ya Diddy usiende kama we ni mwanaume maana hata yeye anaprotect Kwa mujibu wa maneno yake "Utu wake wa Nyuma"
Ambao aliwahi kupewa pesa nyingi na akazikataa.
Your browser is not able to display this video.
Pasaka Njema kwa Wakristo wote na Ramadhani kareem kwa waislamu..
Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves..
Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa pdiddy na walifanya vitu vingi sana na Vingi hawezi kuvisema..
Vipi bado tumuamini Kuwa yuko safe au tupate mashaka kama ya Producer wake (Pdidy)? na wengine..
Kumbe ndio maana nyimbo zake nyingi Mondi anaimba matusi na kuhamasisha ngono kinyume na maumbile!!!!
inawezekana ...alifundishwa ushetani..naye akaanza kwa kasi kubwa kuusambaza kwa kizazi chetu.
Pongezi kwa Jeshi la Polisi Florida USD kwa kuvamia nyumba ya PDD na kufanya upekuzi na kuwakamata watoto wa pdd bila kuja kuwa ni staa mkubwa.
Polisi wetu wanalo la kujifunza hapo, ikitokea hapa nchi kwetu staa mkubwa kiasi gani anatuhumiwa kwa uhalifu ama udhalilishaji wa kingoni msiogope wala msijali fanyeni kazi zenu kwa kujiamini.