DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #21
Lakini Yuda si ndo dhambi yake imeandikwa kwa Kalamu ya Dhahabu na wino wa chuma???MIMI NI YUDA MTOTO WA YAKOBO SIO ISKALIOTI
YUDA NI UKOO WA YESU KRISTO NI JINA ZURI TU
YUDA MAANA YAKE SIFA/KUSIFU
FIMBO YA ENZI HAITAONDOKA KATIKA YUDA MAANA NDIKO ALIKO TOKA MTAWALA
Kwahiyo kijambio chake kinapitisha hewa?Aagh tayari huyu😂
Duuuh hii Hatari sana 😳😳Hii dunia we ione tu hivi hivi. Na hawa ma celebrities wengi wana mambo ya kishetani sana. Eti mpaka T.D. Jakes mwamba kapita naye duh!
View attachment 2949680View attachment 2949681View attachment 2949682
Yuda Eskareote alitumika tu kama sehemu ya kutimiza unabii ulioandikwa miaka mingi kabla yake kwamba lazima 'Kristo' asulubiwe.Proved mbona umeshangaa kaka Kuhusu Yuda??
Kuna mwingine yumo humu, je ndiye huyo anayezungumziwa hapa tuchukue tahadhali, akiwamaliza celebrities ataanza kwa wachangiajiKwa pdiddy na walifanya vitu vingi sana na Vingi hawezi kuvisema..
Kuhusu Yuda iskarioteYuda Eskareote alitumika tu kama sehemu ya kutimiza unabii ulioandikwa miaka mingi kabla yake kwamba lazima 'Kristo' asulubiwe.
Iweje Sasa apewe adhabu ya kumsaliti ?
Wapo wanao sema hadharani hasa Gays real na waliojikubalii.Mnateseka saaana. Diddy anakukula kweli ukileta tamaa. Hilo liko wazi. Hao wasanii wa 80’s wanapesa na wanapenda starehe zote.
Na washazifanya.
Hao kufanya party kukuletea mademu, na baadae kukulewesha na kukulawiti ni one time thing. Hiyo inaeleweka,
Ila hakuna binadamu hata shoga anayeweza sema hadharani ya kwamba kalawaitiwa. Hakuna