Mmexico
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 369
- 332
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.
Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.
Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.