Uchaguzi 2020 Tuhuma za rushwa Dkt. Mwanjelwa zimekiaibisha chama

Wagombea wote hutoa rushwa, ukizidiwa unatulia tu, takukuru nao ni miongoni mwa wapokeaji.
 
Vyama vyote vina rushwa... ni aina ya rushwa tuu ndio tofauti ilipo
PCCB waingie kazini waje na aina tofauti za rushwa watakazofanikiwa kukamata
PCCB ya Tanzania haina uwezo wa kukemea rushwa , bali inaangalia nani kachukua na na nani kapokea.
 
Vyama vyote vina rushwa... ni aina ya rushwa tuu ndio tofauti ilipo
PCCB waingie kazini waje na aina tofauti za rushwa watakazofanikiwa kukamata
Usi generalized namna hiyo, Chadema wapi umesikia mzozo wa rushwa?
Jana tuu watu mmezungumzia pambano la Lissu na Nyalandu na mkamtaja Nyalandu kuwa ana ukwasi mkubwa hivyo lazima atapindua kila kitu. Jee ni kuwa katika wapiga kura 450 aliweza kuwahonga 36 tuu?
Hongo endeleeni nayo CCM maana ni kama damu kwenu, ukiitoa basi ccm nayo inakata roho
 
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.

Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.

Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.

#Uchaguzi2020
Rushwa ndiyo sabuni ya rohoya wajumbe wa vikao vya maamuzi. Tumeshuhudia vilio kutoka kwa wengi waliokuwa watia nia katika nafasi mbalimbali kutoka kila kona ya nchi.

Wengi ya walioshindwa wanalitambua vyema sana jambo hili, tena baadhi yao wanalalamika kwa kuambulia kura kiduchu. Na wengi wanakwenda mbali kabisa kwa kuwalalamikia walioibuka kidedea kwa kutoa milungula kwa wajumbe.

Wengine wanajuta kabisa na kuushia kuwaita, "wajumbe si watu hata kidogo" kwa kuwa pesa zao walikula, lkn kura hawakuwapa hata moja.
 
Tukutane Jakaya Kikwete Conference Centre Dodoma
Tukiwa Na Mwenyekiti Wa Chama Dola
Wa Kwanza Tukamtia Cross
Wa Pili Tukamtia Cross
Wa Tatu Tukamtia Cross
Wa Nne Tukampa.
Hapa Kazi Tu, Ndiyo Watakumbuka Pesa Zao Walizotupa Huko Kwa Wajumbe, Kama Kagera Wajumbe Wamepewa Hadi Utamu 😋😋😋😋
 
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.

Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.

Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.

#Uchaguzi2020
haakuna mgombea ubunge na udiwani ccm aliyeshinda bila kuhonga. kila mtu anajuwa rushwa ndani ya ccm iko kwenye damu.
 
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.

Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.

Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.

#Uchaguzi2020
AKUNA CHAMA.KICHAFU KWA RUSHWA KAMA CHADEMA

WAKATI.MWINGINE LAZIMA TUFORCE TUPATE VIONGOZI IMARA ELSE MTATULETEA.MAKUNYANZI YA CHADEMA DODOMA TUJUTE

KAMA MNAWAZA HILO.DODOMA. MWISHOO WA RELI AFE NYUKI AFE PUNDA TUNAMTAKA HUYUHUYU DK

KAMA.UMERUKWA MGAOOO KALIE NA ALIEKURUKA
 
Tukutane Jakaya Kikwete Conference Centre Dodoma
Tukiwa Na Mwenyekiti Wa Chama Dola
Wa Kwanza Tukamtia Cross
Wa Pili Tukamtia Cross
Wa Tatu Tukamtia Cross
Wa Nne Tukampa.
Hapa Kazi Tu, Ndiyo Watakumbuka Pesa Zao Walizotupa Huko Kwa Wajumbe, Kama Kagera Wajumbe Wamepewa Hadi Utamu 😋😋😋😋
Jipe.moyoooo usijre dondokaa na pressure kama yule tajiri wa Arusha aliekuja na jina mfukoni akadanganywa
Mtuwakee pamoja na KUWA wa 3 wàtamchaguà alipoletewa matokeoo àlidondoka hotelini na kufà.......

Rip Don
 
Huyo Alikuwa Na Moyo Mkubwa (Ulitanuka)
 
Vyama vyote vina rushwa... ni aina ya rushwa tuu ndio tofauti ilipo
PCCB waingie kazini waje na aina tofauti za rushwa watakazofanikiwa kukamata
Tunazungumzia CCM sio vyama vyote, ccm ni walevi wa rushwa tusitetee uovu kwakutaka kuhusisha wengine.

Kama vyama vingine vinatumia rushwa itabainika tu maana hata huyu hakutajwa na PCCB au mleta mada sio mfanyakazi wa pccb
 
CCM na Rushwa sawa na chupi na makalio, hivyo usishangae.

Walioshinda ndio waliotoa Rushwa kubwa....
Mfano nyoko kweli maana wasiovaa chupi wanahesabika. Makalio kila mtu anayo,tofauti ni size tu. Wewe jamaa utakuwa "MJUMBE" aisee, sio kwa mfano huu.

BTW "boxer" nayo inaingia kwenye kundi la chupi?
 
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.

Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.

Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.

View attachment 1526552
CCM na TAKUKURU ni haohao watampamba kama alivyopambwa Kibajaji.
 
kama ni kweli basi ni hatari sana!!
kuna haja ccm ikachunguza wagombea wote waliotoa rushwa na watose wote vinginevyo kuna hatari kubwa sana kwa ccm, rushwa imetamaliki ktk kura za maoni na hii imetokana na utitiri wa wagombea,
imatisha sana kama bado mpaka leo wagombea wanatoa rushwa ili wapate uongozi?! hakika bado tunasafari ndefu sana kufikia maendeleo ya kweli, bado tunaviongozi wanafiki wsio faaa wenye uchu wa kujilimbikizia
kiongozi/viongozi yeyote aliye pitishwa kwa rushwa wananchi hawato mpogia kura
 
Tunazungumzia CCM sio vyama vyote, ccm ni walevi wa rushwa tusitetee uovu kwakutaka kuhusisha wengine.

Kama vyama vingine vinatumia rushwa itabainika tu maana hata huyu hakutajwa na PCCB au mleta mada sio mfanyakazi wa pccb
Kumbe rushwa inakua uovu ikifanyika ndani ya CCM tuu na sio vyama vyote!?
Mtoa maada amesema rushwa ya mtu inaabisha chama ila hakusema wachangiaji wazunguzie rushwa ndani ya CCM pekee
 
kama ni kweli basi ni hatari sana!!
kuna haja ccm ikachunguza wagombea wote waliotoa rushwa na watose wote vinginevyo kuna hatari kubwa sana kwa ccm, rushwa imetamaliki ktk kura za maoni na hii imetokana na utitiri wa wagombea,
imatisha sana kama bado mpaka leo wagombea wanatoa rushwa ili wapate uongozi?! hakika bado tunasafari ndefu sana kufikia maendeleo ya kweli, bado tunaviongozi wanafiki wsio faaa wenye uchu wa kujilimbikizia
kiongozi/viongozi yeyote aliye pitishwa kwa rushwa wananchi hawato mpogia kura

Fafanua kidogo hapo kwenye bluu.
 
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.

Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.

Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.
wewe sio Mjumbe, kipindi hiki ni cha kuvuna kwa wapiga kura
hakuna mahali CCM haijatoa Takrima, Chakula, malazi na usafiri wa uhakika ni rushwa tupu
ni nani hakutoa rushwa?
 
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.

Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.

Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.

View attachment 1526552
Nini Mary Mwanjelwa?? Hiyo ni senti ya kahawa tu. Viongozi wa CCM na Serikali wa Mkoa Mbeya na vyombo vya dola wamesimamia ugawaji RUSHWA ya Dr Tulia Ackson kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Mbeya Mjini. Tulia Ackson ametumia Sh 100 Milioni usiku wa kuamkia tarehe 20/7/20 na TAKUKURU wamemlinda.
Mwanjelwa akikatwa itakuwa maonezi tu. Kinara wa RUSHWA za siasa Mbeya ni Tulia Ackson na viongozi wa Chama na Serikali kwa miaka 4 iliyopita
 
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.

Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.

Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.

View attachment 1526552
Ccm ipi inapambana na rushwa ?
 
Back
Top Bottom