Uchaguzi 2020 Tuhuma za rushwa Dkt. Mwanjelwa zimekiaibisha chama

Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.

Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.

Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.

View attachment 1526552
Aidha wewe muongo, mnafiki au mbumbumbu wa kutupwa. Kweli ccm inapambana na rushwa nchi hii? Hata kura za maoni kuwapata wagombea waccm hukuona michakato ilivyogubikwa na rushwa na hakuna yeyote anayechukuliwa hatua?
 
Vyama vyote vina rushwa... ni aina ya rushwa tuu ndio tofauti ilipo
PCCB waingie kazini waje na aina tofauti za rushwa watakazofanikiwa kukamata
Pccb gani unaowasema?
 
Huko CCM bila Rushwa hakuna hata mmoja ambaye angerudi bungeni.
 
Hili zoezi la vetting sina uhakika wala imani nalo. Yeye anasema analijua jimbo katika vidole si kiganjani mwake ila hajui kwamba anajulikana mpaka chooni?? Ukisikia kuchokwa ndio huku.
 
Hii itammaliza kabisaaaaaaaaaaaa moja kwa moja Mwanjelwa.. Hapa ndio kajimaliza, yaani TAKUKURU kazi yao imerahisishwa kabisaa
 
acheni kumwonea mama Mwanjelwa! hakuna mccm anayepita bila kutoa rushwa tuko na wagombea tuko na wajumbe tunaishi nao kuchaguliwa kupitia ccm bila rushwa ni kwa njia ya kuteuliwa tuuu!!
 
"Labda kama natoa kuna watu walipokea mara mbili" alisikika Vero akisema😀
"Na mimi nisingependa ijulikane kuwa kuna bahasha ilikuja hapo" alisikika mnene akisema
"Mimi nitakuruka kimanga"

Inanikumbusha ile ya "Heri mimi sijasema"

"Uaminifu ni kitu kizuri sana" alisikika mnene akisema kwa msisitizo, Je yeye anafanya uaminifu? Hahahaaaaa ndimi mbili at work
 
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.

Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.

Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.

View attachment 1526552

Lakini wewe naomba unitengenezee
 
Usi generalized namna hiyo, Chadema wapi umesikia mzozo wa rushwa?
Jana tuu watu mmezungumzia pambano la Lissu na Nyalandu na mkamtaja Nyalandu kuwa ana ukwasi mkubwa hivyo lazima atapindua kila kitu. Jee ni kuwa katika wapiga kura 450 aliweza kuwahonga 36 tuu?
Hongo endeleeni nayo CCM maana ni kama damu kwenu, ukiitoa basi ccm nayo inakata roho
Wanaweweseka hao. Sasa yametimia TL huyoo wao rushwa kila kona. Nasubiri nione lile jangili lao (kule shinyanga shinyanga) maana nasikia wajumbe wamelipitisha, je mkutano mkuu nao utasemaje?
 
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.

Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.

Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.

View attachment 1526552
Rushwa ni rafiki wa haki
 
Kuna audio inazunguka mitandaoni (attached), ambayo ni mazungumzo ya mbunge wa viti maalum mhe. Dk Mary Mwanjelwa, ambapo amepewa tip na mjumbe Zabibu (Mwenyekiti), kwamba mwanadada anayeitwa Vero (Katibu wa CCM Mbarali) amewapunja mshiko baadhi ya wajumbe kutoka wilaya ya Mbarali, waliompigia kura za ndiyo Dk Mwanjelwa, wakati anagombea ubunge wa viti Maalum wa Mkoa wa Mbeya. Wajumbe walipewa shilingi laki moja moja kila mtu. Inavyoonesha, kwa mujibu wa audio hiyo, Mhe. Mwanjelwa aliandaa bahasha kadhaa kwa ajili ya wajumbe mbalimbali zikiwa na pesa za rushwa ndani, lakini inaonesha huyo dada Vero hakugawa bahasha zote kwa wajumbe, kiasi kwamba hali hiyo imeleta sintofahamu kwa wajumbe na kuanza kulalamika kadharani kwamba hawajapewa rushwa yao.
Nisimalize utamu, sikilizeni audio ya mazungumzo hayo.
CCM na rushwa ni gari na mafuta.
 
Attachments

Hiyo ndiyo kanuni ya kupata uteuzi ndani ya CCM.
 
Leta ushahidi kama huu wa mwanjelwa ndo tutakuelewa maneno matupu hayasaidii tutaona ni majungu tu
 
Kuna audio inazunguka mitandaoni (attached), ambayo ni mazungumzo ya mbunge wa viti maalum mhe. Dk Mary Mwanjelwa, ambapo amepewa tip na mjumbe Zabibu (Mwenyekiti), kwamba mwanadada anayeitwa Vero (Katibu wa CCM Mbarali) amewapunja mshiko baadhi ya wajumbe kutoka wilaya ya Mbarali, waliompigia kura za ndiyo Dk Mwanjelwa, wakati anagombea ubunge wa viti Maalum wa Mkoa wa Mbeya. Wajumbe walipewa shilingi laki moja moja kila mtu. Inavyoonesha, kwa mujibu wa audio hiyo, Mhe. Mwanjelwa aliandaa bahasha kadhaa kwa ajili ya wajumbe mbalimbali zikiwa na pesa za rushwa ndani, lakini inaonesha huyo dada Vero hakugawa bahasha zote kwa wajumbe, kiasi kwamba hali hiyo imeleta sintofahamu kwa wajumbe na kuanza kulalamika kadharani kwamba hawajapewa rushwa yao.
Nisimalize utamu, sikilizeni audio ya mazungumzo hayo.
CCM na rushwa ni gari na mafuta.
Duuuh
 
Kazi kwenu Kamati kuu CCM
 
Attachments

  • VID-20200804-WA0001.mp4
    17.3 MB
Back
Top Bottom