Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hivi uchunguzi wa pccb kwa viongozi wa Chadema uliishia wapi ?Sema Cdm hakuna vitendo vya rushwa ya pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi uchunguzi wa pccb kwa viongozi wa Chadema uliishia wapi ?Sema Cdm hakuna vitendo vya rushwa ya pesa
CCM na Rushwa sawa na chupi na makalio, hivyo usishangae.
Walioshinda ndio waliotoa Rushwa kubwa....
Vyama vyote vina rushwa... ni aina ya rushwa tuu ndio tofauti ilipo
PCCB waingie kazini waje na aina tofauti za rushwa watakazofanikiwa kukamata
Huyu Mama Alianzia Mbali Nakumbuka Alituhumiwa Kukwapua Taulo Alipokwenda Kulala Nyumba Ya Kupanga Huko Belgium. Na Thread Zake Zipo HumuTunazungumzia CCM sio vyama vyote, ccm ni walevi wa rushwa tusitetee uovu kwakutaka kuhusisha wengine.
Kama vyama vingine vinatumia rushwa itabainika tu maana hata huyu hakutajwa na PCCB au mleta mada sio mfanyakazi wa pccb
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.
Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.
Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.
View attachment 1526552
Usitufokee mjumbe na rangi zako kuashiria unarusha na mate juuTukutane Jakaya Kikwete Conference Centre Dodoma
Tukiwa Na Mwenyekiti Wa Chama Dola
Wa Kwanza Tukamtia Cross
Wa Pili Tukamtia Cross
Wa Tatu Tukamtia Cross
Wa Nne Tukampa.
Hapa Kazi Tu, Ndiyo Watakumbuka Pesa Zao Walizotupa Huko Kwa Wajumbe, Kama Kagera Wajumbe Wamepewa Hadi Utamu 😋😋😋😋
Huyu naye alikuwa saizi ya mawindo ya Nyani Ngabu enzi hizo; sijui leo.Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.
Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.
Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.
View attachment 1526552
Kweli, fuatilua rushwa za wagombea pale Kigamboni. Ni aibu.Ccm ni mabingwa wa rushwa
Hadaa za jukwaaniHalafu wanahadaa wananchi kuwa chama chao kimepambana na rushwa ndani ya huu miaka mitano!
Kweli, fuatilua rushwa za wagombea pale Kigamboni. Ni aibu.
Ma ccm yote ni majizi,yalitakiwa yawe jeraKuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.
Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.
Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.
View attachment 1526552
Hahahaha CCM mbele kwa mbele.Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.