Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.
Naamini maamuzi ya Dodoma yatazingatia Sana haya ikizingatiwa CCM Ni chama Taasisi kubwa, yenye mkono mrefu na yenye Sifa kedekede kwenye mapambano dhidi ya Rushwa.
Pamoja na hayo, naamini TAKUKURU hawatalala, watafanyia kazi TUHUMA hizo ili iwe fundisho.
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dk M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.

#Uchaguzi2020

Du. Rushwa imejaa kwa watz karibu wote. Sisi hatuna vyama tunajua hapa na pale unatoa takrima kiundugu uwahi zangu ya kuingia mahali Nk. Wewe akili yako imekuwa corrupt kiasi hata huwezi kujua tofauti ya nchi na chama.
Tamaa imefunga ndoa na umri fulani fulani, hasa wakati wa
1. balehe miaka 12 - 17
2. Mafanikio ya kiuchumi vijana wa miaka ya 1980+
3. Heshima na sifa waliozaliwa miaka ya 1962 - 1980
Wafatilie wote walio toa rushwa utakuta wa na tamaa na kwakuwa tunazungumza siasa unakuta wapo kwenye 2 na 3.