Wanasheria sio watu wa kuonewa huruma ni fani ya kitapeli, iliyojaa rushwa, Dhuluma, hawana utu ni washenzi tupu, wanajikuta sana hao mende. Acha wakulane wenyewe kwa wenyewe.
Hao mende maeneo yao ya kazi na huduma zao ni miungu hao.
Wateseke zaidi na zaidi.
[emoji23] pole mkuu.
Wanasheria wapo na wataendelea kuwepo.
Tena wanapata munkari zaidi ya hapo kwa hizo hustle, usionee wivu taaluma za watu, jilaumu ujinga wako.
Hii inatia hofu, hususani kwetu wenye matarajio kuwa mawakili baadae.
Kuna kijana anaitwa Alexander Barunguza, nimeona yupo kwenye hatua za kuishitaki LST mahakamani.
Ni dhahiri kuna walakini mahali kwenye mfumo mzima wa LST.
Hii kitu ya kwamba lecturers ndio waamuzi wa mwisho kwenye matokeo yako ina upungufu sana pia inafungua mianya mingi ya rushwa na upendeleo hata mavyuoni hii ipo sana tu. Nina ushahidi huo.
First Class ya Prof. Kabudi sio porojo, tena sasa tunasherehekea 60 years of UDSM, a record GPA ya 4.9 ya Kabudi bado haijavunjwa!.
Kama Sheria kule nyuma zilitoka 1st Class kadhaa, halafu the last one ni 30 years back, hii inamaanisha wanafunzi wa sasa ni vilaza kuliko 30 years back, na UDSM sheria ndio huwa ina pick the top layer ya ufaulu, my son ana Div.1 ya 10 points amekosa nafasi UDSM sheria kwasababu cut of point ni Div 1 ya 8 points. Baada ya UDSM kuanua huo utando wa Top layer, hao wengine ndio vyuo vikuu vingine vinagawana!.
Law is a conservative profession kama ulivyo udakitari, there is no compromise kushusha ufaulu ili kuwapa fursa vijana, hao vijana they have to be smart to study law or medicine!, bora wafeli hata darasa zima kuliko kupasisha vilaza!, tutajenga taifa la majanga!.
P
Ngoja nimwite Wakili msomi Pascal Mayalla aje atoe neno
Sii kweli, sii kila anayesoma sheria, anasoma ili awe wakili, kuna wanasheria kibao wamesoma sheria na sasa wanafanya shughuli nyingine sio za uwakili.
Mfano mzuri ni mimi, nimefanya LL.B ikaishia kabatini na sasa ni wakili na wala sikupita LST na wala silimi nyanya!.
P
Mangwini wawapo vyuoni hula shushi kubwa katika kozi zao, kumbe hapo "Law School" wanabutuliwa kichizi! Ndiyo gharama zenyewe hizo za kuwa kutambulika katika "bar" na kuwa "learned brother or sister"
-kuingia darasani kwa mwalimu,na kufundisha haimaanishi lazima utafaulu mtihani, kwani hujawahi kusikia mitihani mgumu, iko juu ya kiwango?, read the law and understand the law, wengi hawasomi sheria na kuzielewa, mtu anajibu swali kwa kukopi section nzima? wakati lecturer anataka statutory interpretation, maswali ya Law school unakuta ni scenario ndefu uisome,uichambue,na uielewe na utoa legal opinion on that particular aspect, wengi hawaelewi maswali ya scenario
- kwa hiyo mwalimu akiingia darasani na wanafunzi walikuwepo darasani sio hoja justification ya kufaulu
UKIMWI unaingiaje katika tuhuma zako? FafanuaKumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma.
Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha:
View attachment 2381450
Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka nenda rudi.
Ada ni 1,570,000/- kwa mwaka inayotakiwa kulipwa yote kabla ya kuanza masomo.
Chuo hiki hakitambui hali halisi za watanzania na kuwa ni kwa kujinyima mno kwa wazazi kuwasomesha watoto wao kuishia kwenye siasa uchwara za hapo chuoni kwao.
Mitihani supplementary huwa haina ukomo ikilipiwa 30,000/- kwa component baada ya supplimentary ya kwanza. Course moja Ina components 3. Hivyo supplementary ni 90,000/- kwa course.
Vitabu vya walimu husika ni lazima wanafunzi kuvinunua kwa mzengwe wa kutosha. Photocopy za vitabu hivyo vinavyoruhusiwa kwenye mitihani ni batili.
Kuna pass mark 'dash'(-) zisizojulikana kwenye matokeo ya wanafunzi. Ambapo mtu mmoja katika course mbili, moja anaweza pata 'dash' kafaulu na nyingine akapata 'dash akawa kafeli.
Wanafunzi wawili pia somo hilo hilo, mmoja anaweza pata 'dash' kafaulu na mwingine 'dash' kafeli.
"Inawezekana namna gani?"
Malalamiko yako mengi yenye kuashiria fursa za rushwa za aina zote katika kujaribu kujinasua na vitanzi vya wazi vilivyopo chuoni hapo.
Ikumbukwe wanafunzi LST ni wahitimu wa shahada za kwanza, uzamili na hata uzamivu. Bila ya cheti Cha LST uhitimu wowote wa sheria ni kazi bure.
Kuna tuhuma za undugunization na ukabila. Kuna kujuana na connections. Katika wafanyakazi takribani 50 waliopo pale, wapo kadhaa wa kutokea familia moja (baba mmoja, mama mmoja) kama waajiriwa.
Wanafunzi wanaopata nafasi zaidi za kufaulu ni wale wenye unasaba na vigogo wa serikali wakiwamo mawaziri, majaji nk. Wenzangu na miye utakata rufaa katika mahakama ipi kwenye hali hii.
Chuo kimekuwa kama si taasisi ya serikali bali mali ya watu binafsi.
Kama kwa kufeli wanafunzi ni uhakikisho wa waendeshaji kujipatia mapato zaidi, watafaulu vipi wanafunzi kwa halali?
Kama walimu ni miungu watu kiasi hiki, ukimwi utakwisha kweli Tanzania hii?
"Hiki ni chuo cha umma, wenye dhamana hawawezi kuchagua kukaa kimya."
Bahati mbaya, ya namna hii si kwa LST peke yake.
Vimullikwe vyuo vyote vya elimu ya juu. Kutenganisha watunga mitihani, wasahihishaji na walimu wa course husika kuwa ni jambo la dharura sana.
Tatizo ni uwezo wa wanafunzi unachangiaKwani mkuu hujawahi kusikia walimu kuwafelisha wanafunzi kwa sababu mbalimbali? Kwani walimu hawa ni malaika? Ni mgeni wa rushwa mashuleni? Kwani visingizio walimu hawana?
Mengine haya fikirieni kuwaambia ndege.
NInakazia: tuhuma zimeorodheshwa tunasubiri majibu siyo blah blah.
Mwaka mimi nilipojoin UDSM, ndio mwaka shule ua St. Mary Mazinde Juu ilipoongoza kitaifa kwa matokeo ya Form 6!. Darasa zima za HGL wanafunzi wote 42 wakaingia sheria!. Mademu hao ni watoto wakali toka familia bora, bongo chemka!. 1st year vingereza vingi!, ukimuuliza kitu kwa Kiswahili anakujibu what?, kumaanisha hasikii unauliza nini!. Mwaka wa kwanza wali disco 18!. Mwaka wa 4, tumemali za 4 tuu!. Hivyo hizi shule za academy wana wa spoon fed, wao kazi yao ni kumeza tuu!, mitihani ya NEC hakuna swali jipya, hivyo wanaingia kwenye mtihani na kukuta there is nothing new!.Pascal Mayalla anapendekeza matumizi zaidi ya condom kuzuia maambuizi zaidi ya ukimwi. Tumefikia huko?
View attachment 2382153
NInakazia:
"Sita, hivi inawezekanaje mwanafunzi ambaye amefauli vizuri shahada yake afeli vibaya kwa kiwango cha DISCONTINUE pale LST ??? Ina maana huyu mwanafunzi hafahamu kitu chochote kabisa ??? Lakini, kubwa zaidi ni hili la wanafunzi 600 kuanza pamoja, lakini wanaofaulu ni watu 30, huku nusu ingine ikiwa inafanya SUPPLEMENTARY au DISCONTINUED. Sijui kwanini hili haliwastui Majaji na Wizara. Watu hufeli, lakini siyo kwa kiwango hicho ambacho kinafanyika pale Law
Jf ni free forum, ukiuliza kitu utajibiwa kila kitu na yeyote anayejua chochote, not necessry hayo uliyouliza halafu LST wao watafanya press conference kujibu hoja zako, ila pia wapelekee!.Mkuu uliyoandika hapa yanajibu tuhuma yoyote iliyowekwa kuwahusu LST?
Binafsi naomba nisema yafuatayo kuhusu shule ya sheria Tanzania:
Mosi, kutokana na uhitaji wa elimu ya kusoma kwa vitendo (Post-Graduate Diploma in Legal Practice) haikutakiwa kuwe na shule moja nchi nzima tena ambayo iko kwenye mji kama Dar es salaam. Walau hizi shule zingekuwepo kikanda ili kuwaepusha na kadhia wale wanafunzi wanaotoka mikoa ya mbali kuja kurudia mitihani Dar es Salaam. Mtoto anasafiri kutoka Tarime, hana hata mkopo halafu anakuja Dar es salaam kufanya mtihani akiwa na 50/50 kwamba hilo somo analorirudia atafuaulu au lah.
Pili, mbinu ya kumpima mwanafunzi (Mode of Assessment) siyo rafiki kabisa na haizingatia utaalamu wa kisaikolojia kwamba wanafunzi wana uelewa tofauti. Mtoto anasoma mwaka mzima halafu anapewa mitihani 24 ndani ya mwaka ambayo kama akifeli hata mmoja basi anaweza kupoteza zaidi hata ya miaka 2 anarudia tu kozi hiyo hiyo. Kikawaida tulitegemea kwenye elimu ya vitendo wanafunzi wapimwe kupitia kazi nyingine muhimu ambazo lazima ziwe na alama, kama PRESENTATIONS, GROUP ASSIGNMENTS, CLINICS + WORKSHOPS and INTERNSHIP WITH MARKS.
Sasa wanaitwa DIPLOMA IN LEGAL PRACTICE huku wakichukua ada ya zaidi ya milioni moja, ilhali vipimo vyote vinatolewa kupitia mitihani. Hii siyo sahihi, kwasababu hata mahakamani kwenyewe wanasheria huwa hatuviziani ila tunapewa muda wa kujiandaa. Sasa mtoto anakaa INTERNSHIP miezi zaidi ya sita huku akija kukaguliwa kihunihuni tu mara moja, bila kupewa alama yoyote ile ya muhimu. Kwanini hawa wanafunzi wasipangiwe hata miezi miwili-miwili kufanya kazi la lazima zenye alamu mahakama za mwanza, mabaraza ya ardhi, mabalaza ya usuluhishi, dawati la jinsia ???
Jingine, ambalo nimeliona ni jambo la kipumbavu kufanywa na watu wanaojiita wasomi ni kitendo cha kutoa matokeo ya mitihani yote ya mwaka mzima ndani ya siku moja, baada ya mwaka mzima na miezi mitatu kupita. Kwanini matokeo ya ICA (Individual Continous Assessment), WPE (WRITTEN PRACTICAL EXAMINATION) na FINALS NON-CORE hayatolewi mapema, ili mwanafunzi ajue mbivu na mbichi na aweze kujipanga vizuri kwenye mitihani ya mwisho ??? Pia wawekewe utaratibu maalamu kabisa wa kuyarudia haya masomo wakati hata wako shule, hasa wiki moja baada ya kumaliza WPE ???
Lingine muhimu ni kwamba LST, kuna mitihani ya WPE (Written Practical Examination) ambayo kwingineko duniani mwanafunzi huifanya kwa kufanya tafiti pamoja na majadiliano na wanafunzi wenzake, kisha baadae huenda kufanya huo mtihani. Ilhali sasa pale LST, wanafunzi wanafungiwa masaa manne (4) wakisoma mavitabu, bila kuruhusiwa kuzungumza halafu wanapewa saa moja kupumzika, ili warudi kufanya mtihani huohuo kwa masaa matatu. (It's just emotional debilitating)
Tatu, hili la kulazimisha kila anayesoma sheria awe wakili nadhani ni jambo la kishenzi ambalo lilifanywa kwa mihemko bila kufikiriwa. Miaka yote huko nyuma watu tuliajiriwa kama STATE ATTORNEYS bila hata kuwa wanasheria. Tulitakiwa tu tufanye INTERNSHIP miezi tisa kwa ATTORNEY GENERAL halafu tunaenda kufanya BAR-EXAMINATION kule Arusha. Kinachoshangaza ni kwamba wengi ambao hawakupita Law School wako vizuri kuliko hata hawa watoto wenu wa Mawasiliano nyuma kule.
Kubwa zaidi, wanasheria tuko kwenye nyanja kuu mbili ambazo ni LEGAL PRACTITIONER (ADVOCATES) na JURIST (LEGAL SCHOLARS/LEGAL RESEARCHERS). Hawa ni watu wawili tofauti na wanafanya kazi tofauti kabisa, sasa ukitaka kuwalazimisha wawe kitu kimoja utakuwa unapuyanga mno. Leo hii ushauri wa sheria wa JURIST unaweza kuwa una uzito kuliko hata ORDINARY LEGAL PRACTITIONER, kutokana na tafiti na ufahamu. Sasa kwenye nchi fulani ya kusadikika, wenyewe kwasababu hawana SPECIALIZATION basi wanalazimisha kila mtu awe wakili, kwamba hata JURIST haweza kutoa ushauri kama hana muhuri. Just Lackadaissical and Nonsensical....
Nne, mtaala wa shule ya sheria ni wa kizamani sana na hauwezi kumfanya mwanafunzi awe vizuri kwenye soko la kimataifa. Kuna baadhi ya masomo tulitegemea yafundishwe pale LST, lakini hayapo kwenye mtaala. Mfano, INTERNATIONAL COMMERCIAL ARBITRATION, INVESTMENT LAW, BASICS OF INTERNATIONAL ECONOMICS LAW/ INTERNATIONAL TRADE AND FINANCE LAW. Nchi haina wataalamu wa haya masomo, sisi tunakomaa kufundisha PROPABATE & ADMINISTRATION OF ESTATES, COMMERCIAL LAW, LEGAL ETHICS, HUMAN RIGHTS and ACCOUNTS FOR LAWYERS masomo ambayo vyuo vingi vinayafundisha na vinaweza kuyafundisha vizuri.
Kesi kubwa kama zila za makinikia, DOWANS, ESCROW n.k zinahitaji mwanasheria walau awe anajua masomo ya INTERNATIONAL COMMERCIAL ARBITRATION, ambapo anatakiwa aifahamu mikataba mikubwa BIT (Bilateral Investment Treaties), pamoja na taasisi muhumu kama ICSID, PIC, ICC. Lakini sisi tunakomaa kuwafelisha watoto masomo kama ACCOUNTS. Sijui hii nchi haina watu wenye akili kabisa. Mambo ya ajabu yanafanyika na hakuna hata anayestuka.
Tano, mradi wa LST tangu mwaka 2006 marehemu Prof. Mukoyogo aliupinga kweli kwasababu aliona hauna maana zaidi ya kuwatengenezea ulaji baadhi ya wataalamu wa pale University of Dar es Salaam. Hivi kweli, tuna uhakika kwamba haya masomo ya LST hayawezi kufundishwa vizuri kwenye vyuo ambavyo wanafunzi wanasoma wakiwa wanatafuta Shahada ya kwanza kweli ???
Jambo jingine ni kwamba wataalamu wengi wa pale LST wameamua kufanya biashara ya vitabu. Wanatunga mitihani ambayo majibu yake utayapata kama tu umenunua vitabu vyao. Hili nilishawahi kuambiwa nikathibitisha mwenyewe kwenye baadhi ya vitabu. Hii ni tabia ya kishezi ambayo inaumiza na kukwamisha wengine huku wengine wakipata ukwasi mkubwa. Mwanafunzi anataoa pesa nyingi za Ada lakini hivyo vitabu havipo maktaba, utavipata mpaka umfuate mwandishi mwenyewe na umlipe 50,000. Kwanini msiweke vitabu vingi kule maktaba wanafunzi wakavisoma ???
Sita, hivi inawezekanaje mwanafunzi ambaye amefauli vizuri shahada yake afeli vibaya kwa kiwango cha DISCONTINUE pale LST ??? Ina maana huyu mwanafunzi hafahamu kitu chochote kabisa ??? Lakini, kubwa zaidi ni hili la wanafunzi 600 kuanza pamoja, lakini wanaofaulu ni watu 30, huku nusu ingine ikiwa inafanya SUPPLEMENTARY au DISCONTINUED. Sijui kwanini hili haliwastui Majaji na Wizara. Watu hufeli, lakini siyo kwa kiwango hicho ambacho kinafanyika pale Law School.
Pia, pale pana rushwa sana ya ngono, kukomoana na kubadilishiana matokeo. Kuna jamaa niliwahi kuwa naye mahakamani aliwahi niambia kwamba kuna rafiki zake wanafundisha pale walimuahidi kwamba watamfaulisha, na kweli alifauri vizuri hadi tukashangaa. Alikuwa na maswali hata kabla mitihani haijaanza. Nikasema HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...
TANZANIA HAKUNA KITU KINACHOFANYA KAZI VIZURI KUSEMA TUNAWEZA JIVUNIA...
Mwaka mimi nilipojoin UDSM, ndio mwaka shule ua St. Mary Mazinde Juu ilipoongoza kitaifa kwa matokeo ya Form 6!. Darasa zima za HGL wanafunzi wote 42 wakaingia sheria!. Mademu hao ni watoto wakali toka familia bora, bongo chemka!. 1st year vingereza vingi!, ukimuuliza kitu kwa Kiswahili anakujibu what?, kumaanisha hasikii unauliza nini!. Mwaka wa kwanza wali disco 18!. Mwaka wa 4, tumemali za 4 tuu!. Hivyo hizi shule za academy wana wa spoon fed, wao kazi yao ni kumeza tuu!, mitihani ya NEC hakuna swali jipya, hivyo wanaingia kwenye mtihani na kukuta there is nothing new!.
Pale UDSM, there is no one to spoon fed them!. Kuna vyuo vina spoon feed kupata good enrolments, angalieni KIU inavyofyatua 1 class za LL.B! ambazo huishia LST!.
Unataka kuwa wakili, then you have to be smart!.
P
Unatetea upumbavu. Law school haijawahi kuwa rahisi. Acheni siasa kwenye mambo yasiyohitaji siasa. Hata wakifeli darasa zima ni sawa. Sio lazima kila mtu awe wakili.Mkuu miye ni mmoja labda kati ya wa wachache waliochagua kuwa impartial kwenye mada zako nyingi ukizodolewa kuwa opportunist.
Kwenye hili la LST naweza kusema rangi zako kamili zime dhihirika. Hayupo examiner au mamlaka yoyote ya utahini popote yenye kuweza kukubaliana na uozo huu:
View attachment 2383192
Kila mwaka na wewe una shadadia kwa bashasha kuwa ni sawa?
Kwa hakika hata primary school achilia mbali kindergarten kama wanafunzi wamefundishwa na kuwa examined fairly, haikubaliki.
Kumbe nini tofauti yako na wajumbe walio na capacity za kujadili Simba na Yanga au mapigano ya kina Mandonga peke yao ambao huwa tunawasajili kwenye ignore list wanako stahili?
Fuatilia kokote kujiridhisha matokeo ya mitihani hayawezi kuanguka nje ya standard curve hii:
View attachment 2383202
Kwamba wewe ulisoma kwa Bino ukiwa na sifa kuu ya ulevi uliopindukia hadi wa kuangusha magari na kuokolewa na ma Aqwi wa huko ni kweli huyajui haya?
"Dar wanafahamika kuwavua walevi waangusha magari na kuwavunjia mayai Ili kuwatia adabu. Hivi utalaamu huo ulikuwa haujafika Arusha enzi hizo?"
Tuna bisha kwa sake ya kubisha tu?
Tuhuma zilizopo huioni kuwa zinastahili majibu kamili? Kama majibu huna wanafunzi wa St. Mary's Mazinde wanahusika vipi hapa?
Zingatia wanafunzi 600 wa LST ni graduates wa vyuo vyote nchini bila exception. Kwa hakika hata graduate wa Havard University asingetoboa.
Kwamba ukweli huo huujui au unadhani kuna fursa ya uteuzi uki side na establishment?
Kamahuna hoja ustaarabu si ni kuufyata ndugu?
KWa matokeo ya namna hii inaonesha hata walimu wao wanaowafunfisha ni vilaza,au wamefika level hii kimchongo, na KWa mantiki hii hakuna chuo Hapa, ni ujanja janja tu, haya sio matokeo bali ni uchafuzi,Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma.
Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha:
View attachment 2381450
Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka nenda rudi.
Ada ni 1,570,000/- kwa mwaka inayotakiwa kulipwa yote kabla ya kuanza masomo.
Chuo hiki hakitambui hali halisi za watanzania na kuwa ni kwa kujinyima mno kwa wazazi kuwasomesha watoto wao kuishia kwenye siasa uchwara za hapo chuoni kwao.
Mitihani supplementary huwa haina ukomo ikilipiwa 30,000/- kwa component baada ya supplimentary ya kwanza. Course moja Ina components 3. Hivyo supplementary ni 90,000/- kwa course.
Vitabu vya walimu husika ni lazima wanafunzi kuvinunua kwa mzengwe wa kutosha. Photocopy za vitabu hivyo vinavyoruhusiwa kwenye mitihani ni batili.
Kuna pass mark 'dash'(-) zisizojulikana kwenye matokeo ya wanafunzi. Ambapo mtu mmoja katika course mbili, moja anaweza pata 'dash' kafaulu na nyingine akapata 'dash akawa kafeli.
Wanafunzi wawili pia somo hilo hilo, mmoja anaweza pata 'dash' kafaulu na mwingine 'dash' kafeli.
"Inawezekana namna gani?"
Malalamiko yako mengi yenye kuashiria fursa za rushwa za aina zote katika kujaribu kujinasua na vitanzi vya wazi vilivyopo chuoni hapo.
Ikumbukwe wanafunzi LST ni wahitimu wa shahada za kwanza, uzamili na hata uzamivu. Bila ya cheti Cha LST uhitimu wowote wa sheria ni kazi bure.
Kuna tuhuma za undugunization na ukabila. Kuna kujuana na connections. Katika wafanyakazi takribani 50 waliopo pale, wapo kadhaa wa kutokea familia moja (baba mmoja, mama mmoja) kama waajiriwa.
Wanafunzi wanaopata nafasi zaidi za kufaulu ni wale wenye unasaba na vigogo wa serikali wakiwamo mawaziri, majaji nk. Wenzangu na miye utakata rufaa katika mahakama ipi kwenye hali hii.
Chuo kimekuwa kama si taasisi ya serikali bali mali ya watu binafsi.
Kama kwa kufeli wanafunzi ni uhakikisho wa waendeshaji kujipatia mapato zaidi, watafaulu vipi wanafunzi kwa halali?
Kama walimu ni miungu watu kiasi hiki, ukimwi utakwisha kweli Tanzania hii?
"Hiki ni chuo cha umma, wenye dhamana hawawezi kuchagua kukaa kimya."
Bahati mbaya, ya namna hii si kwa LST peke yake.
Vimullikwe vyuo vyote vya elimu ya juu. Kutenganisha watunga mitihani, wasahihishaji na walimu wa course husika kuwa ni jambo la dharura sana.
Aah hongera mkuu sikufahamu kama umejikita na human rights👏Mkuu Selikavu , kwanza mimi sio Wakili Msomi, mimi ni Wakili Mtangazaji ambaye nimejikita kwenye human rights natetea bure kesi za ukiukwaji wa haki za binaadamu.
Kwa vile mimi nimeupata uwakili juzi kati wengi wanadhani LL.B yangu ni ya juzi hivyo mimi ni product ya LST!. Mimi ni wa longi nilihitimu sheria kabla ya sheria ya LST.
P
Upumbavu ni subjective. Kwanini hudhani mtetea upumbavu unaweza kuwa wewe?Unatetea upumbavu. Law school haijawahi kuwa rahisi. Acheni siasa kwenye mambo yasiyohitaji siasa. Hata wakifeli darasa zima ni sawa. Sio lazima kila mtu awe wakili.
KWa matokeo ya namna hii inaonesha hata walimu wao wanaowafunfisha ni vilaza,au wamefika level hii kimchongo, na KWa mantiki hii hakuna chuo Hapa, ni ujanja janja tu, haya sio matokeo bali ni uchafuzi,
Kuondoa nongwa hao pass pass wapewe mtiani upya kutoka chuo KINGINE ndani ya A.mashariki tuone Kama watapita,
Hoja hii ina mashiko