Tuhuma za ufisadi zinazodaiwa kumpelekea Dkt. Ryoba kubwaga manyanga

Umemjibu vizuri sana vijana wamejazana kila kona lakini watu wanapiga tu sijui hawa vijana wa TISS wanafanya kazi gani sijui wanawekwa tu uzoefu wa kazi wanazopangiwa hawana?
Hao vijana hawana njaa?
Kama wakipeleka inf za wakubwa wapigaji wewe utafanya mini
Nao wanapiga tu.
Idara nyeti hizi hazitakiwa kutambuliwa na chama chochote cha siasa.
 
This is a political hit job. Angekuwa fisadi mngesubiri hadi atangaze kuacha kazi ndo muanze kumchafua?

TBC is a vital installation. Kuna watu wa TISS wamejazana pale. Giving you benefit of doubt, huo "ufisadi" uliwezekanaje under their watch?
Wakina nani waliojazana pale?
 
Ayub Alijichanganya sana kukubali Uteuzi TBC
Lakini cha mhimu ni kwamba yeye kama DG anaidhinisha pesa zote inakuaje asijue kama hapa hapafai azuie malipo??? Bila Yeye Kama Mkuu wa Taasisi Kuweka Mkono hela haitoki.
 
This is a political hit job. Angekuwa fisadi mngesubiri hadi atangaze kuacha kazi ndo muanze kumchafua?

TBC is a vital installation. Kuna watu wa TISS wamejazana pale. Giving you benefit of doubt, huo "ufisadi" uliwezekanaje under their watch?
Kwani Tiss hawaijui fedha, wamejazana huku TTCL tunapiga nao dili tu tena wengi wai walichelewa maisha wanazijitaji hela kwa nguvu zote
 
Kila mtu Ana kula hela za uma, what’s wrong? Waliua Magufuli ili turufi enzi za Kikwete. Mradi wa Bagamoyo vipi? Waliohongwa na kiasi cha $$$$ utapasuka kichwa. Magufuli alitmbezwa kila kona ya nchi na tukaalikwa Yukon’s amekufa. Mtu Akita anazokwa siyo kutembezwa maiti for days. Ona wanayofanya sssa, waulize machinga
 
Ufisadi na wizi wa mali za uma ni zao la CCM, na linaenziwa kwa nguvu zote ndio mana hawao tayali kuachia madaraka
 
Ayub Alijichanganya sana kukubali Uteuzi TBC
Lakini cha mhimu ni kwamba yeye kama DG anaidhinisha pesa zote inakuaje asijue kama hapa hapafai azuie malipo??? Bila Yeye Kama Mkuu wa Taasisi Kuweka Mkono hela haitoki.
Mkuu ni kwa Sababu hizo nafasi hujawahi kuzifanyia kazi, zina mitego na mianya ya rushwa mingi sana. Na kama hujawahi kukaa kwenye procurement at a junior level huwezi kuelewa. Kumbuka request for purchase zinatoka kwa user department (mkuu wa kitengo) na lazima kama ni new project aende kwa mkurugenzi na kumweleza kwa nn anataka kufanya hiyo project na manufaa kwa organization husika. Then inawekwa kwenye budget , so itakapofika implementation head of department ndiye atahusika ku implement yawezekana ni multiple phases project siyo kama kununua gari. Itakua na a lot of technical things ambazo director hajui na haelewi. Yy atakachofanya ni ku approve payments. Though kama ulifanya kazi mahala ambapo kuna mianya ya upigaji utajua jinsi ya minimize lakin siyo kumaliza kabisa. Watu wapewe training na field workers with experience na siyo mere academicians. Maana badhi ya mbinu mpaka ziwekwe kwenye vitabu ni after more than 5 years na kazini wanazitumia tayari
 
Ni kweli kabisaaaa. Na ndicho kimemtokea Rioba
 
Tanzania bhn,hawa watu mnawasemaaa were eti TAKUKURU wanachunguza na watawafikisha mahakamani!! Yes,watakamatwa na mtaongea sana,baada ya kusikilizwa kesi zao mahakamani mwaka au miwili mtasikia wapo huru eti DPP hana nia na kesi hiyo. Tupo kwenye corrupt state,so tutapigwa sana maana hatuna vyombo madhabuti kuwajibisha wanafisadi pesa za umma,tunavyombo vya kudhibiti wapinzani tu.
 
Changamoto hii mkuu. Uko sahihi
 
HAKUNA KIPINDI AMBACHO KILIKUWA NA UFISADI WA HATARI KAMA KIPINDI KILE,TULINYAMAZISHWA TUKAFUNGWA MIDOMO TUKABAKIA KIMYA TUKIOMBA NUSRA YA MUNGU.
 
Hakuna manunuzi yanaweza fanyika bila Mkurugenzi kujua! Period
 
safari channel waboreshe sio warudie vipindi kila siku , mfano wakileta program inaonyesha udzungwa watarudia mara kadhaa kwa siku Moja.
Watengeneze program nyingi kama National Geographic channel ili wapate wateja wengi ndani na nje ya nchi
 
Shetani hanaga rafiki..... Ryoba alichagua fungu baya wacha avune alichopanda.
Sikuridhika na uteuzi was Ryoba pale TBC kile kiatu kilikuwa kikubwa kwake, kulikuwa na wazoefu pale lazima awe kimya kawakuta na kazi yao
 
Inawezekana, binafsi nilimuona jamaa yupo yupo tu, inawezekana maana ni kama aliteuliwa kwa bahati mbaya
 
This is a political hit job. Angekuwa fisadi mngesubiri hadi atangaze kuacha kazi ndo muanze kumchafua?

TBC is a vital installation. Kuna watu wa TISS wamejazana pale. Giving you benefit of doubt, huo "ufisadi" uliwezekanaje under their watch?
Ulimwachia Nani simu yako akaandika haya yaliyoandikwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…