Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Nonsense! Conclusion yako haiendani na title! Unasema wasukuma wako wengi! Takwimu hamna! Tutaaminije wako wengi!
Hii inapoteza sana uandishi wako wa habari, na inaweka question mark kwenye field yako!
 
Ni lini mmeanza kuwa wengi?
Kuanzia mwaka jana ndiyo mmeanza kuwa wengi na wenye uwezo?
Ww utakuwa ni Mkimbizi'
Wasukuma: Tabora,mwanza,Geita,Shinyanga,Simiyu.
Pia mikoa mikoa ya pembezoni na hiyo mikoa hapo" nenda Katavi, Lukwa, Morogoro.
 
Mkuu Pascal Mayalla, mwangaluka! You are deadly on your assessment juu ya kabila lenu, ni kweli wasukuma pamoja na makabil mengi ya kusini ni makabila poa sana hapa TZ na ndiyo makabila yasiyo na ukabila hata kidogo hapa nchini kwetu. Nimeishi Mwanza miaka 5 kwa kweli wasukuma ni poa sana.
 
Aisee, mbona wengine hatujaneemeka na huu ukabila unaosemwa, hadi muhula wa kwanza unaelekea ukingoni bado hatujaonwa tu? Siamini kama kuna ukabila unless hilo zali liniangukie na mimi ndio ntaamini!......... Jokes p'se
 
Nimchunguze wa nini sasa,nina uhakika na ninachosema.
Huna uhakika katu! Huyu siyo msukuma, kuna makabla yanadharaulika, watu wanayakimbia! Nadhani wewe ni mtoto mdogo, hivyo huwezi kuwa unamjua. Umesimuliwa, kuna watu ambao wameona anazaliwa, wamemlea etc, hao ndio nitawasikiliZa siyo wewe!
 
Yaliyosemwa yamesemwa na yamesikika...hata uje hapa na blah blah nyingi za kutengeneza mazingira ya kuonekana enzi hii ya kifalme umeshaharibu. Ni ukweli usiopingika hawa ndugu zetu wa kanda za ziwa ni wabaguzi ni wakabila ni wagumu kuelewa ni wakatili ni washamba wa kiwango cha masters kama si uproffesa ni wabishi na ubaya wao hawajijui...ila pia niwachapakazi na wanaheshima fulani hivi...sema haya mambo hayakujulikana kwa vile mfalme mkuu wa magogon alikua hajajulikana kiivo. Kipind hiki mfalme wao kainuliwa na kaonyesha jinsi walivyo live ndo maana ya kelele hizi zote tunazosikia! Kwa vile ni kabila lenye sifa zote hizo tutegemee vituko zaidi. Ingawa kila kabila hapa tz lina percentage wa ka ubinafs lakini hawa wenzetu ndo wanaongoza. Pinga usipinge. Kataa kubali huo ndo ukwel mkulu amejionyesha jins walivyo! Na mgawanyiko huu chuki hizi za kikabila kidini na kisiasa zinazojengenga kwa speed tz kipindi hiki asipotokea mropokaji kama lissu akaropoka mind you hazitamwacha mtu salama! Ofsin huku tunakofanya chuki za itikadi za siasa na ukabila zinaonekana dhahiri sasa. Fanya mema na mazuri kama unavofanya rais wangu lakini hakikisha unawaacha watz wapendane kama ulivowakuta.otherwise mema uliyofanya na utakaofanya yatasahauliwa yote na utabakiza memory mbaya akilin mwa watu. Ccm yangu mnalengo la kuua ama kudhoofisha upinzani jambo ambalo ni ngumu kama vile kumbadilisha mchina awe mwafrika. Mmesahau wapinzani walikuwepo hata kabila ya kuanzishwa vyama vya upinzani? Mtaua chama lakini kamwe hamtaweza kuua upinzani. Najua kwa nature ya utawala wa sasa si rahisi kusikiliza ushauri lakini potelea mbali kusema lazima ipo siku muda utaongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna maswali yanahiaji majibu imara hasahasa juu ya hizi teuzi za sasa. Tundu Lissu alitoa mifano yenye uhai kwa nini Paschal Mayala unakuja na hoja nyepesi?
HUYU MAYALA SI BURE KWANZA ALICHOANDIKA HAKIJUI NA KAMA ANAKIJUA BASI NJAA TAYARI IMEPIGA KAMBI JIKONI KWAKE AMEANZA KUKOSA BAADHI YA MLO.
 
Huna uhakika katu! Huyu siyo msukuma, kuna makabla yanadharaulika, watu wanayakimbia! Nadhani wewe ni mtoto mdogo, hivyo huwezi kuwa unamjua. Umesimuliwa, kuna watu ambao wameona anazaliwa, wamemlea etc, hao ndio nitawasikiliZa siyo wewe!
Kama sio msukuma ni kabila gan..tuambie ww unaemjua..au mtusi? Sema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi mtupu! ushamba wa wasukuma unakuondolea nini..bora mshamba mchapakazi, mkarimu anayejali wengine kuliko limbukeni mlafi, mbinafsi, mwizi na asiyejali wengine, ni mikoa gani tz utakuta wachaga na wengine wanabiashara na hakuna anayewabagua kama si tabora , shy , geita na mwnza? ulishaona hili kilimanjaro au arusha??? mtu anaweza kuwa mbaguzi halafu akaruhusu watu wengine watajirikie kwake??umefika kahama wewe?? kiwia na uchaga wake si alikuwa mbunge mwanza..huo ukabila wa wasukuma uko wapi..mlizoea kuiba sasa mmekomeshwa mnaleta agenda za upuuzi hapa, anachokifanya Rais kinatokana na vile nchi ilikuwa imefikia, tunaongozwa na mafisi tu wanasaka uongozi ili waibe kina mramba na kina yona, kitilya..kwanza sidhani hata mnajua dhana ya kuwa kiongozi, kasome historia ya nchi hii wapi kulikuwa na viongozi shupavu thabiti na jasiri kama kina mirambo utapata jibu..kiongozi gani mwoga hata akiambiwa achinje kuku hawezi..una kiongozi hapo?? ila kuiba namba one! unatetea wapinzani, kwani kuna upinzani sasa hivi..au wamebaki vichaa wanaovaa suti kutwa kutukana na kukashifu wengine ilihali majimboni kwao umaskini umetopea..hakuna upinzani sasa upinzani wa dhati uliondoka na Mzee Slaa..wapinzani gani wameshindwa kufanya homework yao kupick agenda zinazoonyesha tofauti ya maendeleo, mipango mizuri ya maendeleo na ustaarabu kwa vitendo sehemu wanazoongoza??wamekalia kelele tu kwenye media, hao ndio unaweza kuwaamini..unapoteza muda kijana! you will die poor! wake up..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…