Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Upuuzi mtupu! ushamba wa wasukuma unakuondolea nini..bora mshamba mchapakazi, mkarimu anayejali wengine kuliko limbukeni mlafi, mbinafsi, mwizi na asiyejali wengine, ni mikoa gani tz utakuta wachaga na wengine wanabiashara na hakuna anayewabagua kama si tabora , shy , geita na mwnza? ulishaona hili kilimanjaro au arusha??? mtu anaweza kuwa mbaguzi halafu akaruhusu watu wengine watajirikie kwake??umefika kahama wewe?? kiwia na uchaga wake si alikuwa mbunge mwanza..huo ukabila wa wasukuma uko wapi..mlizoea kuiba sasa mmekomeshwa mnaleta agenda za upuuzi hapa, anachokifanya Rais kinatokana na vile nchi ilikuwa imefikia, tunaongozwa na mafisi tu wanasaka uongozi ili waibe kina mramba na kina yona, kitilya..kwanza sidhani hata mnajua dhana ya kuwa kiongozi, kasome historia ya nchi hii wapi kulikuwa na viongozi shupavu thabiti na jasiri kama kina mirambo utapata jibu..kiongozi gani mwoga hata akiambiwa achinje kuku hawezi..una kiongozi hapo?? ila kuiba namba one! unatetea wapinzani, kwani kuna upinzani sasa hivi..au wamebaki vichaa wanaovaa suti kutwa kutukana na kukashifu wengine ilihali majimboni kwao umaskini umetopea..hakuna upinzani sasa upinzani wa dhati uliondoka na Mzee Slaa..wapinzani gani wameshindwa kufanya homework yao kupick agenda zinazoonyesha tofauti ya maendeleo, mipango mizuri ya maendeleo na ustaarabu kwa vitendo sehemu wanazoongoza??wamekalia kelele tu kwenye media, hao ndio unaweza kuwaamini..unapoteza muda kijana! you will die poor! wake up..
Nimependa mchango wako
 
Povu ruksa..sikutemea watu wa buku sita sita za mitaa ile ya lumumba kufurahia hapa. Ngosha pole sana lakini sms sent. Mi niko huku kahama nahemea.....cheers...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi aambiwe ukweli aache kuteua viongozi kwa kuangalia dini na ukabila hakuna dhambi mbaya kama ubaguzi. Tanzania ni yetu sote siyo mtu mmoja anajiona anaweza kufanya anavyotaka nchi hii inaongozwa kwa kufuata katiba siyo matakwa ya mtu mmoja ambaye ameshalewa madaraka.
Hayo mambo ya ukabila peleka huko uchagani kwenu
 
Mi sina shida na wasukuma. Ila hawa wasukuma pori waliotokea burundi na kujificha kwenye mwavuli wa wasukuma.
 
Mkuu PASKALI

Andiko lako pamoja na makosa madogo madogo ya fact, linastahili kupata alama 95 asilimia.

Roho mtakatifu aendelee kukupigania kama anavyowapigania wana wa Israeli.

Yale yale! Very funny!

What's your point ? 50thebe, what Israel get to do with this uzi, it makes your argument a
fallacy, that's not my word but Nyerere's word!

Just watch this video, to have a better understanding of your fallacy!

Mushi

My two lines can never be fallacy. Israel in this context is metaphorical.
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...

Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali

Paskal ukiona wanasiasa ama chama kinakimbilia hoja ya udini ama ukabila/ukanda ujue wamefirisika kisiasa, tuangalie serikali awamu ya kwanza je nayo ilikuwa ya Kikabila
Mkuu wa Majeshi David Msuguri anatoka kanda ya ziwa.
Gavana wa Benki Charles Nyirabu anatoka kanda ya ziwa
Mwanasheria mkuu wa serikali Joseph Warioba anatoka kanda ya Ziwa
Timothy Apiyo Katibu Mkuu ofisi ya Rais anatoka kanda ya ziwa
Joseph Butiku Katibu wa Rais anatoka kanda ya Ziwa
Francis Nyalali Jaji Mkuu kutoka kanda ya Ziwa
Hao viongozi niliowataja hapo juu ni viongozi walifanya kazi na Mwalimu Nyerere kwa uadilifu mkubwa na hakuna mtanzania yeyote aliyewahi kuongelea suala la ukabila ama ukanda. Suala la Rais Magufuli kununua ama kufufua shirika la ndege ATC ni kitendo alikifanya cha manufaa ya watanzania wote kama angenunua ndege na kuandika Air Chato hapo ndipo tulikuwa tuna haki ya kumuuliza haikuwa sahihi kwa taifa hili kuwa na shirika la ndege binafsi Precious Airline ambayo inamilikiwa na watanzania wa kutoka kanda moja. Shirika la simu TTCL ambalo hao mafisadi waliamua kuiua na kuweka mashirika yao binafsi za simu Rais Magufuli ameamua kuifufua kwa manufaa ya watanzania wote.
Rais Magufuli amefanya mambo ambayo watanzania hawakutegemea na bila hata upendeleo leo tumeona jinsi akipambana na ufisadi mpaka ndani ya chama chake cha CCM. Kuhusu Udikteta nafikiri hawa wanasiasa hawajui maana ya Udikteta waende Ethiopia wakaone jinsi watu waliofanya maandamano walivyouawa, waende Philipines wakaone jinsi ya amri ya rais alivyotoa amri ya kuuwawa kwa watu, Rais wa Uturuki ameweka ndani zaidi ya wanasiasa 3000. Leo Rais Magufuli kuwataka watanzania wafanye kazi waache maneno imekuwa Udikteta?
Tanzania kuna mabalozi wanaowakilisha Mataifa mbali mbali wanatambua kazi anazofanya Rais Magufuli ndio maana kila siku wanatoa misaada/mikopo kwa serikali pamoja na hao wanasiasa wanaojiita Wazalendo kuwataka wasitishe misaada hiyo. Hawa wanasiasa wamuache Rais Magufuli afanye kazi 2020 watanzania wataamua.
 
Ukabila kisiasa haupaliliwi na CCM bali chama cha CHADEMA ndicho kinacholazimisha kuanzisha ugomvi wa ukabila kutokana na matamshi na matendo ya viongozi wao, ambapo ushahidi wa hili ni Matamshi ya Tundu Lusu kwa kumsingizia Mhe. Rais Magufuli eti anafanya uteuzi kwa upendeleo wa kikabila, jambo ambalo halina ukweli wowote. Hebu tuchambue ukabila wa viongozi wa Chadema; Mwenyeti Mbowe ni mchaga, Lowasa ni mchaga, Sumaye ni mchaga, Halima Mdee ni mchaga, Wabunge viti maalum asilimia zaidi ya 90% ni wachaga, Viongozi na watumishi wa TRA zaidi ya asilimia 95% ni wachaga; Majority ya Maprofesa na Doctors (Phd) holders vyuoni na Serilalini ni wachaga; Majority ya RDDs, DDDs, Mameneja na Watendaji wa vyeo vya juu katika ma banks na Serikalini ni wachaga; Majority ya Walimu wakuu Shuleni na Vyuoni nchi ni wachaga; Matajiri wakubwa nchi hii ni wachaga; halikadhalika na Taasisi nyengine zote za Umma na binafsi bado majority ni wachaga.

Chadema wanaimba wimbo wa ukabila kwa vile tu, Kabila la wachaga hawataki waone makabila mengine yanapata maendeleo. Wachaga wanapenda kuona makabila mengine yote yako chini yao na yawe yanwapigia magoti ktk nyanja zote za maisha na maendeleo.

Na ndio sababu wamevidhibiti vyanga vyengine vya sisa nchini kwa koti la ukawa ili wachaga wafikishwe Ikulu kwa migongo ya makabila mengine ndani ya Ukawa.

Wangefanikiwa kuingia Ikulu 2015, basi Rais, Waziri Mkuu, Mwanasheria Mkuu, Jaji Mkuu, Speaker wa Bunge, IGP, DCI na wengineo wote wangekuwa wachaga.

Na wewe Tundu Lisu, Seif Sharif Hamad (CUF) na wengine msiokuwa wachaga kwenye Ukawa mjue kuwa mnatumiwa kawa mishumaa tu wachaga wakifika safari yao nyote mtatoswa baharini. Jiulizeni waasisi wa Chadema na familia zao, akina Bob Makani na Zito Kabwe wametupwa wapi na wachaga?

Wakati umefika wa Chadema kuacha michezo yenu michafu ya kikabila katika nchi hii, sio kila mtu ni mjinga au msukule wenu.

Mwacheni Mhe. Rais Magufuli awatumikie Watanzania kwa amani, hofu yenu ya kukosa agenda ya kuwapelekea wapiga kura 2020 isiwe kisingizio cha kutuvurugia amani ya nchi yetu kwa kutumia ukabila au hujuma nyengie yoyote ile.

M/Mungu tunakuomba Umlinde Rais wetu mpendwa na mtetezi wa wanyonge, Mhe. Magufuli dhidi ya njama zozote zile za maadui wa ndani nje, kwa uwezo Wako Allah umpe umri mrefu wenye afya tele. Aamyn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mushi

My two lines can never be fallacy. Israel in this context is metaphorical.

In what context Exactly? I thought you aren't partisan in supporting this "uzi", aka you are against ukabila, udini and so on...

When you start injecting, your ideology into discussion, your thoughts become a vehicle of self injecting ignorance.

That's not fare to you and more importantly the discussion and points raised in this uzi.
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...

Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
mr. Mayalla nakuunga mkono kwa asilimia mia moja, kwa kuongezea tu nchi ya Tanzania kabila lenye watu wengi ni wasukuma, hivyo si makosa kabisa ukiwakuta wasukuma wengi katika maofisi, kikubwa wawe na fani inayohusika. Je mnakumbuka enzi za Shirika la Bima ya Taifa? mkurugenzi wake alikuwa ni marehemu Mwaikambo na wakuu wote wa idara walikuwa ni wa mkoa fulani alikotoka huyo mkurugenzi mkuu. Hali kadhalika CDA miaka hiyo wakuu wote wa idara ukiacha idara ya habari walikuwa wanatoka wa Kagera, na hao wote walikuwa na sifa stahili kwa kazi walizokuwa wameajiriwa nazo. Hivyo tuondoe fikra za kuwa kiongozi wetu mkuu ana ukabila, TUONDOE KABISA MAWAZO HAYO.
 
Raisi aambiwe ukweli aache kuteua viongozi kwa kuangalia dini na ukabila hakuna dhambi mbaya kama ubaguzi. Tanzania ni yetu sote siyo mtu mmoja anajiona anaweza kufanya anavyotaka nchi hii inaongozwa kwa kufuata katiba siyo matakwa ya mtu mmoja ambaye ameshalewa madaraka.

Hujui unayoyaandika, soma historia ya nchi.
 
Raisi aambiwe ukweli aache kuteua viongozi kwa kuangalia dini na ukabila hakuna dhambi mbaya kama ubaguzi. Tanzania ni yetu sote siyo mtu mmoja anajiona anaweza kufanya anavyotaka nchi hii inaongozwa kwa kufuata katiba siyo matakwa ya mtu mmoja ambaye ameshalewa madaraka.

Hujui unayoyaandika, soma historia ya nchi.
 
In what context Exactly? I thought you aren't partisan in supporting this "uzi", aka you are against ukabila, udini and so on...

When you start injecting, your ideology into discussion, your thoughts become a vehicle of self injecting ignorance.

That's not fare to you and more importantly the discussion and points raised in this uzi.

Tumia lugha ya kiswahili ili wengi waelewe unachokizungumzia, sina hakika sana kama ndugu zako au hata na watanzania wote wanajua lugha ya kiingereza.
 
Pasco umeamka na akili za usingizini.
Yaani mtu anateua wapwa zake wawili kwenye wizara moja, tena vyeo vya juu kabisa tumnyamazie tu kisa eti wana sifa??

Elewa kwamba walioteuliwa ni watumishi wenye sifa za kujaza nafasi hizo, ancheni mawazo yenu finyu kila mheshimiwa anapoteuwa mnaanza hile au lile, au ulitaka akuteuwe wewe?
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...

Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
Pascal, umedanganya, nimekaa na wasukuma kwa muda na nimeamini wasukuma wanazo sifa hizo zote unazozikataa, pamoja na nyingine moja ambayo hujaitaja, na hii nadhani wanaongoza Tanzania; Ushirikina. Naamini unajua vizuri.
 
Back
Top Bottom