CARLOS MAJURA
Senior Member
- Mar 7, 2013
- 192
- 69
Huyu Mayala ni mtu makini na aliwahi kumuuliza Mkuu swali gumu had I mkuu akapata kwikwi, Mimi nadhani aliombwa sampuli ya mkojo.
Alisema Tanzania tusidhubutu kumchagua kiongozi yoyote anayetoka kaskazini kuwa Rais.Nyerere aliwahi sema maraisi ni vyema watoke makabila madogo na siyo haya makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais huyu anaiangamiza hii nchi,anaichafua nchi hii,anakiuka haki za binaadamu kwa kiwango kikubwa kuliko Rais yoyote katika historia ya nchi ni mkabila,mdini,ni Rais wa visasi kwa wapinzani wake wa kisiasa,anaingiza nchi hii katika umasikini mkubwa,Ni Rais ambaye upeo wake wa kufahamu uhalisia,uko mbali sana na ustaarabu wa binaadamu,nakupa mfano mdogo tu anaachilia kila kona ya Dar/Tanga watu kuvunjiwa nyumba zao,ati sababu wanajenga mabondeni,ukitizama sehemu hizo zote ni ngome za upinzani,hivyo mbona hatusikii mwanza ,shinyanga,Geita,chato nk watu kuvunjiwa wanaojenga mabondeni?na katika sehemu hizi kuna sehemu nyingi watu wamejenga mabondeni,tena tuna ushahidi mkubwa wa haya tunayoyasema,asilimia kubwa ya serikali yake anachukua jamaa zake,hajapatapo kutokea rais wa namna hii Tanzania,anatetea uvunjifu wa sheria,kwenye veti,katiba,sheria zabunge,usalama wa raia nk,raia wanauwawa kila leo bill hatia,ukisema unawekwa ndani,tujiulize tukienda namna hii tutafika?.Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...
Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...
Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali
Wanabodi,

Kwa msisitizo, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila mbaya bali ukabila mzuri wa upendo, ushirikiano, kula pamoja, kupenda wengi etc etcHata wahutu na watusi walitambuana kwa vigezo vya urefu wa pua nk.
Kwahiyo asiye na pua ya aina flani inakuwa siyo ya kibinadamu machoni pake na ni rukhsa kumuuwa kinyama kabisa!
Ubaguzi huwa unakaa ndani ya mtu na ndiyo maana kuuficha ni shida!
You can’t hide who you’re, you can try, but you can never be successful on doing so.
Ni sawa na kutaka kuficha kikohozi.
Well said Mr PKwa msisitizo, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila mbaya bali ukabila mzuri wa upendo, ushirikiano, kula pamoja, kupenda wengi etc etc
P
Mkuu Pascal hii nadharia ya ukabila inataka kuoteshwa na watu wenye hila tu. Mimi pia ni msukuma lakini hakuna hata chembe ya ukabila kwa wasukuma hatubagui watu kwa kabila zao au dini zao.Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...
Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...
Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali
Hii kauli mnayoipotosha kuwa ilitoka kwa Mwalimu siku itakuja mgharimu mtu.Alisema Tanzania tusidhubutu kumchagua kiongozi yoyote anayetoka kaskazini kuwa Rais.
Mwanzoni akiingia madarakani walileta hoja kuwa sio Msukuma na kumbambikizia makabila wanayoyajua wao.Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...
Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...
Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali
Kuna watu umewaruka fasta ukamrukia waziri mkuuMakamu wa Rais - Zenje
Waziri Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi ;
Lukuvi - Iringa
Mwakyembe - Mbeya
Simbachaweni - Dodoma
Makamba - Tanga
Ummy Mwalimu - Tanga
Maghembe - Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro
Mpango - Kigoma
Ndalichako - Kigoma
Mwigulu - Singida
Mbarawa - Zenji
Kabudi - ???
Nape - alikuwa Lindi
Muhongo - Mara
Mahiga - Iringa
Lwenge - Iringa
Mhagama - Ruvuma
Mwinyi - Zenji
Huu ukabila na ukanda upo wapi hapo, Lissu atavuna tu chuki anayopanda 2020
Mkuu wala hatufiki pabaya wasubiri 2020 watawajua wasukuma kuwa ni wasukuma. Kwa taarifa yao tu. Mkoa wa Katavi 1/3 ni wasukuma, Morogoro 1/4 ni wasukuma wilaya ya Bahi 1/3 ni wasukuma, wilaya ya manyoni 1/3 ni wasukuma wilaya ya bunda 1/4 ni wasukuma.ukijumlisha tabora, shinyanga, geita na Simiyu . Hiyo population si mchezo kisiasa msichezee namba kisiasa.Mwanzoni akiingia madarakani walileta hoja kuwa sio Msukuma na kumbambikizia makabila wanayoyajua wao.
Watu hawa hawa leo hii wamehama na kuibuka na hoja kuwa ni mkabila.
Hoja zote hizi zinaletwa na watu wenye chembe chemba na waliojawa na uchoyo( selfish) wa kiasili ya huko makwao watokako.
Tusisahau kuwa miongo kadhaa iliyopita jamii zetu ndizo zilikuwa mstari wa mbele kuwadharau Wasukuma na kuwaona ni jamii isiyo na fursa.
Wengi wetu tuneishi huko kwa hawa Watanzania wenzetu na kutajirikia huko bila jata kubaguliwa nao, hata niandikapo hivi sasa kungali na Watanzania wa jamii mbalimbali kutoka kila pande za nchi wako huko kqa hawa wenzetu waki/mkinufaika na fursa mbali mbali na kuoeleka mkate mikoani mwenu mkiwaacha hawa mnaowadharau wakibaki na umasikini.
Ni vyema sasa tukawaelimisha vijana wa leo mkajua athari za kudandia na kusambaza uchonganishi mnaotumwa na wanasiasa wenye kengo la kuigawa nchi kwa masilahi yao binafsi.
Jueni ya kwamba haya mnayoyafanya yatapelekea tufike kubaya na ndiko wanaowatuma wanakotaka tufike na muda huo familia zao zitakuwa London za kwenu tu ndiobzitaingia kwenye vurugu hizo
Hakuna kitu. Tabia ya mtu inajulikana akiwa na madaraka na fedha.Kwa msisitizo, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila mbaya bali ukabila mzuri wa upendo, ushirikiano, kula pamoja, kupenda wengi etc etc
P
Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...
Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...
Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali
Haitokei hivi hivi tu hata kama wasukuma ni wengi. Kwasababu si lazima apitishwe na chama? Kumbuka mgombea binafsi bado haikubaliwi kikatiba.Wasukuma sio wakabila,kama wangemua kufanya mambo ya Kenya tungekuwa na raisi msukuma au myamwezi kwa vipindi vyote tokea uhuru.
Pammoja na wingi wao na utajiri wao wa kilimo,mifugo,na madini hawa siwatu wa kuchokoza kabisa.