Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Pascal !!! And this is really makes me wondering kwa kweli
Ndoo maanake na hisi hana kabisa usukuma huyu..cos ki ukweli wasukuma watu Wa Kareem mnoo... Huyu roho mbaya kaitowa wapi???
Najuwa utapinga lakin ukweli ndoo huo.. Is the hate tena big time!
 
Mkuu hawa ni wengi,wala si kosa lao kuwa wengi.Mambo ya watu wachache kuwaamlia wengi sio demokrasia ya kweli,lakini hao wengi haikatazi kutafuta nani nje yao.
Mwalimu Nyerere yeye hakuwahi kuwa mwanademokrasia yeye alikuwa mkombozi wa kuondoa wazungu na kutawala mweusi.Kumleta Nyerere kwa hili hali yeye alitawala miaka 27 lakini waliomfuata akawapangia miaka kumi ule ulikuwa ubinafsi.
Kwani nani kasema ni kosa? Naona unaenda mdogo mdogo tu. Mna furaha ndani yenu, na hilo linasababisha mnatoa kauli kama hizo.

Hadi usawa huu nchi imeshagawanywa na rais huyo msukuma pamoja na kwamba wasukuma siyo wakabila.
 
Rais Magufuli kamwe hana ukabila wala udini au ukanda. Nusu ya Watanzania ni Wasukuma(note Mnyamwezi ni Msukuma kwani lugha ni moja), 1963 idadi ya watu Tanzania walikuwa million tisa(9,000,000) na kati ya hawa million tatu walikuwa ni Wasukuma kwa hiyo kwa sasa wa Sukuma ni kama million ishirini (20,000,000) and this is the reality, ni wengi lakini hawasikiki kama Wanyakyusa Wahaya Wachagga Wakuria!! Go through our history books. Mungu Ibariki Tanzania.
Unaongea kwa furaha kweli kama vile unamdanganya mpumbavu.
 
wachaga mnajitaidi sana kupandisha nyuzi za kuwasema wasukuma wakati Tanzania nzima inajua ni kwa jinsi gani mliigawana nchi na kupeana kwa undugu sasa ni zamu ya wengine ni bora muwe wapole
Pasco aliyeleta mada ni mchagga? Kanumekenge kabisa!

Mchagga yupi aliyekuwa madarakani akaigawa nchi na kuwapa ndugu?

Eti zamu yenu, ama si Maghufuli msukuma mwenzako aliyegawa nyumba kwa ndugu zake?Jinga wewe!
 
Mzee Magu endelea hivyohivyo wasikupangie bana alaaah alafu fanya kuitunuku kahama iwe mkoa maana inajitosheleza 100% na mkuu wa mkoa leta wa kwetu [emoji53]
 
wachaga mnajitaidi sana kupandisha nyuzi za kuwasema wasukuma wakati Tanzania nzima inajua ni kwa jinsi gani mliigawana nchi na kupeana kwa undugu sasa ni zamu ya wengine ni bora muwe wapole

Mbona sijawai ona au sikia Rais au Waziri Mkuu Mchagga tangu au kabla ya uhuru? Ukitaka kujua ukabila nenda Kenya, Rwanda na Burundi, Nigeria, na kama unataka kujua juu ya Ukoo(clan) nenda Somalia! Tanzania ni nchi ya mfano kwa amani na bila ukabila. Maadui walitakuwagawa wa Tz kwa dini wakashindwa na kulegea!
 
Wasukuma ni wakabila sanaaa has a haya masukuma ya shinyanga a.k.a mangosha ni makabila sanaaa nimekaa na wasukuma miaka 12 maeneo tofauti na kazi tofauti siyo watu ,ukigombana na moja katikavkundi lao halafu wewe use kabila jingine ni ngumu wenzie kukusaidia
 
Kwani nani kasema ni kosa? Naona unaenda mdogo mdogo tu. Mna furaha ndani yenu, na hilo linasababisha mnatoa kauli kama hizo.

Hadi usawa huu nchi imeshagawanywa na rais huyo msukuma pamoja na kwamba wasukuma siyo wakabila.
Sio mkuu,wala mimi sitoki huko
 
Kwa ujumla makabila ya wafugaji ni watu wenye ubinafsi sana na wanajiamini bila kujali utu wa mtu mwingine.
Mfugaji kuingiza Ng'ombe kwenye shamba la mkulima na kumaliza mazao yaliyopo ni kitu cha kawaida.

Hata bungeni utasikia wabunge wa kutoka maeneo ya wafugaji wakisema nyie wa mae neo mengine mnyamaze mana hayawahusu hayo.
Ardhi yetu ina utajiri msitusemee.

Ni vizuri kabisa tukakemea ukabila na ubaguzi wa kisiasa.
Ni mfumo wa kikaburu.
Mfumo wa ubaguzi hauishii kwenye ukabila tu.
Unaendelea mwishowe utahamia kwenye dini!
Utasikia dini ile haikunipa kura n.k.
Hii haifai.
Mtu akiteleza akubali kukosolewa na sio kutumia nguvu kubwa na dola kuzuia mjadala wa yale mtu anayosema yeye mwenyewe.

Mfalme Suleiman alipoitawala Israel alifanikiwa sana na taifa likawa na neema sana.
Akawa na utajiri mkubwa sana. Aliwaunganisha watu wa makabila na falme nyingi na kuwaleta pamoja kutokana na Hekima na Maarifa aliyokuwa amepewa.
 
Raisi aambiwe ukweli aache kuteua viongozi kwa kuangalia dini na ukabila hakuna dhambi mbaya kama ubaguzi. Tanzania ni yetu sote siyo mtu mmoja anajiona anaweza kufanya anavyotaka nchi hii inaongozwa kwa kufuata katiba siyo matakwa ya mtu mmoja ambaye ameshalewa madaraka.
Nchi anaipeleka pabaya.
 
Nasikitika kuona ukabila unaibuka sana katika kipindi cha hapa karibuni. Sisi wote ni watanzania. Makabila mengi watu wameoana. Wasukuma wameoa au kuolewa na wachaga, wachaga nao wameoa au kuolewa na Wadigo na wengineo nk. Sioni kisa cha kutukanana kabila kwa kabila. Si kweli kuwa wasukuma hawajasoma. Wapo wasukuma walio soma na wamekuwa katika serikali kwa nafasi za juu toka wakati wa Nyerere hadi sasa. Na wakatumikia nchi kwa uhaminifu. Mfano wachache, Jaji Mkuu Marehemu, Francis Nyarali, Mkuu wa Chuo kikuu cha UDSM, Balozi Paul Bomani, na wengineo wengi tu sina haja ya kutaja wote ila nikuonesha wasukuma wamekuwepo katika serikali toka kipindi cha Nyerere. Kuna shule za toka ukoloni zipo usukumani. Na shule nyingi zilijengwa kwa ushirika wa vyama vya wakulima ambapo baadae serikali ilichukua au kutaifisha hizo shule. Tunapoongelea Kilimanjaro kulikuwepo na shule toka kipindi cha ukoloni. Lakini si wote walio soma huko uchagani. Kilimanjaro naijua vizuri sana. na si wote wanamaisha mazuri. Utamaduni wa msukuma, kijana anapokuwa upewa eneo lake ajenge, kuna maeneo makubwa. Hivyo ujenga na kujkitegemea, na kuwa na familia yake. Uchagani maeneo ni machahe hivyo familia hasa ushirikiana kujenga mji mmoja au alie na uwezo ujenga na wote ukusanyika hapo. wakati wasukuma ujitawanya. Kwakuwa wanamaeneo. Ni kabila kubwa wapatao karibu Millioni 10 hivi, wakati wachaga ni millioni 1.6 hivi. Wasukuma wameeneasana lakini ni vigumu kuwajua. wasukuma wanamajina mengi na hayajirudiirudii sana. Tofauti na wachaga majina yao ufahamika kwani mengi yanajirudia, mfano Lema, Mushi nk. Hivyo mchaga akiwa sehemu ni rahisi kugundua kutokana na majina yao. Mfano Jaji Francis Nyarali ilikuwa ngumu kujua ni msukuma tena alikuwa wa Sengerema. Balozi Bomani, au Bob Makani aliye kuwa Mwanasheria na hatimae mwenyekiti wa Chadema, Jaji Mark Bomani ni ngumu haya majina kufahamu ni yakisukuma. Hoja yangu ni kutaka kusema wasukuma wamekuwepo serikalini na niwasomi wazuri tu. Ila nikabila lisilopenda kujionesha sana. wametulia labda uwachokoze. usukumani vijiji vimekuwa havina maendeleo sana hii ni kutokana na kabila kuzidi kushika mila, na desturi. Unakuta mtu ana ng`ombe elfu mbili lakini anaishi nyumba ya tope. Lakini sasa kumekuwa na mabadiliko makubwa. Mwisho hakuna kabila lilosoma sana zaidi ya lingine wala lilo bora zaidi ya lingine. Leo maendeleo yako kila mahali.
 
Rais Magufuli kamwe hana ukabila wala udini au ukanda. Nusu ya Watanzania ni Wasukuma(note Mnyamwezi ni Msukuma kwani lugha ni moja), 1963 idadi ya watu Tanzania walikuwa million tisa(9,000,000) na kati ya hawa million tatu walikuwa ni Wasukuma kwa hiyo kwa sasa wa Sukuma ni kama million ishirini (20,000,000) and this is the reality, ni wengi lakini hawasikiki kama Wanyakyusa Wahaya Wachagga Wakuria!! Go through our history books. Mungu Ibariki Tanzania.
Sorry I doubt hizi data!.
P
 
Wasukuma ni wakabila sanaaa has a haya masukuma ya shinyanga a.k.a mangosha ni makabila sanaaa nimekaa na wasukuma miaka 12 maeneo tofauti na kazi tofauti siyo watu ,ukigombana na moja katikavkundi lao halafu wewe use kabila jingine ni ngumu wenzie kukusaidia
Mkuu Bossless, Wasukuma ni kabila la watu poa sana, ikitokea ukagombana na Msukuma, then wewe ndio utakuwa na matatizo.
Chanzo kikuu cha magomvi mengi ni
1. Vivu wa mapenzi, uchoyo na umimi.
2. Hasira za umasikini, viwu wa maendeleo na Roho mbaya ya kijicho

1. Wasukuma hatuna wivu wa mapenzi wa kijinga jinga ndio maana tuna wanawake wengi na watoto wote wakizaliwa tunawapenda hata wife akikuzalia half cast, hatuna tatizo. Nakumbuka enzi za ujana, nikiwa chuo TSJ kila room tunalala wawili, hivyo yakitokea mazingira fulani, unampiga mwenzako PI, sasa zinapotokea zile "one night stand", za kulipia, huwa naripoti performance kwa room mate wangu na kumruhusu na yeye ahudumiwe as long as atakubaliwa na kulipia. We don't mind much as long as sio permanent. Kuna siku ilitokea a one night stand ya mwenzangu imetia timu bila taarifa, mwenzangu hayupo, hivyo ikabidi nirekebishe, nilipomwambia alimind sana!. Wasukuma huwa hatumaind mambo madogo madogo, we simply don't care, don't mind and don't give a dam, ndio maana tuna wanawake wengi na watoto wengi na kamwe hatuhitaji hata kuisikia DNA!.

Tukija kwenye maendeleo, hatuna wivu wa maendeleo wala hatuna roho mbaya kwa kuwaonea kijicho wenye maendeleo zaidi yetu ndio maana sisi sio ma sting, tukiwa na pesa tuna spend like nothing, tunahonga hakuna mfano, hivyo kupata maendeleo ni very slow na umasikini ni jadi yetu, kwetu kitu muhimu ni happyness tuu. We are poor but happy, kuna makabila kwao pesa ndio kila kitu, hadi kuiabudu pesa, na kweli ni matajiri, they don't spend, hawajirushi, hawahongi hivyo kweli ni matajiri, wana nyumba nzuri, magari mazuri, but they are never happy and never satisfied, they just want more and more wao tuu, akipata mwingine wananuna!.

Mambo mengine jameni ni zamu kwa zamu, ni kuvumilia tuu hadi zamu yako itafika.

Paskali
 
Tupo nao huku Morogoro Wasukuma, wengi kweli kweli huku. Bado awajatuletea, na sijauona Ukabila kwa hawa Watu. Wapo simple sana, katika Makabila yaliokuja Morogoro hili ni kabila La amani sana. Tatizo la Wasukuma ni, hawawezi kukubalina na wenzao kwenye biashara, anauza bidhaa(ng'ombe au Mpunga) kwa bei anayoitaka yeye, ukimfuata umekula hasara.
 
Nilichogundua hadi sasa, kuna Makabila Fulani hasa kutoka kasikazini Mashariki(Arusha, Manyara na Kilimanjaro) yanalazimisha kwamba Tanzania tayari tuna mfumo wa Ukabla, Udini na ukanda. Mimi nasema vitu hivyo havipo Tanzania. Kwanini msikubali nyinyi wa Kasikazini Mashariki ya kwamba sasa ni zamu ya Kasikazini Magharibi. Huwezi kuwa Taifa Teule Milele, kwa kuwa Mungu ni Wetu sote( Development is cyclical)( Mafanikio ni mzunguko, Jana USA, leo China, na Kesho ni Brazil). Ni mawazo yangu tu.
 
Back
Top Bottom