Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Nilichogundua hadi sasa, kuna Makabila Fulani hasa kutoka kasikazini Mashariki(Arusha, Manyara na Kilimanjaro) yanalazimisha kwamba Tanzania tayari tuna mfumo wa Ukabla, Udini na ukanda. Mimi nasema vitu hivyo havipo Tanzania. Kwanini msikubali nyinyi wa Kasikazini Mashariki ya kwamba sasa ni zamu ya Kasikazini Magharibi. Huwezi kuwa Taifa Teule Milele, kwa kuwa Mungu ni Wetu sote( Development is cyclical)( Mafanikio ni mzunguko, Jana USA, leo China, na Kesho ni Brazil). Ni mawazo yangu tu.
Sio sababu mbona wengine sisi sio wa ukanda huo,
Usijali mkuu upande uliopo jua litafika tuuuh!
 
Paskal mawazo mazuri ila mlivyochukulia swala la Daudi A. Bashite pamoja na ushahidi wote mliopewa plse msituingize kwenye mtego mpya ambao nyie wenyewe mnahasira halafu ngumi njenje.
Watanzania waachwe wapambane na hali zao.
 
Leo tunaona wasukuma Mnashika Nafasi nyeti kabisa za Taifa hili Mfano mkuu wa Majeshi, Naibu waziri wa madini,Mkuu wa usalama wa taifa, mkuu wa Chama tawala, Mkuu wa UVCCM na Ma RC,DC, RPO, DSO wengi ni Wa Kanda ya ziwa

Hili linatengeneza network fulani ambapo mbeleni huko kwa vile tu mtajaa serikalini basi mtajiona Mko top ki IQ, Pata picha leo mchaga ashike nchi, Pwani tumetoa Maraisi wawili wa Taifa hili ambao hawana Ukanda fatilia structure ya uongozi Wa JK na Mwinyi
Naomba kumtetea mtu hapa, Wasukuma wanashika nafasi nyeti, kwa sababu ndio waliowengi, ila wote wanaoteuliwa, wanateuliwa kwa sababu ni deserving, as long as wameteuliwa bila upendeleo katika uteuzi huru na wa haki na wanasifa na wamekidhi vigezo, kuna ubaya gani?.

Paskali
 
Jambo la kwanza magufuli ni mwongo sana japo hupendi kuuona ukweli huu mr mayalla. Tatizo si kulikwepa bali ni kukubali na kutafuta solutions Magufuli ni mqongo sana, hiyo ni kweli
 
Msukuma kuamua kesi dhidi ya wasukuma ni sawa na kesi ya nyani kumpelekea ngedere.

Hakujawi kutokea ukabila mzuri hata uupake rangi nzuri kiasi gani. Hata kipindi cha Nyerere kuwa na wanajeshi wengi kutoka Mara haikuwa sawa na haikuwa na maana kuwa watu wa Mara ndio wanafaa zaidi kuwa wanajeshi. Kila mtanzania awe na haki sawa bila upendeleo.Mbona leo hii kuna wanajeshi kibao kutoka kila kona ya nchi na wanafanya vizuri?

Mifano yako mingi uliyotoa haina tija kabisa. Kwa mfano umetolea mfano wa kuendeleza wamakonde na wanariadha kutoka jamii za wafugaji na wawindaji wa milimani eti kisa wengi wao wana historia ya kufanya vizuri kwenye maeneo hayo.

Mifano hii ni old fashioned ,kwa dhama hizi ambazo tunaamini any one can be anything he/she want as long as he/she works on it. Siku hizi kipaji sio kila kitu, watu wanaamini sana katika bidii na kujifunza, mengine yote yatakuja kama maji yanavyotiririka mtoni.

Hiyo mifano yako haifanyi kuwepo kwa ukabila/ukanda mzuri ilimradi kila mtu akipewa fursa akitia bidii anaweza kufanya lolote bila kujali anatokea wapi.

Nenda kajipange na wasukuma wenzio ndio urudi tena.
Uko sawa, tatizo Mimi kwangu naliona ni pale unapo tumia neno KUAMINI ukasahau UHALISIA(reality).
 
Naomba kumtetea mtu hapa, Wasukuma wanashika nafasi nyeti, kwa sababu ndio waliowengi, ila wote wanaoteuliwa, wanateuliwa kwa sababu ni deserving, as long as wameteuliwa bila upendeleo katika uteuzi huru na wa haki na wanasifa na wamekidhi vigezo, kuna ubaya gani?.

Paskali
PASCAL hivi unajua wasukuma walio wengi wako maporini hawajasoma? ukilinganisha wasukuma walioko mjini na wale wa vijijini idadi ni ndogo, ukilinganisha wasukuma wa mjini wasomi na watu wa makabila mengine walioko mjini wasomi wasukuma ni wachache.....sasa nyazifa hapo sidhani kama wangepata kwa utitiri namna hiyo. hata hivyo, binafsi sijaona kama wamependelewa sana kwa kipindi hiki, kwa hapo niwe fair kidogo, sema tu wale wanaopewa hasa hao wa kolomije wanalichafua sana kabila lenu Pascal, wengi tunaamini wasukuma wote hata wewe una akili kama za watu wa kolomije....labda muwe mna ji distance from them kusafisha kabila, limeshachafuka tiari.
 
Maada ilikuwa nzuri kabisa... Umekuja kuharibu ulivyoingiza siasa kwenye maelezo yako.... Umefeli
 
wasaidizi wake wapunguze kumpelekea faili za wasukuma na wakristo wasiende kwa upambe
 
PASCAL hivi unajua wasukuma walio wengi wako maporini hawajasoma? ukilinganisha wasukuma walioko mjini na wale wa vijijini idadi ni ndogo, ukilinganisha wasukuma wa mjini wasomi na watu wa makabila mengine walioko mjini wasomi wasukuma ni wachache.....sasa nyazifa hapo sidhani kama wangepata kwa utitiri namna hiyo. hata hivyo, binafsi sijaona kama wamependelewa sana kwa kipindi hiki, kwa hapo niwe fair kidogo, sema tu wale wanaopewa hasa hao wa kolomije wanalichafua sana kabila lenu Pascal, wengi tunaamini wasukuma wote hata wewe una akili kama za watu wa kolomije....labda muwe mna ji distance from them kusafisha kabila, limeshachafuka tiari.
Mkuu hute, usemayo ni kweli, pamoja na Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa kuliko yote Tanzania, lakini kwa idadi ya wasomi, tumezidiwa na vikabila vidogo vidogo kama Wahaya na Wachagga!.

Sii kweli kuwa kabila la Wasukuma limechafuka, licha ya ushamba wa Wasukuma, infact ndilo kabila linalopendwa kuliko makabila yote kiasi kwamba watu wa makabila mengine, wanayakana makabila yao na kujiita Wasukuma, haswa makabila ya mipakani, Wahutu na Banyamulenge wengi tuu wanajifanya Wasukuma!, ila vile vintarahamwe vya wakimbizi, vyenyewe ni Visukuma kabisa kwa kuzaliwa!.

Ila pia, mtu kuzaliwa Usukumani, kukulia Usukumani, kusomea Usukumani na kuzungumza Kisukuma, hakukufanyi kugeuka Msukuma, utaitwa tuu Msukuma, ila tabia, mwenendo na matendo ambayo yanarithiwa hereditary kupitia genetiki, yanabaki ni yale ya asili yako, ndio maana siku hizi tunashuhudia Wasukuma wengi wenye tabia za ajabu ajabu, tofauti kabisa na Wasukuma walivyo!.

Tembelea hapa uangalie watu humu walivyo funguka
Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?

Paskali
 
wasaidizi wake wapunguze kumpelekea faili za wasukuma na wakristo wasiende kwa upambe
Huu sasa utakuwa ni ubaguzi!. Kati ya Watanzania milioni 50, milioni 10 ni Wasukuma, hivyo kwenye kila teuzi 5, mmoja lazima awe Msukuma kwa sababu they make up 20% ya Watanzania and soon they'll make 30% kwa ndilo tribe lenye the highest procreation rate ya birth rate. Wasukuma ndio wanaoongoza kwa fertility!. Familia nyingi ni watoto 8!. Mimi nakwenda 10!.

P
 
hakuna kitu kama hicho ulichoandika hakitafaa kabisa! nalemaga getegete tena kwa kuuma na meno
ukweli uwe hivi hatuhitaji makabila katika tawala za nchi hii na hasa kabila kubwa lazima hili liwe wazi.
si swala sisi tumezaliwa wengi hivyo tutawale wengi hapana. wasukuma walikuwa wanazaliwa wengi kwa kuwa walitegemea nguvu kazi ya kilimo cha mkono hivyo mtu mwenye familia kubwa ndiye aliyekuwa anaweza kulima vizuri na maeneo makubwa.
walioa wake wengi unakuta mzee anawake watatu kwa tafsiri ya sasa ni kwamba mzazi alizitumikisha familia zake (utumwa wa kifamilia).
nasisitiza ukweli kabisa hili swala la ukabila kwa ratio sio sawa kabisa ingekuwa wahaya nchi nzima ingepiga kelele.
na wewe mtani ushakuja mjini watoto 10 wa nini matokeo yake kila ardhi mnavamia mnabaki mnalialia kwa kugombana na wamasai
 
watu wakasikazini tuna shida sana tulijiona miungu watu enzi hizo ,sasa tumwache mh jpm ainyooshe nchi ikibidi aongezewe na miaka ya kutawala ,mungu mpe maisha marefu jpm
 
Naomba kumtetea mtu hapa, Wasukuma wanashika nafasi nyeti, kwa sababu ndio waliowengi, ila wote wanaoteuliwa, wanateuliwa kwa sababu ni deserving, as long as wameteuliwa bila upendeleo katika uteuzi huru na wa haki na wanasifa na wamekidhi vigezo, kuna ubaya gani?.

Paskali
Nafasi nyeti hazishikwi kwa sababu ya uwingi bali kwa kukidhi vigezo husika

Ukizungumzia PHD holders nchi hii wasukuma ni wangapi..???
Wanafikia kwa wahaya, wanyakyusa na wachaga..??
Sasa basi walio wengi unaangalia kigezo gan..??

Wanao kidhi vigezo (qualification, competence na experience) au majority .??

Ukitumia factor ya uwingi kwamba kwa vile 10%ya watanzania ni wasukuma tutakuja na factor kama hizo hizo

Mfano kama 60%ya watanzania ni waislam kwann viongozi wengi ni wakristo..???
Sababu kama yako inaweza leta mauaji ya kimbari kwamba kwa vile wasukuma ni wengi basi ndio wenyw haki ya kutawala nafasi nyingi

Unapanda ukabila unataka kutambika paskal
 
Huu sasa utakuwa ni ubaguzi!. Kati ya Watanzania milioni 50, milioni 10 ni Wasukuma, hivyo kwenye kila teuzi 5, mmoja lazima awe Msukuma kwa sababu they make up 20% ya Watanzania and soon they'll make 30% kwa ndilo tribe lenye the highest procreation rate ya birth rate. Wasukuma ndio wanaoongoza kwa fertility!. Familia nyingi ni watoto 8!. Mimi nakwenda 10!.

P
Hatuteui watu kwa sababu ya uwingi paskal
Kama mnataka kujengo sukuma empire kwenye nchi yenye zaidi ya makabila 120 mnatafuta kukimbilia mahali msipo pajua
Yani mgeuze nchi hii ni ya wasukuma .??
 
Naomba kumtetea mtu hapa, Wasukuma wanashika nafasi nyeti, kwa sababu ndio waliowengi, ila wote wanaoteuliwa, wanateuliwa kwa sababu ni deserving, as long as wameteuliwa bila upendeleo katika uteuzi huru na wa haki na wanasifa na wamekidhi vigezo, kuna ubaya gani?.

Paskali
Kwa hiyo awamu hii ndo wasukuma wako wengi? acheni usukuma nyie
 
Wakati mnakiita Chadema ni chama cha kaskazini na CUF ni chama cha waislamu hivi mlikuwa mnadhani mnapanda mbegu gani? Mbona hatukuona hata mtu mmoja akikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi huu?

Tulieni dawa iingie.
Hawa watu mi siwaelewi kabisa yaani, dawa itawaingia tu na bado tunaongeza miaka ya utawala Iwe 7+7=? Mtakoma
 
Back
Top Bottom