Trust me, this is one of the best thread
Kuna watu wana IQ kubwa genetically, na wengine ndogo
malezi, tamaduni, kusoma, experience, aggressiveness, exposure, knowledge ndio inaweza aidha kuweka gap kubwa katibya hawa watu wawili, au kupunguza gap
watu wenye IQ ndogo wanapo acquire best knowledge and experience wanaweza kuongeza IQ yao kwa asilimia 10% lakini pia inawafanya kuwa efficient katika kila wanachofanya!-good news to low IQ people
wenye IQ kubwa wakipata best knowledge, makuzi, tamaduni zinazo dare kufanya kitu, experience wanakuwa unique
Njia pekee ya hawa viongozi vilaza ni kusoma, kujisomea....elimu haina mwisho. Sio kusoma kuwa na PhD....PhD haifuti the fact kama una IQ ndogo inabaki kuwa ndogo
IQ iliyokuwa nurtured ni collection of various knowledge and experiences, exposure, that determines purely the way you see, forsee, decide and argue
mlio na IQ ndogo mjisomee!..kaa nje ya box