Hili suala la IQ linawasumbua watu kwa kuwa hawahusisha IQ na nasaba (genetics) za kabila hilo. Mtu hataelewa kamwe suala hili kama atakalia kuhusisha IQ na vitu vidogo vidogo oohhh sijui wale walipendelewa kipindi cha ukoloni kwa kujengewa miundombinu ya kielimu - hakuna kitu hicho, ukitaka kuelewa why you are doing either nicely or badly in examinations, pliz try to associate your genetically background, halafu ndo ueleze hivyo visababu vidogovidogo.IQ ni mojawawapo ya basic superior qualities zinazorithiwa kutoka kwa wazazi.
Kuna kizazi (jamii) ambavyo gene ya high IQ ni dominant wakati vingine night recessive.
Maeneo fulani yanatakiwa yafanye upgrading ya watu wao kwa kufanya crossbreeding na kwingine.
Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa mambo yote ya kurithi ni ya asili na hivyo hubadlishwa kwa njia hizo hizo.
Wanabodi,
Huu ni uzi wa swali kuhusu I.Q za baadhi ya wanasiasa wetu wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, wakiwemo mawaziri, wabunge na wakuu wa mikoa, na vigogo wengine wengi, hivyo nikajiuliza kwanza jee ni kweli hawa wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, jee ni kweli wana low I.Q, au ni mtu tuu ametoa mawazo tofauti, wewe huyapendi, ndio unamtukana ana low I.Q?
Rejea alichoandika Pascal MayallaNdugu mleta mada hata yeye paschal kaleta mada yake kama swali, nilidhani unamjibu kumbe na wewe unauliza.
Rejea mpangilio wa wakoloni walitenga maeneo ya kutoa labour force (manamba) kwa sababu walishawtambua uwezo wao wa kufikiri na kuongoza ni mdogo, leo hii ndio wanatuongoza elewa shida hazitakwisha,Sio kweli kuwa IQ ya mtu inakuwa influenced na Kabila.
" Kabila " has nothing to do with IQ.
Kuna wengine kujua tu lugha ndio kunamfanya awe wa kabila alilo nalo baas.
Ila nutrition au Diet inaweza kuinfluence IQ ya mtu hasa mtoto.
Kwa ulaya, karne nyingi za zamani ndizo zilizotoa geniuses wengi maarufu duniani na waliofanya gunduzi mbalimbali. Kama akina Michael Faraday, Albert Einstein, Aristotle, Alexander Bell, Isac Newton, Macnon na wanafalsafa mbalimbali wakubwa.
Miaka hii ambayo kwa ulaya na Amerika chakula kimeboreshwa sana kiubora hatuoni watu wenye IQ kubwa kama zamani.
Wajapan wana IQ kubwa mno na wanasema sababu ni kuwa wanakula sana raw marine organisms
Mtu mwenye IQ kubwa anaweza kuwepo katika kabila lolote lile kiasili ila anaweza asije kujulikana kwasababu ya mazingira yanayomzunguka na jamii anayoishi nayo.
Suala la Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa kuwa wengi katika nyanja za elimu linatokana na suala la kihistoria ambalo ni
Uanzishwaji wa makanisa,hospitali, shule, na taasisi nyingi za kielimu katika ardhi yao, uliofanywa na wakoloni
Na ndio maana kuna idadi kubwa sana ya Wakristo walio wasomi kuliko Waislam tangu enzi hizo kwasababu taasisi hizo za elimu, dini na afya zilianzishwa katika mikoa yao, mfano Kilimanjaro, Mbeya, Kagera na hata Arusha pia kuna taasisi nyingi za elimu za wakoloni.
Mikoa yenye waislam wengi (kasoro wagogo tu) ndiyo uliyoiorodhesha katika list ya wenye IQ ndogo kama Mtwara, Lindi, Kondoa(kwa warangi), Wanyaturu.
Pia ingekuwa ni suala la chakula pekee iongezayo IQ basi wasukuma, wahehe na watu wa morogoro wenye vyakula haswa nao wangekuwa wengi vyuoni ila sivyo ilivyo mpaka sasa.
This case is mainly based on historical matter.
Nakuunga mkono,wapemba wapo vizuri sanaFika Chuo alafu uwe class moja na wapemba uone shughuli yao ilivyo, jamaa wapo fit kuliko tunavyowafikiria
Nakuunga mkono,wapemba wapo vizuri sanaFika Chuo alafu uwe class moja na wapemba uone shughuli yao ilivyo, jamaa wapo fit kuliko tunavyowafikiria
Mpuuzi hujasoma historia ya pre colonial africa otherwise usingeandika shithole hapa!Pascal Mayalla Kwanza hakuna kitu, Kabila" Tanzania, hayo yote unayoyaita Makabila yalianzishwa na Mzungu na Waarabu, na kabla ya kuja Wazungu na Waarabu kulikuwa hakuna watu walioitwa Wanyamwezi wala Wagogo au sijui Wachaga, hivyo theory yako imekuwa destroyed moja kwa moja kwani haina base!
Hapana, hizo hazikuwa sababu, bali population na aina ya udongo.Rejea mpangilio wa wakoloni walitenga maeneo ya kutoa labour force (manamba) kwa sababu walishawtambua uwezo wao wa kufikiri na kuongoza ni mdogo, leo hii ndio wanatuongoza elewa shida hazitakwisha,
Unazidi kuonesha umbumbumbu wako.. kwanza hiyo Tanzania unayoitaja haikuwepo kabla ya ukoloni labda ndomana unajichanganya, kulikua na empire kibao zilizojengwa kwa msingi wa makabila kama nyamwezi, yao, bunganda nk!Wewe ndo labda haujasoma chochote, na ndo maana unabwabwaje tu, isitoshe sijaongela Afrika bali nimesema Tanzania, na narudia kulikuwa hakuna haya mnayoyaita Makabila kama tuyajuavyo leo hii kabla ya kuja Wazungu na Waarabu!
Makabila yapo miaka yote acha ubishi ya kwenu! ndio maana wanaongea tofauti. na makabila yapo Enzi na Enzi! soma hata vitabu vitakatifu.Wewe ndo labda haujasoma chochote, na ndo maana unabwabwaje tu, isitoshe sijaongela Afrika bali nimesema Tanzania, na narudia kulikuwa hakuna haya mnayoyaita Makabila kama tuyajuavyo leo hii kabla ya kuja Wazungu na Waarabu!
Unazidi kuonesha umbumbumbu wako.. kwanza hiyo Tanzania unayoitaja haikuwepo kabla ya ukoloni labda ndomana unajichanganya, kulikua na empire kibao zilizojengwa kwa msingi wa makabila kama nyamwezi, yao, bunganda nk!