Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Eti ndo wamegundua awamu hii wako wengi huko nyuma sijui walikua wachache ..?
Mwanzoni mlikuwa mnasema wasukuma washamba, hawajasoma, niwajinga ndo maana mlikuwa hamuwateui sasa wamepata mtetezi kaeni kimya kabisa na nyie dawa iwaingie, mbona chama cha upinzani kina ukanda naukabila hamsemi? Tunaburuza kenge mpaka 2029, namaanisha tunaongeza na miaka ya utawala 7+7= jibu unalo
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...

Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali

paskal huenda hoja zako zikawa za msingi ila mkuu toka ukose msimamo heshma yako ya nyuzi zako hata kuzisoma tunaanza kusita kwa kudharau ,hii yote imetokana kulikosea heshma jamvi hili lililo kuvisha taji ya umahiri wa ubebizi wa nyuzi zako,
ulitakiwa utuombe razi ikisha uanzishe nyuzi kama izi,
 
Kwanza huyo unayemwingiza kwenye kundi la wasukuma si msumkuma kabisa usukuma wake ni kuijua hiyo lugha basi nadhani hatofautiani na yule mudrc. Hata ukisema ni wa bukoba nako ni uongo kaijua tu lugha yao basi.
Sasa mtu kujua lugha ya watu fulani haimaanishi ni wa kabila hilo.
Ukweli juu ya baba yule haufichami ila tunajua ni mwenzetu lakini ukweli ni wa kule ndiyo maana hata sherehe za kupata kiti alianza na ndugu zake wa damu kule kwao na hata sasa hana cha kupoteza zaidi ya kuchuma zaidi maana kapata twisheni kwa yule mnyarukolo.
Wasukuma nawapenda ila ukweli ktk utawala suala la undugunization mnaongoza kwa nchi hii.
Ingekuwa babu alikuwa wa kabila lenu hadi leo lugha ya taifa ingekuwa kisukuma.
Hata yule mtu kwa kujipendekeza kwenu ili apate popularity anaongea kisukuma hadi jukwaani kinyume na sheria za tume.
Ukweli tutausema zaidi.
 
Nadhani watu wengi wanamlalamikia Rais kuwa ni mkabila bila kufanya utafiti wa kina. Sijaona ukabila haliyo nao, kwa teuzi zinazofanyika. Tuchukulie baraza la Mawaziri wapo mazawiri wangapi wasukuma? Pia kumekuwa na lawama kwa wasukuma kuwa hawajasoma ili si kweli. Wasukuma ni wengi na niwasomi. Pengine nielezwe usukumani hakuna shule kabisa wakati huo. Shule zimekuwepo na watu walienda shule. ndo maana nchi hii imekuwa na viongozi toka Usukumani tangia wakati wa Nyerere. Hata kipindi cha Mwinyi, Mkapa hadi kikwete kumekuwa na mawaziri wengi walioteuliwa toka usukumani. Hasa Mkapa aliteuwa Mawaziri engi waliotokea mkoa wa Mwanza. Kwa wakati huo watu hawakufikiria kuwa ukabila kwa kuwa mteuzi alikuwa si wakabila hilo. Kunawakati kulikuwa na Mwanasheria mkuu msukuma, Jaji mkuu msukuma, DPP msukuma, Mkemia Mkuu msukuma, lakini watu hawakujua ni kwakua walikua hawaangalii ukabila kisa mteuaji hakuwa wa kabila hilo. Nachopenda kusema nikuwa wasukuma wamekuwa ktaika nafasi mbalimbali hapa nchini ila watu hawakufatilia kwa sababu wateuzi walikuwa si wakutoka ktk kabila hilo, yaani marais walopita. Wasukuma wapo wengi mjini na vijijini ila hawana tabia ya kujitangaza kuonekana ni wao kama makabila mengine. Kuna watu unasoma nao au kufanya kazi usijue ni wasukuma. Hivyo mtu kusema wasukuma hawako mjini si kweli. Nenda Zanzibar, Nenda kusini, kaskazini, magharibi na hata narafiki yangu yuko Zambia anasema wasukuma wameenea hadi maeneo ya Zambia.Swala kubwa tuangalie uteuzi je wanaoteuliwa wanakidhi viwango, wanaelimu inayotakiwa. Pia tukumbuke kuwa Rais pia uletewa majina au kushauriwa majina ya kuteuwa hafanyi kila kitu yeye.
 
paskal huenda hoja zako zikawa za msingi ila mkuu toka ukose msimamo heshma yako ya nyuzi zako hata kuzisoma tunaanza kusita kwa kudharau ,hii yote imetokana kulikosea heshma jamvi hili lililo kuvisha taji ya umahiri wa ubebizi wa nyuzi zako,
ulitakiwa utuombe razi ikisha uanzishe nyuzi kama izi,
Mkuu Riadha Jr, kumbe mnasita kuzisoma nyuzi zangu kwa sababu nimekosa msimamo?. Naomba kuwa mkweli, mimi nilikuwa na msimamo gani, na nimekosa vipi msimamo?. Niombe radhi jukwaa kwa kosa lipi?.

P.
 
Nadhani watu wengi wanamlalamikia Rais kuwa ni mkabila bila kufanya utafiti wa kina. Sijaona ukabila haliyo nao, kwa teuzi zinazofanyika. Tuchukulie baraza la Mawaziri wapo mazawiri wangapi wasukuma? Pia kumekuwa na lawama kwa wasukuma kuwa hawajasoma ili si kweli. Wasukuma ni wengi na niwasomi. Pengine nielezwe usukumani hakuna shule kabisa wakati huo. Shule zimekuwepo na watu walienda shule. ndo maana nchi hii imekuwa na viongozi toka Usukumani tangia wakati wa Nyerere. Hata kipindi cha Mwinyi, Mkapa hadi kikwete kumekuwa na mawaziri wengi walioteuliwa toka usukumani. Hasa Mkapa aliteuwa Mawaziri engi waliotokea mkoa wa Mwanza. Kwa wakati huo watu hawakufikiria kuwa ukabila kwa kuwa mteuzi alikuwa si wakabila hilo. Kunawakati kulikuwa na Mwanasheria mkuu msukuma, Jaji mkuu msukuma, DPP msukuma, Mkemia Mkuu msukuma, lakini watu hawakujua ni kwakua walikua hawaangalii ukabila kisa mteuaji hakuwa wa kabila hilo. Nachopenda kusema nikuwa wasukuma wamekuwa ktaika nafasi mbalimbali hapa nchini ila watu hawakufatilia kwa sababu wateuzi walikuwa si wakutoka ktk kabila hilo, yaani marais walopita. Wasukuma wapo wengi mjini na vijijini ila hawana tabia ya kujitangaza kuonekana ni wao kama makabila mengine. Kuna watu unasoma nao au kufanya kazi usijue ni wasukuma. Hivyo mtu kusema wasukuma hawako mjini si kweli. Nenda Zanzibar, Nenda kusini, kaskazini, magharibi na hata narafiki yangu yuko Zambia anasema wasukuma wameenea hadi maeneo ya Zambia.Swala kubwa tuangalie uteuzi je wanaoteuliwa wanakidhi viwango, wanaelimu inayotakiwa. Pia tukumbuke kuwa Rais pia uletewa majina au kushauriwa majina ya kuteuwa hafanyi kila kitu yeye.
Anachokifanya ni zaidi ya ukabila. Hata kama watu wana sifa huwezi kuwateua wanafamilia wako ktk wizara nafasi za juu tusiseme.
 
Wakuu asalaam!

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja
Huwa najiuliza sana kwa misingi aliyoipigania na kuijennga baba wa taifa Mwl JK Nyerere kama
umoja
Mshikamano
Udugu na zaidi
Kukataa vikali ukabila na udini
Juhudi hizi zinaenziwa kwa vitendo?

Mh rais alipokwenda Kenya na kupewa fursa ya kuongea nakumbuka alisema
"mnaenda vizuri sana tatizo lenu wakenya ni ukabila baasi!"

Nikaona tena alipokwenda kumsalima mjane wa Mwl kwa kinywa chake akisema kuwa yeye ni mfuasi wa Mwl Nyerere.

Kama ndivyo kweli,,,,,
kwanini viongozi wakuu karibu wote 95% wanatoka/teuliwa kutoka kanda ya ziwa

Rais
Jaji mkuu
Mkuu wa majeshi
Mkuu wa polisi
Mwanasheria mkuu
DPP
Mawaziri zaidi ya 60%(kuanzia waziri wa nishati, mifugo na uvuvi, viwanda na biashara, mambo ya ndani, kilimo nk

Na bado kila teuzi mpya inayofanywa ina harufu ya kanda ya ziwa (Ukanda na ukabila)

Hii inamaanisha nini hasa?
Huu ndio tunaita umoja wa kitaifa?
Huku ndiko kumuenzi baba wa taifa?
Tunapata wapi ujasiri wa kuwakosoa wakenya?
 
Maswali yako ya kijinga

hatumkatai mtu kisa anatokea kanda ya ziwa na hatumchagui mtu kwa kuwa anatokea kanda ya ziwa,
Alafu TOP 4 RANK ZA KIUONGOZI TANZANIA ZIKO, HIVI
A.RAIS - GEITA
B.MAKAMU WA RAIS - ZANZIBAR
C.WAZIRI MKUU - LINDI
D.SPIKA WA BUNGE- DODOMA
Nijibu hawa wanatokea wapi
1.makamu wa rais
2.waziri mkuu
3.Mkuu wa Uhamiaji Tanzania
4. Spika wa Bunge
5. Kamishna mkuu wa TRA
6. Mkuu wa usalama wa Taifa
 
Wakuu asalaam!

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja
Huwa najiuliza sana kwa misingi aliyoipigania na kuijennga baba wa taifa Mwl JK Nyerere kama
umoja
Mshikamano
Udugu na zaidi
Kukataa vikali ukabila na udini
Juhudi hizi zinaenziwa kwa vitendo?

Mh rais alipokwenda Kenya na kupewa fursa ya kuongea nakumbuka alisema
"mnaenda vizuri sana tatizo lenu wakenya ni ukabila baasi!"

Nikaona tena alipokwenda kumsalima mjane wa Mwl kwa kinywa chake akisema kuwa yeye ni mfuasi wa Mwl Nyerere.

Kama ndivyo kweli,,,,,
kwanini viongozi wakuu karibu wote 95% wanatoka/teuliwa kutoka kanda ya ziwa

Rais
Jaji mkuu
Mkuu wa majeshi
Mkuu wa polisi
Mwanasheria mkuu
DPP
Mawaziri zaidi ya 60%(kuanzia waziri wa nishati, mifugo na uvuvi, viwanda na biashara, mambo ya ndani, kilimo nk

Na bado kila teuzi mpya inayofanywa ina harufu ya kanda ya ziwa (Ukanda na ukabila)

Hii inamaanisha nini hasa?
Huu ndio tunaita umoja wa kitaifa?
Huku ndiko kumuenzi baba wa taifa?
Tunapata wapi ujasiri wa kuwakosoa wakenya?
Ni zamu yao kwa sasa
 
Wachapa kaz
 
Back
Top Bottom