Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,107
- 9,272
Ni zamu yetu, punguzeni kelele nyinyi mlishakula na hasa kaskazini.
Akili zilizofilisika mawazo hujadili personality sio maendeleo. Kwanza kabisa inaonekana wewe ndiye mkabila hasa maana unawazo mambo ambayo ni kizushi. Mtu kama wewe mwenye akili inayokimbilia kuwaza ukabila na ukanda ndio ukipata nafasi unajaza watu wa kwenu ofisini kisa ni wa kwetu hata kama uwezo zero. Maghufuli angekuwa mkanda na mkabila pro. Mhongo, Kitwanga na wengine wasingachia ngazi angewabeba tu kama JK alivyokuwa anawabeba mawaziri mizigo japo hawakuwa wa kabila lake.Wakuu asalaam!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja
Huwa najiuliza sana kwa misingi aliyoipigania na kuijennga baba wa taifa Mwl JK Nyerere kama
umoja
Mshikamano
Udugu na zaidi
Kukataa vikali ukabila na udini
Juhudi hizi zinaenziwa kwa vitendo?
Mh rais alipokwenda Kenya na kupewa fursa ya kuongea nakumbuka alisema
"mnaenda vizuri sana tatizo lenu wakenya ni ukabila baasi!"
Nikaona tena alipokwenda kumsalima mjane wa Mwl kwa kinywa chake akisema kuwa yeye ni mfuasi wa Mwl Nyerere.
Kama ndivyo kweli,,,,,
kwanini viongozi wakuu karibu wote 95% wanatoka/teuliwa kutoka kanda ya ziwa
Rais
Jaji mkuu
Mkuu wa majeshi
Mkuu wa polisi
Mwanasheria mkuu
DPP
Mawaziri zaidi ya 60%(kuanzia waziri wa nishati, mifugo na uvuvi, viwanda na biashara, mambo ya ndani, kilimo nk
Na bado kila teuzi mpya inayofanywa ina harufu ya kanda ya ziwa (Ukanda na ukabila)
Hii inamaanisha nini hasa?
Huu ndio tunaita umoja wa kitaifa?
Huku ndiko kumuenzi baba wa taifa?
Tunapata wapi ujasiri wa kuwakosoa wakenya?
Not only that but it is the highest level of SUBVERSION!!Sedition
Hata ukitukana vipi wewe dada haitasaisdia kama hali ngumu hama nchi nenda syria.Wewe kilaza huwezi kuelewa maana unaishi kwa shemeji yako unakula na kulala
Maswali yako ya kijinga
hatumkatai mtu kisa anatokea kanda ya ziwa na hatumchagui mtu kwa kuwa anatokea kanda ya ziwa,
Alafu TOP 4 RANK ZA KIUONGOZI TANZANIA ZIKO, HIVI
A.RAIS - GEITA
B.MAKAMU WA RAIS - ZANZIBAR
C.WAZIRI MKUU - LINDI
D.SPIKA WA BUNGE- DODOMA
Nijibu hawa wanatokea wapi
1.makamu wa rais
2.waziri mkuu
3.Mkuu wa Uhamiaji Tanzania
4. Spika wa Bunge
5. Kamishna mkuu wa TRA
6. Mkuu wa usalama wa Taifa
Wewe ndiye mkabila, acha kududanganya.
Ukisema Kanda ya Ziwa unamaanisha nini?
Ungeanza kututajia hiyo Mikoa halafu utuambie wakazi wake kwa kulinganisha na Kanda nyingine ungesaidia sana.
Lakini swali la muhimu sana kwenye uongozi lazima utambue kila mtu anafanya kazi na mtu anayeweza kumsaidia kwenye kazi zake. Hakuna Kiongozi mjinga atafurahia kuteua mtu ili kuwaridhisha watu fulani wakati huyo mteuliwa yupo tu kama pambo. Wakati wa kutafuta kura hawatakusaidia chochote.
rudi kusoma huu mstari labda utaelewa zaidiMaswali yako ya kijinga
hatumkatai mtu kisa anatokea kanda ya ziwa na hatumchagui mtu kwa kuwa anatokea kanda ya ziwa,
Alafu TOP 4 RANK ZA KIUONGOZI TANZANIA ZIKO, HIVI
A.RAIS - GEITA
B.MAKAMU WA RAIS - ZANZIBAR
C.WAZIRI MKUU - LINDI
D.SPIKA WA BUNGE- DODOMA
Nijibu hawa wanatokea wapi
1.makamu wa rais
2.waziri mkuu
3.Mkuu wa Uhamiaji Tanzania
4. Spika wa Bunge
5. Kamishna mkuu wa TRA
6. Mkuu wa usalama wa Taifa
Anateua kulingana na uwezo wa mtu lakini pia kanda hiyo ni wasomi sana na wachapakaziWakuu asalaam!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja
Huwa najiuliza sana kwa misingi aliyoipigania na kuijennga baba wa taifa Mwl JK Nyerere kama
umoja
Mshikamano
Udugu na zaidi
Kukataa vikali ukabila na udini
Juhudi hizi zinaenziwa kwa vitendo?
Mh rais alipokwenda Kenya na kupewa fursa ya kuongea nakumbuka alisema
"mnaenda vizuri sana tatizo lenu wakenya ni ukabila baasi!"
Nikaona tena alipokwenda kumsalima mjane wa Mwl kwa kinywa chake akisema kuwa yeye ni mfuasi wa Mwl Nyerere.
Kama ndivyo kweli,,,,,
kwanini viongozi wakuu karibu wote 95% wanatoka/teuliwa kutoka kanda ya ziwa
Rais
Jaji mkuu
Mkuu wa majeshi
Mkuu wa polisi
Mwanasheria mkuu
DPP
Mawaziri zaidi ya 60%(kuanzia waziri wa nishati, mifugo na uvuvi, viwanda na biashara, mambo ya ndani, kilimo nk
Na bado kila teuzi mpya inayofanywa ina harufu ya kanda ya ziwa (Ukanda na ukabila)
Hii inamaanisha nini hasa?
Huu ndio tunaita umoja wa kitaifa?
Huku ndiko kumuenzi baba wa taifa?
Tunapata wapi ujasiri wa kuwakosoa wakenya?
Baada ya hayo yote uliyosema.Kwanza huyo unayemwingiza kwenye kundi la wasukuma si msumkuma kabisa usukuma wake ni kuijua hiyo lugha basi nadhani hatofautiani na yule mudrc. Hata ukisema ni wa bukoba nako ni uongo kaijua tu lugha yao basi.
Sasa mtu kujua lugha ya watu fulani haimaanishi ni wa kabila hilo.
Ukweli juu ya baba yule haufichami ila tunajua ni mwenzetu lakini ukweli ni wa kule ndiyo maana hata sherehe za kupata kiti alianza na ndugu zake wa damu kule kwao na hata sasa hana cha kupoteza zaidi ya kuchuma zaidi maana kapata twisheni kwa yule mnyarukolo.
Wasukuma nawapenda ila ukweli ktk utawala suala la undugunization mnaongoza kwa nchi hii.
Ingekuwa babu alikuwa wa kabila lenu hadi leo lugha ya taifa ingekuwa kisukuma.
Hata yule mtu kwa kujipendekeza kwenu ili apate popularity anaongea kisukuma hadi jukwaani kinyume na sheria za tume.
Ukweli tutausema zaidi.
Mafisadi ni akina nani?Kwa mafisdi, wazembe (kupe), na wasiokuwa wabunifu! FANYA KAZI HAKUNA KILICHOBADILIKA NI MAWAZO YAKO TU. Kama ulizoea kula vya kunyonga safari hii lazima uchije ili ule. Hakuna kula kibudu.
Nafikiri uliendika kabla hamjapewa nafasi, saizi majibu utakua umeyapataWanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...
Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...
Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.
Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.
Wasalaam.
Paskali
Nyerere aliwanyimaje wasukuma elimu kama kweli wewe ni mtanzania.Baada ya hayo yote uliyosema.
Mh. Magufuli hana ukabila.
ISIPOKUWA aliona baada ya hao Wasukuma kudharaulika na kuwekwa pembeni kwa Muda mrefu tangu wakati wa Mwalimui kiwemo systemc strategy ya kuwanyima Elimu wasije wakshika IONGOZI maana alikuwa na HOFU na WASUKUMA.
Magufuli anachofanya sasa Si UKABILA bali ni EQUALIZATION format/ Yaani anabalansi.
Ndo maana nao sasa wanasikika.
.
Kwanini wabaki nyuma kisa tuni WaSUKUMA ?
Jamani tuwe wakweli!
ndo basi tena makabila.madogo hatuta pata tena viongozi wa Juu yapo makabila 1280 matano yameshapata raisi sijui lini tutafikiwaNyerere aliwahi sema maraisi ni vyema watoke makabila madogo na siyo haya makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha uongo!wasukuma ni wakabila. Madaraka ya juu kwa mwenzao ndiyo yamefichua zaidi na kuweka unafiki wazi mchana kweupe.Wanabodi,